Dr. Ulimboka apelekwa nje kwa matibabu zaidi...

fmlyimo

JF-Expert Member
May 4, 2012
324
198
Source, mimi mwenyewe nipo airport

attachment.php


Photo0242.jpg

attachment.php
 

Attachments

  • Photo0240.jpg
    Photo0240.jpg
    369.2 KB · Views: 2,674
  • Photo0247.jpg
    Photo0247.jpg
    408.9 KB · Views: 2,590
Hadha Min Fadhil Rhabi.

Lakini hatuna imani na Madaktari watakaomuhudumia huko nje ya nchi maana wanaweza kupewa maagizo na TISS wasimtibu vizuri ili afie huko na hatimae kupoteza ushahidi wa tuhuma za mauaji zinazowang'ang'ania!
 
Tunamuombe apone ..ili aje atoe ushuhuda ni jinsi gani kifo kilivyo..mana wenyewe wana ona raha sisi ndugu zetu kufa kwa migomo yao isiyo kuwa na tija kwetu wananchi, zaidi ya faida yao ya fedha na siasa zao za chadema .
 
Kichaka cha wala nchi tu! Wangewapiga wezi wa mali ya umma na mafisadi ningeelewa.Lakini hao wanalindwa
 
Taarifa zilizonifikia hivi punde kutoka uwanja wa ndege wa kimataifa wa JK Nyerere Dar, nikuwa kiongozi wa madaktari aliyetekwa na kujeruhiwa na watu wanaohisiwa kwa 99.5% kwa ni serikali (TISS) nikuwa anapelekwa nje ya nchi kwa matababu,

Bado sijafanikiwa kujua anaelekwa nchi gani!


India..
 
nashauri wampeleke CUBA, INDONESIA, VENEZUELA AU Germany na wala sio India kwa akina Rostam na Jeetu Patel, anaweza kumalizwa bure..!
 
Back
Top Bottom