Dr. Ulimboka apelekwa nje kwa matibabu zaidi...

Tunamuombe apone ..ili aje atoe ushuhuda ni jinsi gani kifo kilivyo..mana wenyewe wana ona raha sisi ndugu zetu kufa kwa migomo yao isiyo kuwa na tija kwetu wananchi, zaidi ya faida yao ya fedha na siasa zao za chadema .

Akili yako FINYU kweli, na wewe unaamini kuwa mgomo wa madaktari haina tija??? Peleke upuuzi wako kwa CCM wenzako, au unataka nchi isitawalike? Dogo jiangalie, usiropoke tu kama j.u.h.a. Watu wanadai haki zao unasema haina tija? Unataka iwe na tija kwa nani kama siyo wao wanaoumia kututibu? Acha ujinga, mtu mzima wewe, ungelikuwa umewahi kufanya kazi katika serikali DHAIFU inayoongozwa na RAIS DHAIFU kama Jakaya Mrisho Kikwete, usingeropoko KIPUMBAFU HIVYO!!!!
 
Hofu yangu, baada ya Dr. Ulimboka kupigwa, kulikuwa na uzi uliwekwa hapa jukwaani kuwa mmojawapo wa waliohusika katika kumtesa, alikuwa ni jamaa wa TISS na mmojawao alitoroshwa kwenda Afrika Kusini ambapo atapangiwa kazi maalum. Sasa leo Dr. Ulimboka anapelekwa huko tena si ndo wanarahisisha namna ya kummaliza haraka. Kwani aliyependekeza kuwa Dr. Ulimboka apelekwe SA ni nani? serikali au madaktari wenyewe, hapo sina ujuzi wowote. Lakini ni hofu yangu tuu.
Wewe unaamini kila unaloliona humu JF? Unajua mirembe pia watu wanayo access ya JF.
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom