na mama josephine asiache kuwa anampa ile kitu roho inataka huyu lovely presdaa wetu 2015.Nalog off
Atateuliwa kuwa Raisi au atapigiwa kura ? Kama ni kura hilo halitawezekana, sio 2015 wala 2020 !2015 zamu ya wenzetu, tumegombea sisi sana sasa ni zamu ya mgombea kutoka Zanzibar.
yuko salama wapi wewe wakati ngozi yenyewe inaonesha imeshaanza kusinyaa
Hii inadhihirisha hayuko nasi walalahoi....hawazi matatizo yetu.....nimesoma maisha ya mgombea urais wa marekani John MAccain'huyu jamaa hajabadilika tangu tulivyomwona kwenye uchaguzi miaka minne iliyopita yuko vilevile'namwomba sana DR slaa azingatie sana diet kwa sababu tunamwitaji sana 2015 aongoze nchi yetu'sijui kama anakunywa pombe lakini namshauri aache kabisa'vilevile aache kula red meat yaani nyama ya ngo'mbe'ale zaidi mboga za majani na ajiepushe na mambo yanayoweza kumpa strees''ni mawazo yangu tu jamani.