DR SLaa zingatia sana diet!

Wazo zuri sana..
kama hawezi kuzingatia diet ..afanye au aogeze mazoezi...
 
Awam hii tunahitaji kuongozwa na kiongozi tumechoka kutawaliwa na watawala na sio viongozi
tumewachoka kundi la majambazi/wanyang'anyi.
 
na mama josephine asiache kuwa anampa ile kitu roho inataka huyu lovely presdaa wetu 2015.Nalog off

Ha ha haaaaaaaa mbavu zangu haziko salama, kwa hiyo mama anavyojitoa siyo faida ya mzee peke yake bali pia ni kwa maslahi ya future ya Taifa zima Da!!
 
nimesoma maisha ya mgombea urais wa marekani John MAccain'huyu jamaa hajabadilika tangu tulivyomwona kwenye uchaguzi miaka minne iliyopita yuko vilevile'namwomba sana DR slaa azingatie sana diet kwa sababu tunamwitaji sana 2015 aongoze nchi yetu'sijui kama anakunywa pombe lakini namshauri aache kabisa'vilevile aache kula red meat yaani nyama ya ngo'mbe'ale zaidi mboga za majani na ajiepushe na mambo yanayoweza kumpa strees''ni mawazo yangu tu jamani.
Hii inadhihirisha hayuko nasi walalahoi....hawazi matatizo yetu.....
 
vipi akila ugali nyama kila siku na kushushia na serengeti kadhaa baridi??
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom