:angry::angry::angry:Dr Slaa ni jasili hivyo atatoa tamko la kukubali kushindwa, kwani asijeyekubari kushindwa sio mshindani. Hapa tatizo sio Dr. Slaa tatizo ni nyinyi wafuasi wake ndio mna matatizo na uchochezi suio kuwa na maana yeyote, Chadema imeshachukua Viti vyingi vya Ubunge inatosha sasa kelele za nini, na matokeo yanaonyesha Kikwete mpk sasa anaongoza, hebu acheni hizo bwana. Kuwa mkweli ni vizuri japo wanaosema ukweli mnawaita makada wa CCM, ila mie sina chama na naangalia ukweli upo wapi kutokana na matokeo yanavyokwenda.
Dr Slaa ni jasili hivyo atatoa tamko la kukubali kushindwa, kwani asijeyekubari kushindwa sio mshindani. Hapa tatizo sio Dr. Slaa tatizo ni nyinyi wafuasi wake ndio mna matatizo na uchochezi suio kuwa na maana yeyote, Chadema imeshachukua Viti vyingi vya Ubunge inatosha sasa kelele za nini, na matokeo yanaonyesha Kikwete mpk sasa anaongoza, hebu acheni hizo bwana. Kuwa mkweli ni vizuri japo wanaosema ukweli mnawaita makada wa CCM, ila mie sina chama na naangalia ukweli upo wapi kutokana na matokeo yanavyokwenda.

Jamani Domo Kaya nakuomba ubadilishe avatar yako inatisha sana,just a favour pls
Tunasubiri kwa hamu sana tamko lako mkuu wangu
Mungu yuko pamoja nawe bado tunakuombea
Kama ulivyotuambia huogopi kufa kwa ajili ya kutetea haki na sisi hatuogopi vifaru vyao say something pls damu ingali bado moto.
Mona hakuna tamko kama Hilo???