Dr. Slaa sikuelewi, Badilika! La sivyo wewe na CHADEMA...

Status
Not open for further replies.
nimeamini jina langu la wakuziba lina uzito wake. kwanza nikishaziba, kuzibua hoja zangu ni shughuli nzito sana. pili lakabu yangu ya "mzee wa maneno yanayochoma nyoyo" ni mujarab na maridhawa kabisa! wengi wanaosoma makala zangu, huumizwa sana na ukweli wa maneno yangu. huwa uwezo wao hauwaruhusu kuzijibu kwa hoja. huishia ama kutukana au kukosa la kuandika! ASANTE MUNGU KWA KUNIPA UWEZO WA KIUCHAMBUZI NA KIMAONO!

Wakatabahu: wakuziba (mzee wa maneno yanayochoma nyoyo)

Umefanya vyema KUJISIFIA mapema, that is your today's credit! mta spin sana humu mwisho mtaANGUKA kama baba yenu! sie wetu mwendo!
 
CCM bwana,mnajitahidi sana,lakini too late.

Propaganda hazina nafasi kwa watanzania,watanzania wanataka Tanzania aliyoiota mwl nyerere,ambayo ilitoa Elimu bure,huduma bure za Afya na huduma bora za kijamii bila kuchimba madini ,kusafirisha magogo na kutuibia wanyama wetu.

Chadema siyo Dr Slaa chadema ni Taasisi,kama taasisi inawashahuri katika nyanja zote,wewe ni nana?

Ndiyo maana wabunge wa CCM wanashindwa kujadili hoja za maendeleo wanabaki kuhariri hotuba za akina Lissu na Myika unaweza kuona ni kwa namna gani mmepoteza focus na direction.
 
Leo ninazidi kujidhihirishia Pro CHADEMA ni watu wanamna gani, yaani hawataki kuambiwa ukweli na wako radhi kukivunja kioo, kikiwaonyesha kwamba wana tongotongo machoni, yaani wenyewe hawataki kukosolewa sababu wanajiona wao wamekamilika na hata malaika kwao anasubiri sababu wao hawana mapungufu kabisa wakati Katibu wao mkuu
Dr. W. Slaa anawaonyesha kwa vitendo kwamba binadamu hatujakamilika ndio maana yeye alivunja amri ya 6 zaidi ya mara moja kipindi ambacho waliowengi walikua wanajua ni Padri na bado waumini wengi walikua wanakwenda kwake KUUNGAMA, wakati anayewaungamisha nae anatenda Dhambi, tena zaidi hata ya waumini wake kwa kuvunja amri za Mungu ikiwemo Kuzini wakati yeye yupo kwenye kiapo cha Upadri, na hata baada ya kuachana na Upadri bado aliendelea kuzini pasipo kufunga ndoa, kwa ufupi
Dr. Slaa alikua anaenda sambamba na mtoto wake wakike wa kumzaa kwa kufanya ngono zembe bila kinga kabla ya kufunga ndoa.

Sasa kwa kutambua mapungufu hayo wenye mapenzi mema Slaa wanaanzisha mijadala ya kumshauri ili tumshauri kwa pamoja aweze kujirudi na kusafisha nyota yake, cha ajabu wanaojiita wapenzi wa CHADEMA wanapuuza ushauri bila hata kumpa nafasi Dr. Slaa mwenyewe ya ama kukubali ama kukataa ushauri wetu, yaani wanchokifanya wao ni kuendelea kumwambia Dr. Slaa wewe huna tongotongo wala nini endelea kutuongoza kitu ambacho ni kosa kubwa na wanampotosha kwa kiwango kikubwa mwenzao na ndio maana anazidi kufanya makosa yale yale sababu washabiki wake hawataki kumwambia ukweli, bahati mbaya sana yeye Dr. Slaa bado yupo gizani hajajua kua wanaosema wanamkubali Dr. Slaa wa leo sio waliomkubali Dr Slaa wa 2010.

shame on you Pro CHADEMA
 
NAwashangaa sana CHADEMA wote humu mlomuattack mleta mada, alosema ni ukweli mtupu na anawataka mkae mfikiri jinsi ya mkuu wenu mtarajiwa kujisafisha, nashangaa vipi mnamjia juu na maneno alosema ni KUNTU tpu!

mmeshikwa pabaya ndugu zangu, mnegkuwa great thinkers mngesoma mstari kwa mstari na badae mkae na mkuu wenu mumueleze anapoelekea sipo! anapoteza muelekeo!
 
CCM bwana,mnajitahidi sana,lakini too late.

Propaganda hazina nafasi kwa watanzania,watanzania wanataka Tanzania aliyoiota mwl nyerere,ambayo ilitoa Elimu bure,huduma bure za Afya na huduma bora za kijamii bila kuchimba madini ,kusafirisha magogo na kutuibia wanyama wetu.

Chadema siyo Dr Slaa chadema ni Taasisi,kama taasisi inawashahuri katika nyanja zote,wewe ni nana?

Ndiyo maana wabunge wa CCM wanashindwa kujadili hoja za maendeleo wanabaki kuhariri hotuba za akina Lissu na Myika unaweza kuona ni kwa namna gani mmepoteza focus na direction.

Leo pia nimejidhihirishia kuwa na wewe ni miongoni mwa watu wa karibu sana na Dr. Slaa ambao hamumwambii Dr. Slaa ukweli na upo tayari kuona Slaa anapotea kwenye duru za Siasa lakini pia unashiriki kumjengea uadui na Muumba wake kwa kushiriki nae kutenda dhambi mbele za Mungu.

Shame on you Josephine
 
Wakuziba we ni jembe laukweli!tatizo la JF ukisema kweli unakua adui. Kuna watu humu wamekunywa itikadi ya CDM utakalosema bora ya mbuzi anaweza kusikia kuliko hawa wapenzi wa CDM.
 
Kwani mtoa sredi kakosea?
Ugoni unaisumbua CHADEMA nzima, achilia mbali Dr Slaa mwenyewe.
Na ndio maana nasema jamaa akitinga Ikulu 2015, masekretari wote hapo wakae chonjo, maana watakuwa na likizo za uzazi kila baada ya miezi tisa.
Wawe wameolewa au la!
Aikwa Padiri tu alitikisa nyavu, itakuwa huko Ikulu!!!!!!

aliyefumaniwa na mke wa kada mwenzie kule igunga anatoka chama gani? alifumuniwa na mke wa askari kule singida anatoka chama gani? anayeongoza kuwa na vimada wengi na watoto wa nje ya ndoa anatoka chama gani?
 
  • Thanks
Reactions: UNO
Mada kama hii ndio hapa ambapo CDM huwa wanatia saana huruma kwa kuonesha uwezo wao wa kufikiria na kukurupuka. Hamtaki Dr. Slaa akosolewe, mnataka asifiwe tu na kuonekana kwa yeye ndio Mungu wa kuwa Raisi. Kitu ambachi mnakosea ni kutaka kuonesha hana kasoro, au pale ambapo anaambiwa ukweli ambao upo wazi kabisa kwa jamii (kukana kuwa anaonewa na siasa taka!) Siasa taka zipo na zitaendelea kuwepo na hata akina slaa na JK wote hufanya thou kupitia channels tofauti.

Mnasahau kuwa Slaa ni binadamu, na madhaifu katika personal Lives kila mtu anayo na sio kigezo cha kumlaumu ama kumjudge. Bishaneni kwa hoja sio viroja as if anaewakilisha hapa ni mtu asio kuwa na utambuzi, wapo wasiokuwa na utambuzi hawana access na vitu kama mitandao, nyie wenye utambuzi na wawakilishi wa CDM na Dr Slaa tumieni huo utambuzi kuelewesha wale ambao mnadhani wana attak. Hii mada ukisoma haina ubaya wowote... wakuziba katoa hoja yake, mnaweza msiipende lakini kwa kiasi kikubwa ina Ukweli.

On top of it Josephine unakuja kusema hapa kwa hoja za kusema ni Propaganda. Wewe una nafasi kubwa sana kwa Chama na Dr. Slaa tokana na nafasi yako kama Mke wa Slaa. Unasema hizo hoja hapo juu ni uongo? Kwa nini usitumie njia ya kuwaelewesha ambao tayari wanaelewa na kujifanya hawaelewi hadi wakose hoja za kuongea? Hizi ndio siasa.. kuweni tayari kusifiwa na kukashifiwa pia. CDM inaweza kuwa ni Taasisi na si Dr. Slaa as per your say lakini kumbuka huyo Mzee tunamtegemea kwa kiasi kikubwa. Hoja inapotolewa na kukaribiana na Ukweli (au kuonekana ni kweli hali sio) tumieni hoja za msingi kuweza elewesha jamii na sio ubishi, ulalamishi ama majigambo. Then hapo tutafika.
 
Mkuu ushauri wako ni mzuri na wa ujenzi lazima nikiri wewe ni Great Thinker Dr Slaa ana hiari kufua au kuachana nao huu ushauri wako.

Jana kulikuwa na uzi humu ulianzishwa kuwa Dr Slaa na Lema wamekamatwa na polisi halafu Mnyika nae polisi wanamsubiri nje ya ukumbi wa bunge ili wamkamate..

Kumbe Dr Slaa mwenyewe ndio amejisalimisha polisi.
 
Wewe si wakuziba bali unazibwa wewe na akili zako fupi.Soma au elewa kwamba waliitwa kwa simu wakakataa na ndipo wakawaandikia barua .Sasa penye barua ni ushahidi zaidi kuliko mwito wa simu na mtu staarabu akiitwa basi anaitikia wito they did it ubaya uko wapi wewe unaye zibwa ?

Huyu kwa hakika ni greti sinker
 
Ndio kazi ya Chadema wao huwa hawajibu hoja bali wanaanza kwa kumshambulia mleta hoja. Hata bungeni ni hivyo hivyo

Na hamtakuja kuongoza hii nchi NG'O mark my words!
 
Mada kama hii ndio hapa ambapo CDM huwa wanatia saana huruma kwa kuonesha uwezo wao wa kufikiria na kukurupuka. Hamtaki Dr. Slaa akosolewe, mnataka asifiwe tu na kuonekana kwa yeye ndio Mungu wa kuwa Raisi. Kitu ambachi mnakosea ni kutaka kuonesha hana kasoro, au pale ambapo anaambiwa ukweli ambao upo wazi kabisa kwa jamii (kukana kuwa anaonewa na siasa taka!) Siasa taka zipo na zitaendelea kuwepo na hata akina slaa na JK wote hufanya thou kupitia channels tofauti.

Mnasahau kuwa Slaa ni binadamu, na madhaifu katika personal Lives kila mtu anayo na sio kigezo cha kumlaumu ama kumjudge. Bishaneni kwa hoja sio viroja as if anaewakilisha hapa ni mtu asio kuwa na utambuzi, wapo wasiokuwa na utambuzi hawana access na vitu kama mitandao, nyie wenye utambuzi na wawakilishi wa CDM na Dr Slaa tumieni huo utambuzi kuelewesha wale ambao mnadhani wana attak. Hii mada ukisoma haina ubaya wowote... wakuziba katoa hoja yake, mnaweza msiipende lakini kwa kiasi kikubwa ina Ukweli.

On top of it Josephine unakuja kusema hapa kwa hoja za kusema ni Propaganda. Wewe una nafasi kubwa sana kwa Chama na Dr. Slaa tokana na nafasi yako kama Mke wa Slaa. Unasema hizo hoja hapo juu ni uongo? Kwa nini usitumie njia ya kuwaelewesha ambao tayari wanaelewa na kujifanya hawaelewi hadi wakose hoja za kuongea? Hizi ndio siasa.. kuweni tayari kusifiwa na kukashifiwa pia. CDM inaweza kuwa ni Taasisi na si Dr. Slaa as per your say lakini kumbuka huyo Mzee tunamtegemea kwa kiasi kikubwa. Hoja inapotolewa na kukaribiana na Ukweli (au kuonekana ni kweli hali sio) tumieni hoja za msingi kuweza elewesha jamii na sio ubishi, ulalamishi ama majigambo. Then hapo tutafika.

Mkuu umesema vyema sana na mimi nimejaribu kutoa darasa kwa wana chadema na Josephine kwenye comments zangu hapo juu, lakini hawa watu kila siku wanatuthibitishia kuwa wao ni Mabubu na Viziwi kwenye kila kinachoitwa ukweli dhidi ya CHADEMA na viongozi wao
 
nakumbuka hotuba mwl j.k nyerere. Dr slaa anataka kutubalishia almas atupatie chupa wat9
 
Leo ninazidi kujidhihirishia Pro CHADEMA ni watu wanamna gani, yaani hawataki kuambiwa ukweli na wako radhi kukivunja kioo, kikiwaonyesha kwamba wana tongotongo machoni, yaani wenyewe hawataki kukosolewa sababu wanajiona wao wamekamilika na hata malaika kwao anasubiri sababu wao hawana mapungufu kabisa wakati Katibu wao mkuu
Dr. W. Slaa anawaonyesha kwa vitendo kwamba binadamu hatujakamilika ndio maana yeye alivunja amri ya 6 zaidi ya mara moja kipindi ambacho waliowengi walikua wanajua ni Padri na bado waumini wengi walikua wanakwenda kwake KUUNGAMA, wakati anayewaungamisha nae anatenda Dhambi, tena zaidi hata ya waumini wake kwa kuvunja amri za Mungu ikiwemo Kuzini wakati yeye yupo kwenye kiapo cha Upadri, na hata baada ya kuachana na Upadri bado aliendelea kuzini pasipo kufunga ndoa, kwa ufupi
Dr. Slaa alikua anaenda sambamba na mtoto wake wakike wa kumzaa kwa kufanya ngono zembe bila kinga kabla ya kufunga ndoa.

Sasa kwa kutambua mapungufu hayo wenye mapenzi mema Slaa wanaanzisha mijadala ya kumshauri ili tumshauri kwa pamoja aweze kujirudi na kusafisha nyota yake, cha ajabu wanaojiita wapenzi wa CHADEMA wanapuuza ushauri bila hata kumpa nafasi Dr. Slaa mwenyewe ya ama kukubali ama kukataa ushauri wetu, yaani wanchokifanya wao ni kuendelea kumwambia Dr. Slaa wewe huna tongotongo wala nini endelea kutuongoza kitu ambacho ni kosa kubwa na wanampotosha kwa kiwango kikubwa mwenzao na ndio maana anazidi kufanya makosa yale yale sababu washabiki wake hawataki kumwambia ukweli, bahati mbaya sana yeye Dr. Slaa bado yupo gizani hajajua kua wanaosema wanamkubali Dr. Slaa wa leo sio waliomkubali Dr Slaa wa 2010.

shame on you Pro CHADEMA

Nyie tuacheni na yetu huo ukweli kausemeni kwenye hilo lichama lenu la mabwepande........ya chadema hayawahusu....huko kwenu kuna mengi ya kuwashauri hao wabunge wenu vilaza!.....mnakazana kujenga kwa jirani wakati kwenu kunateketea!....... shame on you chama cha magamba!
 
Mkuu umesema vyema sana na mimi nimejaribu kutoa darasa kwa wana chadema na Josephine kwenye comments zangu hapo juu, lakini hawa watu kila siku wanatuthibitishia kuwa wao ni Mabubu na Viziwi kwenye kila kinachoitwa ukweli dhidi ya CHADEMA na viongozi wao

Mkuu Ngarenaro tatizo lililopo kubwa sana ni kwamba siku zote kuweza onekana wewe unafaa ni kuonesha picha ya kutokuwa na kasoro yoyote. Yaani uwakilishwe kuwa wewe ni "PERFECT" Na hali ni wazi hakuna mwanadamu alie Perfect. Kwa mtazamo wangu hilo pia nalo lamsumbua Mzee wetu Slaa. Ana uwezo wa kuwakata kilimi wote ambao wanamfuata fuata katika his personal life... Ni viongozi wangapi wana personal live ziko so dis-oriented na chafu kuliko hata za Slaa lakini hazisemwi? Ndio yeye Slaa na Crew wajue kuwa yeye kwa kiasi kikubwa ni tishio kwa Wana CCM wengi na hasa viongozi wake.

Hio ya kumkumbatia kuwa hana kosa ndio linaharibu na kuamsha hili suala kila siku. Mambo ya Familia yanatakiwa ku-solviwa ki familia, yule Rose hajaonesha ustaarabu hata kidogo (Siamini kuwa Mzee Slaa alikataa kumsikiliza wasolve issue hio hadi wapelekane mahakamani); anaonesha kabisa kuwa ni pandikizi bovu katika wana CDM, anaonesha kabisa kuwa katumika na wana CCM lakini bado CDM wataendelea kumkumbatia. Na hapo hapo wana CDM majority humu jamvini kuendelea kukurupuka kuwa anaonewa kwa swala ambalo lipo wazi.
 
Last edited by a moderator:
nimeamini jina langu la wakuziba lina uzito wake. kwanza nikishaziba, kuzibua hoja zangu ni shughuli nzito sana. pili lakabu yangu ya "mzee wa maneno yanayochoma nyoyo" ni mujarab na maridhawa kabisa! wengi wanaosoma makala zangu, huumizwa sana na ukweli wa maneno yangu. huwa uwezo wao hauwaruhusu kuzijibu kwa hoja. huishia ama kutukana au kukosa la kuandika! ASANTE MUNGU KWA KUNIPA UWEZO WA KIUCHAMBUZI NA KIMAONO!

Wakatabahu: wakuziba (mzee wa maneno yanayochoma nyoyo)

Tena usiyumbishwe na upuuzi wowote ule! Ni heri kuchekwa na kutukanwa na wapumbavu milioni moja, kuliko kudharauliwa na mwerevu mmoja!

Ushabiki na Upenzi wao, ipo siku utawatokea puani. Kama wale wa 2005 waliodai ni chaguo la Mungu, walitanguliza ushabiki na hisia zao wakaiimbia vidole juu ccm, leo majuto ni mjukuu. Sawa na hawa wa Chadema leo.

KAMA MNAIPENDA CHADEMA,...NA HAMTAKI IWAANGUSHE BAADA YA KUSHIKA NCHI,...BASI HAINA BUDI KUTENGENEZWA NANYI WANACHAMA NA MASHABIKI...WAKATI HUU. KUWENI WAKWELI, PONGEZENI NA ONESHENI SHUKURANI KWA MEMA WAFANYAYO,...LAKINI PIA MSIACHE KUTOA MAKARIPIO MAKALI KWA VIONGOZI WENU PALE WANAPOKOSEA,...MSIWAFANYE MIUNGU WATU...WATAWABURUZA...kama serikali ya CCM kwa watu wake.

Labda kwa vile mimi jinga...hakuna alichokosea Wakuziba.
Mungu wetu anaita!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom