Dr. Slaa: Niko tayari kula mihogo Ikulu

Malipo ya viongozi wa ccm ni haya...
-Mwenyekiti ml 10
-Katibu mkuu ml 8
-Makamu mwe/kiti ml 8
-Naibu katibu mkuu ml 7
-Katibu mwenezi ml 5!
Wanapeana mishahara huku wengine wakiwa viongozi! Kweli hii nchi mnaitafuna...
 
Kura unapiga tu wewe na mamako.

Mkuu, hivi hujui Rasimu ya Katiba mpya ikipita kama ilivyo, Ibara ya 75 inamwondoa kabisa dr slaa na Mbowe kwenye kinyang'anyiro cha urais? au wewe ndo wale ambao wakiona jambo hupotezea hata kama linakuumiza
 
Malipo ya viongozi wa ccm ni haya...
-Mwenyekiti ml 10
-Katibu mkuu ml 8
-Makamu mwe/kiti ml 8
-Naibu katibu mkuu ml 7
-Katibu mwenezi ml 5!
Wanapeana mishahara huku wengine wakiwa viongozi! Kweli hii nchi mnaitafuna...

Weka ushahidi sio unaropoka tu. slaa anafisadi 7.5m kila mwezi ukiacha anazosaini kisiri
 
Malipo ya viongozi wa ccm ni haya...
-Mwenyekiti ml 10
-Katibu mkuu ml 8
-Makamu mwe/kiti ml 8
-Naibu katibu mkuu ml 7
-Katibu mwenezi ml 5!
Wanapeana mishahara huku wengine wakiwa viongozi! Kweli hii nchi mnaitafuna...

toa uthibitisho. maana ukweli ni kuwa mwenyekiti analipwa milioni 3 na katibu mkuu ni 2.4 milioni. hizo data umezipata wapi?
 
"Tukisema CHADEMA haina nguvutwajidanganya na kweli haipo mioyoni mwetu"-stewart

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
[h=1][/h]
  • "Any intelligent fool can make things bigger, more complex, and more violent. It takes a touch of genius -- and a lot of courage -- to move in the opposite direction."
 
Kwanini asiachie 7.2 M anazolamba sasa hivi za wavuja jasho anasubiri ikulu? Ikulu ya wapi anayoota huyu babu?

wewe unachekesha kama watu tu wa kawaida wanapata mshahara zaidi ya huo, katibu mkuu wa chama kubwa CHADEMA unategemea alipwe mshahara wa milioni 3 , hata mimm mwenyewe nikiambiwa nalipwa milioni saba kwa mwezi wala si shituki ni jambo la kawaida mno
 
Ile milioni 140 yetu vipi?????

MLIPOFUKUZWA CHADEMA kwa kuanzisha kundi la MASALIA umeenda CCM na ile ajenda yenu ya kumtukana DR ili mabwana zenu wawape VYEO na umesikika ukiwaambia watu kuwa bado kidogo wewe na mwenzio mtateuliwa kuwa WAKUU WA WILAYA. ENDELEENI KUJA NA ID 10 per day ili MWIGURU awapromote.
 
WanaJF!

Huu ni moja ya usanii wa Dr Slaa katika siasa zake zilizo sheheni ulaghai kwa watanzania.

Dr Slaa ni kinara wa makatibu wakuu wa vyama vya siasa nchini wanao ongoza kwa kuwa na matumizi makubwa ya binafsi kupitia pesa za chama, iweje atoe ahadi kuwa eti mpaka afike Ikulu ndio apunguze matumizi?

Dr Slaa ni miongoni mwa wapiga kelele kuhusu anasa ya manunuzi magari ya kifahari aina ya shangingi (VX), ila jambo la kushangaza yeye ndiye mtoa pendekezo na msimamizi wa ununuaji magari ya aina ya shangingi baada ya chama kuongezewa ruzuku (hapa ana maanisha mashangingi ndio kipamumbele kwenye chama).

Dr Slaa amehadaa wana CHADEMA kwa kujifanya mbunifu wa mavuguvugu kama vile operesheni sangara, operesheni okoa kusini na huu mradi mpya M4C kwa kuaminisha watu kuwa operesheni hizi zitajenga chama na kukiimarisha, ila Dr Slaa amezibuni kwa lengo la kuombea misaada.

Kama Dr Slaa kweli hapendi anasa na kuteketeza pesa, kwanini yeye asishinikize kamati kuu ya chama kuachana na mpango wa Mbowe wa kufanya chama hicho kiwe kwenye nyumba ya kupanga milele, badala yake wafanye mpango wa ujenzi wa jengo la chama?

Dr Slaa hii nchi ina wenyewe![/QUOTE HAMY-D, hivi unafahamu kuwa Tangu tumepata uhuru kuna Wizara za CCM ambazo zimo katika majumba ya kupanga? Kama Chama ni chao, Serikali ni yao, na Pesa ni zao kwanini wasijenge?? Halafu unakuja kukishangaa chadema ambacho kinaishi kwa michango ya walala njaa!!
 
Last edited by a moderator:
WanaJF!

Huu ni moja ya usanii wa Dr Slaa katika siasa zake zilizo sheheni ulaghai kwa watanzania.

Dr Slaa ni kinara wa makatibu wakuu wa vyama vya siasa nchini wanao ongoza kwa kuwa na matumizi makubwa ya binafsi kupitia pesa za chama, iweje atoe ahadi kuwa eti mpaka afike Ikulu ndio apunguze matumizi?

Dr Slaa ni miongoni mwa wapiga kelele kuhusu anasa ya manunuzi magari ya kifahari aina ya shangingi (VX), ila jambo la kushangaza yeye ndiye mtoa pendekezo na msimamizi wa ununuaji magari ya aina ya shangingi baada ya chama kuongezewa ruzuku (hapa ana maanisha mashangingi ndio kipamumbele kwenye chama).

Dr Slaa amehadaa wana CHADEMA kwa kujifanya mbunifu wa mavuguvugu kama vile operesheni sangara, operesheni okoa kusini na huu mradi mpya M4C kwa kuaminisha watu kuwa operesheni hizi zitajenga chama na kukiimarisha, ila Dr Slaa amezibuni kwa lengo la kuombea misaada.

Kama Dr Slaa kweli hapendi anasa na kuteketeza pesa, kwanini yeye asishinikize kamati kuu ya chama kuachana na mpango wa Mbowe wa kufanya chama hicho kiwe kwenye nyumba ya kupanga milele, badala yake wafanye mpango wa ujenzi wa jengo la chama?

Dr Slaa hii nchi ina wenyewe!
HAMMYD waulize magamba wenzio kilichowapata 2010 uchaguzi mkuu kama sio kusaidiwa na mfumo na zile kula za kafu basi rais anaetambulika ni dr slaa na ninakuhakikishia pasipo na shaka kwamba kura za urais dr slaa alishinda
 
MLIPOFUKUZWA CHADEMA kwa kuanzisha kundi la MASALIA umeenda CCM na ile ajenda yenu ya kumtukana DR ili mabwana zenu wawape VYEO na umesikika ukiwaambia watu kuwa bado kidogo wewe na mwenzio mtateuliwa kuwa WAKUU WA WILAYA. ENDELEENI KUJA NA ID 10 per day ili MWIGURU awapromote.

Naona leo kwa hasira umekua ID ingine badala ya ile verified! Jiwe limekupata sawa sawa utosini. Badilika sasa
 
nimekipenda kichwa cha habari yako hii tayari umeshamkubali dr na kumpigia kura nyingi tu asante sana umebarikiwa leo kuliko magamba wengine.
 
Back
Top Bottom