Dr. Slaa: Niko tayari kula mihogo Ikulu

watu mnao mshabikia huyu babu kweli hamn azooo yani hao akina zitto ukweli wanaujua ila wanasubiri saa tu. tofauti yake na mwigulu ni moja tu mwigulu muu aji ila huyu babu muongo na mwizi.
 
WanaJF!

Huu ni moja ya usanii wa Dr Slaa katika siasa zake zilizo sheheni ulaghai kwa watanzania.
Kila ulichoandika kimechafuliwa na maoni yako, tumeshindwa kujua kama kweli Dr. Slaa aliyasema hayo maneno au ni mawazo yako mleta huu uzi. Ungetueleza kasema nini, wapi na lini, then ungeweka maoni yako.
 
As if atakuja kulala ikulu.. ye atabaki kualikwa tu na raisi atakaye kuwa pale
 
watu wanashindwa kujua.mwanamme mwenye mke akili zake haziwezi kuwa sawa na asie na mke.mungu anasababu zake kusema tuoe.ndomana imefika wakati huyu babu akiamka asubuhi anatoa tamko.ujue sio bure jama tuliangalie hili suala.
 
Tatizo la watu wengi humu wanafuata mkumbo au hawajui wanachokitetea, huu uzi tangu 2010, from Rutashubanyuma aliyasema hayo maneno lakini utawasikia watu walio na makengeza ya macho na upofu wa masikio wanasema Dr. kalishwa maneno.
Dr Slaa ni msanii wa ukweli kama mnadhani ndio mkombozi wenu andikeni maumivu, angeanza kula mihogo na hawala yake kabla hajapewa huo uraisi
Kama alishindwa kuwatumikia kondoo wa bwana, sidhani kama ataweza kuwatumikia watanzania.
 
Last edited by a moderator:
kwani alichosema niuongo? slaa maneno mengi utekelezaji 0. anajichumia mipesa kibao wakati maofisi ya matawi yako kwenye saloon za watu.
kama hayo ni kweli kwa nini mtumie nguvu kiasi hicho? kwani watu si wanaona matendo; mbona mnaongea hadi mapovu na mimacho inawatoka? ukweli kamwe huwezi kutumia nguvu kuutangaza.
 
Tatizo la watu wengi humu wanafuata mkumbo au hawajui wanachokitetea, huu uzi tangu 2010, from Rutashubanyuma aliyasema hayo maneno lakini utawasikia watu walio na makengeza ya macho na upofu wa masikio wanasema Dr. kalishwa maneno.
Dr Slaa ni msanii wa ukweli kama mnadhani ndio mkombozi wenu andikeni maumivu, angeanza kula mihogo na hawala yake kabla hajapewa huo uraisi
Kama alishindwa kuwatumikia kondoo wa bwana, sidhani kama ataweza kuwatumikia watanzania.

Hata ndani ya cdm kwenye nafasi yake ya ukatibu mkuu tena hana majukumu ya bungeni kashindwa kuthibiti ufisadi mkubwa ambao umeshamiri kule............sassa tukimpa nchi kwani tumemchagua aende kule Ikulu kula mihogo au kuongoza taifa. It sounds more hypocritical statement to me now than then, to loud it all out!
 
"Mimi nimeweza kwa sababu nina uwezo wa kulipa zaidi ya Sh4 milioni MOI (Kitengo cha Mifupa cha Hospitali ya Muhimbili) Muhimbili. Je ni Watanzania wangapi wenye uwezo kama wa Dk Slaa,” alihoji. Awagiwie sasa huo uwezo wake hao masikini ili awe nao sawa yeye si mpenda usawa? adhihirishe kwa vitendo!

Argument za kitoto hizo kwani hela yake hiyo aliyotumia si jasho lake?Amekuja kutumia kodi yako?
 
Nafikiri wewe unamfuatilia HAMY-D kinyumenyume. ukweli ni kwamba, nyie machadema mlijifanya kuwa CHADEMA na DR SLAA ni watakatifu. mkasahau kuwa dr slaa ni binadamu kama walivyo binadamu wengine na hivyo hakosi mapungufu. vivyo hivyo kwa chadema, ni chama cha siasa kama ilivyo kwa vyama vingine na kwamba wakati wa harakati za kwenda Ikulu kinatumia mbinu nyingi chafu na batili. Kitendo cha HAMY-D kueleza ukweli nyie wengine mnachukia kitu ambacho sidhani kama ni busara. ukweli upokeeni hata kama ni mchungu

Chadema ni ubinafsi tu unawasumbua
 
Jana Dr Slaa amedai kuwa ni mtu wa kioato cha chini na amekuwa akishindia mihogo. Najiuliza toka lini mtu mwenye uwezo mdogo kiuchumi namna ile akaweza kukodisha ukumbi ktk hoteli ya serena, kulipa vituo vya televisheni na kulipa kampuni iliyoanda shughuli ile?. Nani au taasisi ipi iliyolipia gharama hizo?
 
siku zote ukiwa unamdanganya mtu na huyo mtu akajua unamwambia ukweli na wewe unaemdanganya ukijua unamdanganya, ujue unajidanganya mwenyewe.
 
Anajidanganya namueleza tushakua werevu ss .kama ashindia mihogo pesa za kulipia ukumbe ulee Serena media live zaidi ya TV station 3 tena zaidi ya masaaa 2 live wapo hewani ?duu ama kweli silaaah ana hasira
 
Back
Top Bottom