Dr. Slaa: Niko tayari kula mihogo Ikulu

7000 per day

Soma hapa wee 200/= per post
Askofu ambomoa Dk.Slaa,amuonya na dhambi ya uzinzi!!!
Askofu wa kanisa la pentecost Church Of God Emmanuel Mwamakula.amelaani kitendo cha katibu mkuu wa CHADEMA bwana W.Slaa kwenda kufanya idaba ya hijja nchini israel na mwanamke hajafunga nae ndoa. Slaa aliondoka nchini feb 24 mwaka huu akiwa na mtu aliyemtambulisha kama mchumba wake na ambaye amekiri kuzaa nae mtoto,Josephene Mushumbusi kwa ndege no QR 545 kwa ajiri ya kwenda kutimiza ibada hiyo ambayo yeye anadai ni ya kuliombea taifa.

Akizungumza na gazeti hili Askofu Mwamakula alisema ameshangazwa na kitendo cha Slaa kuwa ujasiri wa kwenda kufanya idaba hiyo takatifu na mwanamke ambaye hajafunga nae ndoa(hawara). Hiki alichofanya Slaa kinapaswa kukemewa na kulaaniwa vikali,haiwezekani mtu akamchukua mwanamke ambaye hajafunga nae ndoa na kuambatana nae kwenda sehemu takatifu ambako ni mbele za mungu na kufanya ibada,huu ni 'uchafu' uliopitiliza,alisema askofu huyo.

Aliendelea kusema kwamba Slaa alipaswa kwanza kutubu kwa kitendo chake cha kupora mke wa mtu na kuzaa naye wakati anajua wazi kufanya ni kutenda zinaa,kwani kwenye maandiko matakatifu imewekwa wazi kwamba mwanamke au mwanaume anayemuacha mume au mke wake na kwenda kwa mwingine anazini.

Slaa amewahi kuwa padre wa kanisa katoliki anajua maandiko kwamba ndoa ya kikristo inapofungwa,kinachotenganisha ni kifo tuu!lakini kinachoshangaza yeye amepora mke wa mtu na kwenda nae sehemu takatifu bila aibu. Ninasema ni kwamba,Slaa alipaswa kwanza kutubu na kutumia nafasi hiyo kuomba mungu amuepushe na adhabu kali ikizingatia umri wake amesonga sana.

Lakini yeye anaona fahari kufanya matendo ambayo hayaendani na umri wake na kibaya zaidi ni matendo yanayokwenda kinyume na dini yetu.Alisema Askofu huyo kutoka Mbeya. Slaa amekwenda Mbeya kutembea tu,hana usafi wa kutosha kuliombea taifa wakati yeye ndiye alipaswa kuombewa kwanza kutokana na dhambi nzito ya uzinifu inayomkabili!

Hata hivyo,uchunguzi wa gazeti hili umebaini kuwa,katika kuficha uhusiano wake huo na mchumba wake huyo(Josephine Mshumbusi) kwenye orodha ya wasafiri ambayo mwandishi wa habari hii ameiona,Slaa akiwa namba 70,mchumba wake huyo amejitambulisha kama mke wa Aminiel Mahimbo na sii mchumba wa Slaa.

Chanzo:Africa Leo toleo no 72.

Bubu Msemaovyo, Mahesabu, Timtim and 8 others like this.
 
Usiombe kaka,huyu Dr.Slaa anatupa wakati mgumu sana huku kwenye majukumu yetu ya kila siku.Hatulali tukapata usingizi kama zamani.Acha tumseme tu kwenye haya majukwaa angalao tupumue kidogo.Baba punguza spidi,utatumaliza,tutakula wapi???????????
 
HAMY-D kumbuka jambo hili kwamba kwenye nadharia za elimu ya masoko hasa katika kunadi bidhaa kazi kubwa inayofanyika ni: moja, kuwashawishi wateja wapende bidhaa yako, pili kwa wale wateja wa zamani unawakumbusha wasiisahau.

Kwa mantiki hiyo, mara nyingi kila mara umekuwa unakuja na hoja inayomhusu Dr. Slaa na CDM. Hivyo, unachofanya ni kuwashawishi watu wafuatilie habari za Dr. Slaa na CDM na watu wengine unawakumbusha wasimsahau Dr. Slaa na CDM.

Wewe unamtangaza zaidi Dr. Slaa na CDM kama hujui unachofanya. Hata hao magamba waliokupa kazi wamejichanganya. wanafikiri wanakibomoa CDM kwa njia ya kazi yako kumbe mnafanya kinyume chake. Poleni.
 
Vile unavyo muona Dr,Slaa na CDM yake,ndivyo wana CDM wanavyo kuona wewe(HAMY-D) na CCM yako.Nakushauri uje na mbinu zingine au kajipange upya! Bosi wako Nchemba ameukubali muziki wa CDM huko Arusha chini ya uongozi wa Dr,unayemtuhumu,sasa sijui ni utovu wa nidhamu au nikukosa maadili ya kimalezi au?

Kaka huyu hamy-d ndio madelu tangu ale ban anatumia hii id ndg moja na simiyu yenu,a.k.a unyakhae, mnyangaa, ifwerro, kilombero id nyingi. Wote from Singida. Huyu Dr Slaa kwanza hawamuwezi na hizi pumba zao zinwadhalilisha wenywe. Kaangalie post ya simiyu kule, so pathetic analia eti Dr asigombee urais wanawogopa...waache kujidhalilisha Dr ni namba nyingine. And he presidential Material, wakipenda wasage chupa wanywe. ..vinginevyo hangaikeni luweka your house in order though likely too late
Peeeeoooopllees
 
7000 per day

Soma hapa wee 200/= per post
Askofu ambomoa Dk.Slaa,amuonya na dhambi ya uzinzi!!!
Askofu wa kanisa la pentecost Church Of God Emmanuel Mwamakula.amelaani kitendo cha katibu mkuu wa CHADEMA bwana W.Slaa kwenda kufanya idaba ya hijja nchini israel na mwanamke hajafunga nae ndoa. Slaa aliondoka nchini feb 24 mwaka huu akiwa na mtu aliyemtambulisha kama mchumba wake na ambaye amekiri kuzaa nae mtoto,Josephene Mushumbusi kwa ndege no QR 545 kwa ajiri ya kwenda kutimiza ibada hiyo ambayo yeye anadai ni ya kuliombea taifa.

Akizungumza na gazeti hili Askofu Mwamakula alisema ameshangazwa na kitendo cha Slaa kuwa ujasiri wa kwenda kufanya idaba hiyo takatifu na mwanamke ambaye hajafunga nae ndoa(hawara). Hiki alichofanya Slaa kinapaswa kukemewa na kulaaniwa vikali,haiwezekani mtu akamchukua mwanamke ambaye hajafunga nae ndoa na kuambatana nae kwenda sehemu takatifu ambako ni mbele za mungu na kufanya ibada,huu ni 'uchafu' uliopitiliza,alisema askofu huyo.

Aliendelea kusema kwamba Slaa alipaswa kwanza kutubu kwa kitendo chake cha kupora mke wa mtu na kuzaa naye wakati anajua wazi kufanya ni kutenda zinaa,kwani kwenye maandiko matakatifu imewekwa wazi kwamba mwanamke au mwanaume anayemuacha mume au mke wake na kwenda kwa mwingine anazini.

Slaa amewahi kuwa padre wa kanisa katoliki anajua maandiko kwamba ndoa ya kikristo inapofungwa,kinachotenganisha ni kifo tuu!lakini kinachoshangaza yeye amepora mke wa mtu na kwenda nae sehemu takatifu bila aibu. Ninasema ni kwamba,Slaa alipaswa kwanza kutubu na kutumia nafasi hiyo kuomba mungu amuepushe na adhabu kali ikizingatia umri wake amesonga sana.

Lakini yeye anaona fahari kufanya matendo ambayo hayaendani na umri wake na kibaya zaidi ni matendo yanayokwenda kinyume na dini yetu.Alisema Askofu huyo kutoka Mbeya. Slaa amekwenda Mbeya kutembea tu,hana usafi wa kutosha kuliombea taifa wakati yeye ndiye alipaswa kuombewa kwanza kutokana na dhambi nzito ya uzinifu inayomkabili!

Hata hivyo,uchunguzi wa gazeti hili umebaini kuwa,katika kuficha uhusiano wake huo na mchumba wake huyo(Josephine Mshumbusi) kwenye orodha ya wasafiri ambayo mwandishi wa habari hii ameiona,Slaa akiwa namba 70,mchumba wake huyo amejitambulisha kama mke wa Aminiel Mahimbo na sii mchumba wa Slaa.

Chanzo:Africa Leo toleo no 72.

Bubu Msemaovyo, Mahesabu, Timtim and 8 others like this.
 
Ha ha hiki kibabu ni bonge la kisanii ila mapenzi mahaba yamewazidi watu flani flani hivi yaan wao kila kitu cha Babu wao ni sawa tu ha ha SIASA za Tanzania bana ni janga la kidunia na sijui ni aina gani ya siasa hizi maana kama sasa tu hajaingia madarakani tunaahindwa kumkosoa sasa akiwa madarakani mkono wa chuma kama Carl Peter sasa ole wenu mumkosoe wakati huo....
Hapa JF akikosolewaga tu unamuona anavyopanic sasa sijui yeye ni Malaika
 
Kaka huyu hamy-d ndio madelu tangu ale ban anatumia hii id ndg moja na simiyu yenu,a.k.a unyakhae, mnyangaa, ifwerro, kilombero id nyingi. Wote from Singida. Huyu Dr Slaa kwanza hawamuwezi.

MJUE DR SLAA

Mpaka sasa SLAA hana nyumba huko Karatu, badala yake hulala kwa rafiki yake ambaye inadaiwa ni shoga.

Tangu mwaka 1977 hadi 1991, SLAA alikuwa Padre wa Kanisa Katoliki Jimbo la Mbulu. Aliachishwa Upadre baada ya kukosa uaminifu na kuendekeza tabia ya ufuska na wake za waumini. Hali hiyo ilimpelekea kupata watoto wawili wakati akiendelea kutoa huduma za kiroho. Watoto hao ni EMILIANA aliyezaliwa 18/06/1987 na LINUS aliyezaliwa 23/09/1988. Dr. SLAA alimuoa ROSE, mmoja wa waumini wake mwaka 1991 ndipo kanisa likamfukuza Upadri. Wakati huo ROSE alikuwa mchumba wa mweka hazina wa Kanisa ambaye miaka michache baadaye alikufa kutokana na mfadhaiko.

Uchunguzi umeonesha kwamba, Dr. SLAA ni fuska aliyebobea, na anayo tabia ya kufanya mapenzi na wake wa marafiki zake hata baada ya kuoa. Kwa mfano Diwani wa Kata ya Baray wilayani Karatu LAZARO TITUS MASSAY (CHADEMA) aliwahi kupeleka malalamiko katika uongozi wa juu wa CHADEMA kuhusu tabia ya SLAA ya kufanya mapenzi na wake za watu wakiwemo hata wake za Madiwani Jimboni Karatu. Aidha, tarehe 01/11/2004, SLAA alifumaniwa na mkewe katika chumba kimojawapo cha Hotel 56 mjini Dodoma akiwa anafanya mapenzi na msichana aitwaye NJARI. SLAA aliruka dirishani bila nguo na wahudumu wa hoteli wakamsetiri kwa shuka na kumficha hadi mke wake alipoondoka kwa hasira kali baada ya kupambana na wizi・wake sawasawa - tukio hilo lilinaswa kwenye mkanda wa simu ya mkononi ya mhudumu na umehifadhiwa kwa matumizi katika wakati muafaka.

Dr. SLAA anasumbuliwa na ugonjwa mkubwa・ Amekuwa akienda kutibiwa mara kwa mara nchini Afrika Kusini. Mwezi Oktoba hadi Desemba, 2006, SLAA alilazwa katika Hospitali ya Aga Khan jijini Dar es Salaam akitibwa gonjwa moja hatari sana ・

Dr. SLAA amewahi kula mamilioni ya fedha za vilema ambazo zililetwa na wafadhili toka Ujerumani. Ushahidi upo kama atafanya ubishi.

Alihongwa nyumba Ujerumani na hawara yake wa Kijerumani ambaye sasa ni marehemu na Dr. SLAA anategemea kuhamia huko. Inasemekana Dr. SLAA na hawara yake ambaye ni marehemu walishirikiana kumuua mume halali wa mama huyo aliyejulikana kwa jina la 全imbosh・

Dr. SLAA alikuwa kachero wa Idara ya Usalama wa Taifa kama alivyo LYATONGA MREMA na alikuwa anaendelea kulipwa kiasi kikubwa cha fedha. Baadaye Idara hiyo nyeti iligundua fedha hizo anapeleka kwa hawara zake hivyo ikasitisha malipo hayo hali ambayo imemuudhi na akaanza kuipaka matope kwa kuituhumu na taarifa za kughushi anazodai amezipata. Vyanzo vya kuaminika vimebaini SLAA alipewa taarifa ya kughushi na akainunua kwa bei mbaya. Baada ya kubaini hivyo sasa anamsaka mbaya wake aliyemwingiza mjini.

Source. Jf 16th October 2007, 05:11Mtoto wa Mkulima
 
Kaka huyu hamy-d ndio madelu tangu ale ban anatumia hii id ndg moja na simiyu yenu,a.k.a unyakhae, mnyangaa, ifwerro, kilombero id nyingi. Wote from Singida. Huyu Dr Slaa kwanza hawamuwezi na hizi pumba zao zinwadhalilisha wenywe. Kaangalie post ya simiyu kule, so pathetic analia eti Dr asigombee urais wanawogopa...waache kujidhalilisha Dr ni namba nyingine. And he presidential Material, wakipenda wasage chupa wanywe. ..vinginevyo hangaikeni luweka your house in order though likely too late
Peeeeoooopllees

Msalimie mlevi wa gongo aitwaye josephat isango aliyekimbia madeni singida na aliyesababisha mgogoro wa kiuongozi chadema mkoa wa sgd amekuja kujificha dar ambako hajulikani
 
HAMY-D kumbuka jambo hili kwamba kwenye nadharia za elimu ya masoko hasa katika kunadi bidhaa kazi kubwa inayofanyika ni: moja, kuwashawishi wateja wapende bidhaa yako, pili kwa wale wateja wa zamani unawakumbusha wasiisahau.

Kwa mantiki hiyo, mara nyingi kila mara umekuwa unakuja na hoja inayomhusu Dr. Slaa na CDM. Hivyo, unachofanya ni kuwashawishi watu wafuatilie habari za Dr. Slaa na CDM na watu wengine unawakumbusha wasimsahau Dr. Slaa na CDM.

Wewe unamtangaza zaidi Dr. Slaa na CDM kama hujui unachofanya. Hata hao magamba waliokupa kazi wamejichanganya. wanafikiri wanakibomoa CDM kwa njia ya kazi yako kumbe mnafanya kinyume chake. Poleni.

Nafikiri wewe unamfuatilia HAMY-D kinyumenyume. ukweli ni kwamba, nyie machadema mlijifanya kuwa CHADEMA na DR SLAA ni watakatifu. mkasahau kuwa dr slaa ni binadamu kama walivyo binadamu wengine na hivyo hakosi mapungufu. vivyo hivyo kwa chadema, ni chama cha siasa kama ilivyo kwa vyama vingine na kwamba wakati wa harakati za kwenda Ikulu kinatumia mbinu nyingi chafu na batili. Kitendo cha HAMY-D kueleza ukweli nyie wengine mnachukia kitu ambacho sidhani kama ni busara. ukweli upokeeni hata kama ni mchungu
 
Busara gani unayozungumzia kwa kizazi kilichopotoka na kukosa uadilifu kama ccm na watawala wake. Ni vigumu sana na tena ni aibu iliyokidhiri kuongelea busara usiyoweza kuiishi na pengine hujui hata maana yake.

Huo ukweli unaozungumzia ni upi ilhal muda wote mmekalia majungu, fitina na kubwabwaja matusi kana kwamba hamkupata bahati ya kulelewa na watu waliostaarabika. Hata hivyo inafahamika wazi kuwa kigezo cha kupata hicho kibarua chenu cha bk7 ni weledi wa mtu katika kuporomosha matusi na kupotosha mambo.

Kwa ccm na watawala wake uongo na udhalimu umegeuzwa kuwa tunu inayorembwa na kulindwa ilhal ukweli kwenu unachukuliwa kuwa ni uchochezi,

AIBU ILIYOJE KWENU.
 
kama kigezo ni watoto kutopata malezi ya wazazi wote wawili, huoni kuwa Dr SLAA ni mmoja wa wazazi ambao ndo wanatengeneza matatizo kama hayo unayofikiria? dr slaa kazaa watoto wote nje ya ndoa. mzazi kama huyu akiwa rais wa nchi, si atatelekeza raia wake kwa tamaa zake binafsi?
 
Kama aliweza kujikopesha hela za chama akazitumia hata kuzila akashindwa leo ale mihogo anzie wapi kwa kula mihogo.
 
HAMY -D ndugu yangu unapoteza muda wako, DR. Slaa humumuwezi kwa cheapest arguments kama hizi, nakushauri uwe unashirikiana na wenzako wa Lumbumba kuung nguvu walau tengeneza kitu ambacho kinaleta mantiki masikioni mwa watanzania.

kwani alichosema niuongo? slaa maneno mengi utekelezaji 0. anajichumia mipesa kibao wakati maofisi ya matawi yako kwenye saloon za watu.
 
ONGERA KWA KUPEWA :mimba:NA MWIGULU/Ndio maana unajisikia kichefuchefu pale unapo iona ama kuisikia cdm pamoja na viongozi wake
 
Back
Top Bottom