Solomon Kambarangwe
Member
- Feb 7, 2015
- 85
- 37
Kamwe hato nusa vyumba vya ikulu
.
Wewe mbona unajiaibisha? Ikulu ni ya Watz sio ya ccm. Kama mnadhani kuna chama chenye hati miriki ya kuwa ikulu mnataka kukiuka katiba na sheria na Watz hatuko tayari kukubali demokrasia kubakwa na mafisadi wa ccm.