Dr. Slaa ndio mkombozi wa watanzania 2015. Atafumua mfumo huu uliofeli miaka 50 tangu uhuru

Huyo ni mkombozi kwenu huko huku tz ni mganga njaa na mwizi wa ruzuku za chama chake

Naona fisa bado linaendelea kuzunguka, ewe mfu wa el soma thread na uelewe hayo yote yalizungumzwa inamaana huamin? Kama hutoamin bac ww hukukaa ktk Nchii hii ulikuwa msituni leo ndo umekurupuka,
Hao watia nia wenu wanayoyaahid ndo hayo hayo mliowaahid Watz na hamjayatekeleza tukiwaambia mmechoka mnahitaji kupumzika hamtak kukubal, oct mtakubal tu.
 
Unalipwa shilingi ngapi kwa siku...kwa kila ujinga unaopost hapa?
Njaa+viroba ni shida...

Limekuuma maana najua ukwl unauma ila najua unaelewa sn sema tu unajitoa ufaham ila sikushangai maana leo ni cku ya mafisi kuachiwa porini
 
Kwa wizi uliofanywa na ccm kwa miaka 50 Ya uhuru twamwitaji Daktari kiturudisha alipotuacha Nyerere na siyo wezi wa sasa
 
Dr.Slaa jana akiwahutubia wananchi wa Mpanda mjini-Katavi kawafananisha watangaza nia wa CCM na mtu anayeenda kwenye wodi ya wajawazito kutafuta mchumba bikira.Kwamba hakuna mwenye nafuu wote mpaka sasa hakuna anayefaa kugombea na kuwakomboa Watanzania
 
Dr. Slaa akiingia ikulu mafisadi watafute nchi yao.

Watanzania wanatarajia kuingia nchi ya ahadi, matumaini yao kwa Dr. Slaa

Dr Slaa ndiye mtendaji mkuu wa Chdema, na mahesabu yao ndio haya, yenye MASHAKA, hana tofauti na wezi wengine.

Angekuwa mtu safi na makini angeonyesha hapa....Kama kamshindwa Fisadi Mbowe atawaweza mafisadi gani tena?Dr Slaa ni dhaifu na hana uwezo huo.

REPORT YA CAG

attachment.php



N.B: CHADEMA HAIJAWAHI KUPATA HATI SAFI YA CAG, CHADEMA NA CCM NI KAMA MAPACHA
 
CCM lazima wajiandae kisaikolojia na mpaka ss imeonesha ccm awana presidentia material angalau wa kumfikia kwa ata robo tu ya uwezo wake
 
Denyo hongera kwa mawazo mazuri ya muhimu sanaa,maana huu ndiyo ukweli halisi either wanataka au hawataki.
 
Dr Slaa ndiye mtendaji mkuu wa Chdema, na mahesabu yao ndio haya, yenye MASHAKA, hana tofauti na wezi wengine.

Angekuwa mtu safi na makini angeonyesha hapa....Kama kamshindwa Fisadi Mbowe atawaweza mafisadi gani tena?Dr Slaa ni dhaifu na hana uwezo huo.

REPORT YA CAG

attachment.php



N.B: CHADEMA HAIJAWAHI KUPATA HATI SAFI YA CAG, NI WEZI KAMA WEZI WENGINE
upotoshaji wa magamba
 
Kwa Hapa tulipo bila Dr Slaa tutarudi Nyuma kwenye umaskini kwa kasi ya ajabu sana maana majizi yote Yako Nyuma ya ccm
 
Wito wangu kwa wana ccm tuunganisheni nguvu nguvu kumweka Daktariiii Slaa
 
DENYO

Mkuu maelezo yako ni mazuri sana na kwa upande wangu mimi nimekuelewa kabisa,ila tatizo limekuja uliponitajia dr. Slaa.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom