Dr Slaa na njama ya kukwepa kodi

Status
Not open for further replies.
Mara nyingi Dr.Slaa amekuwa anikuu maneno ya Mwalimu Nyerere, juu ya nani ni mzalendo na zaidi kwamba kiongozi wa Watanzania anapaswa kuwa awe mtu muadilifu.

Vipi umeshapata chai mkuu....? Unaandika kama mwenye njaa kali sana....Hueleweki...!!!
 
Msukule ni wewe uliyeambiwa ule nyasi ila ndege ya rais inunuliwe! Huna hata aibu tumeibiwa sana sihitaji hata kurudia!

By the way wewe msukule wambie mabwana zako wakukatie kidogo za Uswsisi usogeze maisha.

Mi huwa nashangaa sana kila siku hapa jf nawaona wale washabiki, wapenzi na wanachama wa Chadema wamejaa chuki, jazba, matusi, maneno ya kukera, uongo na uzushi na kukosa uzalendo. Hivi hii ndiyo hali halisi ilivyo ndani ya chama chao au ni kukata tamaa?
 
Mwanzo nilikuwa siamini kuwa kweli kuna watu "wanakosa usingizi" wakilisikia tuu jina la Dr. Slaa!.

Mimi sio mwana Chadema, ila haya usemayo kama ni kweli, then ni jambo jema!. Vifaa vya hospitali popote havilipiwi ushuru!. Hivyo usisingizie kuwa eti huo ushirikiano na dini fulani ni kwa lengo la kukwepa kodi!, umenoa!.

Tatizo lako Mkuu Ritz, ni ule tuu uoga wako kuhusu "2015" kuwa "jamaa anaweza kuwa!", hivyo sasa unaanza fitna kuwa hospitali msaada huo ni kwa sababu tuu wajapani wameahidiwa kuwa "2015 atakuwa!" ndia maana wanasaidia!.
Acha uongo, fitna na majungu!. 2015 litatimia lile tuu lililoandikwa!.
Ni "liandikwalo ndilo liwalo!" na sio "lisemwalo!".
Pasco.

Ahsante!
 
Vipi kuhusu waarabu waliouziwa TWIGA na kusaforishwa kwenda uarabini na vipi ishu ya GESI YA MTWARA,mikataba ile ni ya kushinikiza ili kuifumba China ili mtoto Wa nana hasi nyongwe?
 
Ndio mana wenye akili huwezi kuta wanapigia kelele swala la cdm wanajua ni wachumia tumbo wote na wana njaa mbaya hawa jama ni kweli mtaendelea kuwa wapinzani wazuri mpaka tutapopata wapinzani wa kweli

Ni bora Lumumba wawe wanatoa posho za chai asubuhi maana inaonesha una njaa kali.....
 
Mi huwa nashangaa sana kila siku hapa jf nawaona wale washabiki, wapenzi na wanachama wa Chadema wamejaa chuki, jazba, matusi, maneno ya kukera, uongo na uzushi na kukosa uzalendo. Hivi hii ndiyo hali halisi ilivyo ndani ya chama chao au ni kukata tamaa?

Ume-panic dada tulia dawa iingie.....
 
Mkuu Ritz hili bado halijatokea hebu ngoja tuendelee kulisubiri. Unaweza kutupa taarifa ya wapi mmefikia kwenye ile ishu ya Dr. Kigwangala na ile kampuni yake iliyokuwa inatumia vibaya ule msamaha wa kodi? Au nalo mmeshalimaliza kiaina?
 
Last edited by a moderator:
Mara nyingi Dr.Slaa amekuwa anikuu maneno ya Mwalimu Nyerere, juu ya nani ni mzalendo na zaidi kwamba kiongozi wa Watanzania anapaswa kuwa awe mtu muadilifu.

Mi naona unachokoza watanzania ili ujue ni wangapi wanajua nini na kwa kiasi gani! jipime mwenyewe wala huna haja ya kujibu. Kwamba, katika watu wa kusema chochote kuhusiana na ukwepaji wa kodi nawe unastahili kweli kunyanyuka kumsema mtu yeyote?
 
Mara nyingi Dr.Slaa amekuwa anikuu maneno ya Mwalimu Nyerere, juu ya nani ni mzalendo na zaidi kwamba kiongozi wa Watanzania anapaswa kuwa awe mtu muadilifu.

Sasa kama mpango wa kujenga Hospitali unaratibiwa na Askofu ulitaka vifaa vya ujenzi vije kwa jina la babaako! Toeni hapa propaganda zisizo na maana puMba...vuuuu

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Wanaukumbi.

Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na maendeleo Chadema, Dr. Slaa anapenda sana kujinasibisha kwamba yeye ni mzalendo wa kupindukia, anayechukia vitendo vya ufisadi na anayeionea huruma nchi yetu.

Taarifa za uhakika kabisa zinathibitisha kwamba mwishoni wa mwezi Juni, mwaka 2013 Dr.Slaa na Mchumba wake walitembelewa na kundi la Wapani wapatao 20 nyumbani kwao Mbweni, Kinondoni ambapo wote kwa pamoja walikula cha jioni.

Dhumuni la ugeni huo wa Wajapani, ilikuwa ni kuthibitisha kama kweli Chadema kina mpango wa kujenga hospitali kubwa ya kisasa katika eneo la Mlalakuwa Dar es Salaam, Wajapani hao ndiyo walipangwa au kuteuliwa kujenga hospitali hiyo, wameakikishiwa pamoja na mambo mengine ya kimaslahi yao makampuni yao mengine, kwamba msimamizi wa hospitali hiyo ndiyo atakayekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mwaka 2015, kwa maana ya Dr. Slaa.

Mipango yote ya kujenga hospitali hiyo, inaratibiwa na Askofu mmoja anayemiliki Kanisa lake maeneo ya Kawe, Dar es Salaam, Askofu huyo amekuwa akifanya safari za Japani akiwa ameandamana na mchumba wa Dr. Slaa, Josephine, mpango unafanyanyika vifaa vyote vitakavyoingizwa kutoka Japani vipitie mikononi mwa Kanisa ili tu visitozwe kodi na serikali.

Ni Dr.Slaa huyu huyu, ambaye miaka michache iliyopita alitangaza orodha ya aibu ya mafisadi pale Mwembe yanga, leo hii anawakimbia Mamlaka ya Mapato nchini TRA.

>Topic zako wewe na Hamida loow!
 
Watu walafi (selfish) huwa hawafikirii kama unavyofikiria wewe. Huoni hata mshahara wa Katibu Mkuu wa CHADEMA alijipangia kwa maslahi yake and his fragmented family.

Kwani unadhani kwa umri wake huu yuko katika siasa kama Samalitan? Thubutu.

Pesa kwanza, wananchi baadaye.

Mshahara wa Dr Slaa kajipangia mwenyewe, ok labda kuna ukweli na hata hizo habari za wajapani labda zina ukweli

Mshahara wa Katibu Mkuu wa CCM, na viongozi wote wa Secretariat ya CCM unapangwa na nani au chombo kipi?

Na ikiwezekana tupatieni difference ya mishahara ya viongozi hawa wawili tu, ikibidi na posho za utendaji kazi maana CCM makao makuu ni Dodoma ila viongozi wanaishi Dar, tupeni mchanganuo je? Viongozi wangapi serikalini serikalini wanalipa kodi

Wabunge wangapi wa CCM kati ya 200+ wanaolipa PAYE

Na kosa liko wapi kutumia kanisa kujenga Hospitali ambayo italeta unafuu kwa watanzania wote?
 
Kama anakwepa kodi ni kosa kisheria. Sasa kwanini mzalendo Ritz na wenzako msipeleke ushahidi wa ukwepaji huo kwenye vyombo vinavyohusika kama polisi.na TRA ili afunguliwe kesi?
BY THE WAY KILA MTU ANAJUA CCM MMEKUWA MKITAFUTA NJIA ZA KUWAFUNGULIA KESI KISHA KUWAFUNGA JELA VIONGOZI WAKUU WA CHADEMA KWA MUDA MREFU. USHAHIDI UPO MWINGI SANA. SASA HII SI NDIO GOLDEN OPPORTUNITY?

"Ukiwa mwongo usiwe msahaulifu!"
 
Nina imani kubwa na Dr Slaa, pamoja na mapungufu yake mbalimbali ya kibinadamu. Lakini kwa hili la kukwepa kodi ya serikali limenitisha sana.

Ina wezekanaje kiongozi wa kitaifa wa chama kikuu cha upinzani akashiriki kwenye uhalifu huo wa ukwepaji kodi?
 
Kama anakwepa kodi ni kosa kisheria. Sasa kwanini mzalendo Ritz na wenzako msipeleke ushahidi wa ukwepaji huo kwenye vyombo vinavyohusika kama polisi.na TRA ili afunguliwe kesi?
BY THE WAY KILA MTU ANAJUA CCM MMEKUWA MKITAFUTA NJIA ZA KUWAFUNGULIA KESI KISHA KUWAFUNGA JELA VIONGOZI WAKUU WA CHADEMA KWA MUDA MREFU. USHAHIDI UPO MWINGI SANA. SASA HII SI NDIO GOLDEN OPPORTUNITY?

"Ukiwa mwongo usiwe msahaulifu!"

Mkuu,

Kuwa muelewa. Makanisa yamepewa msamaha wa kodi. Ila kwa kuwa wajenzi ni hao wajapani iliwapasa wao ndio walete vifaa, walichofanya wao ni kupewa baraka za Dr Slaa kwa kupitia kanisa ili waingize vifaa vyao bila kulipa kodi. Mjadala upo hivyo.
 
Mwanzo nilikuwa siamini kuwa kweli kuna watu "wanakosa usingizi" wakilisikia tuu jina la Dr. Slaa!.

Mimi sio mwana Chadema, ila haya usemayo kama ni kweli, then ni jambo jema!. Vifaa vya hospitali popote havilipiwi ushuru!. Hivyo usisingizie kuwa eti huo ushirikiano na dini fulani ni kwa lengo la kukwepa kodi!, umenoa!.

Tatizo lako Mkuu Ritz, ni ule tuu uoga wako kuhusu "2015" kuwa "jamaa anaweza kuwa!", hivyo sasa unaanza fitna kuwa hospitali msaada huo ni kwa sababu tuu wajapani wameahidiwa kuwa "2015 atakuwa!" ndia maana wanasaidia!.
Acha uongo, fitna na majungu!. 2015 litatimia lile tuu lililoandikwa!.
Ni "liandikwalo ndilo liwalo!" na sio "lisemwalo!".
Pasco.

Mkuu Pasco, kusema ukweli unanifurahisha sana na msimamo wako, Binafsi nimekuwa mtu nisiyekuwa na chama kwa muda mrefu lkn uwongo wa wazi wa watu kama kina Ritz na ukandamizaji wa serikali kwa wapinzani haswa CDM unanifanya nione kuwa kuna haja ya kujiunga na upande unaokandamizwa ili niweze kuweka mchango wangu katika kuhakikisha kuwa haki inatendeka na inaonekana ikitendeka.

Last edited by a moderator:
Hakuna majungu hizo ni fikra zako subiri nikuwekee picha za mikutano.

Wajapani wamepewa ahadi nyingi tu.

Vuta subira mkuu Pasco.

Haaaa....Ivi ni dhambi wao kukaa na wajapan? au picha za kukwepa kodi???Tangu lini vifaa vya hospital;i vikalipiwa kodi? Ritz wewe ni muwongo wa kufa na kwa hili wala huchomoki. Dr. Slaa anawakosesha usingizi wala hamli mkashiba mkiamka slaa, mkitembea slaa, mkinya slaa kila mfanyalo Dr. Slaa.....bado 2015 mziki utakuwa mzito sana.

Last edited by a moderator:
Bahati mbaya hujui unachoandika bali unaandika kwa hisia tu,

Hisia za abunuasi haziwezi kujenga nchi hii ndugu yangu Ritz,

Umeshindwa nini kwenda ofisini kwa Dr Slaa ukamuhoji kuliko kuishi kwakusikia tu hivi?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom