Dr. Slaa na Mbowe njiani kwenda kwa Babu!

Status
Not open for further replies.

Gagurito

JF-Expert Member
Feb 11, 2011
5,600
804
Ndugu wanaJF, nimepata taarifa muda c mrefu kuwa mh. Rais wetu wa moyo Dr. Slaa na Mwenyekiti Jembe wa CDM mh. Mbowe nao hawapo nyuma, wapo pamoja na watanzania wenzetu waliopo ktk safari kuelekea loliondo kwa Babu, kushuhudia na kujumuika pamoja na watz wengine ktk Utoaji wa tiba mbadala ya toka kwa Babu. Binafsi nawapongeza kwa kuthamini hisia za watanzania, naungana na wale wanaolaani kitendo cha serikali kusitisha zoezi kwa madai ya uchunguzi wa dawa, KAMA WAGONJWA WANAKIRI KUPONA NADHANI HAKUNA HAJA YA KUWANYIMA MATIBABU, Hongereni DR. SLAA NA MWENYEKITI MBOWE KWA KUFUNGA SAFARI, DHAMILA YENU NI CHACHU YA UZALENDO KWA WANANCHI NA TAIFA KWA UJUMLA.
 
Sasa Gagurito wewe na CPA tumwamini nani??

Thread ya hapo chini yasema hawa viongozi wa watu wameenda Liberia kwa Mama Sirleaf wakati wewe tetesi zako wapo kwa babu.
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/117207-mbowe-na-dr-slaa-ndani-ya-liberia.html

Mbowe and Slaa is like a trade mark/brand, manake watu wa magazeti ili wauze lazima wafanye featuring na Mbowe/Dr. Slaa.
Mnanikumbusha enzi za Obama 2008 maana hata tomato sosi "Obama" ilitengenezwa au "Obama Hair Cut",

Naomba uthibitishe hizo taarifa zako iwapo wameonekana kwa babu na muda huo huo wapo Liberia ili tujue kama kuna mizimu inavaa miili yao
 
wapo kwa Babu, Liberia wakafate nin wakati watz maelfu wanataka wapate tiba iliyositishwa na serikali huko LOLIONDO!
 
Mheshimiwa Rais Dr.Slaa,naomba utuambie upo wapi sasa hivi kuondoa huu utata.naamini unanisoma.
 
Asubuhi media imetuambia wameelekea nje ya nchi kuhudhuria mkutano wa vyama vya upinzani. Sasa naelekea kukosa muelekeo wa kujua grid reference ya walipo wapiganaji wakombozi wangu. DR Slaa tueleze uko uelekeo wako,tujue "invisible rais" wetu yu wapi?!
 
kwa babu tu!liberia kuna nn cha maana...wanajiramba zao na dawa ya babu ye2!
 
Kama wameenda kwa babu hiyo poa kwani ajabu ni nini? Ugonjwa hauna siasa nendeni mkatibiwe!
 
Mficha uchi Hazai, safari njema Dr. SLaa na Mh. Freeman Mbowe Loliondo kwa Babu! Realy nyie ni watz wenzetu!
 
Uzushi mtupu! Rais yupo liberia, kwa babu yupo Ndesa anawakilisha
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom