TUKUTUKU
JF-Expert Member
- Sep 14, 2010
- 11,765
- 4,033
kwa wale wana jf waliokuwepo na kushuhudia uchaguzi mkuu wa mwaka 1995,ambapo Mrema alikuwa tishio kubwa kwa CCM,mpaka ikafika wakati baba wa taifa mwalimu Nyerere aliamua kuingilia kati na kumnadi Mkapa, akihofia Mrema kushinda uchaguzi.Kwa sasa Dr Slaa ni tishio kubwa kwa CCM,na kama CCM hawatakuwa makini Dr Slaa anaweza kushinda uchaguzi.
Swali kwa wana JF,yupi kati ya Dr Slaa na Mrema wa 1995 ni maarufu na tishio zaidi kwa CCM?
Swali kwa wana JF,yupi kati ya Dr Slaa na Mrema wa 1995 ni maarufu na tishio zaidi kwa CCM?