Dr Slaa, mkono wake bado haujapona

Ziroseventytwo

JF-Expert Member
Mar 27, 2011
7,980
13,633
Ukimwona Dr anavyoishika mic, kwa mkono wake wa kushoto, ambao aliumia mwanzoni mwa kampeni za uchaguzi mkuu mwaka 2010, utagundua mkono wake haujarudia katika hali ya kawaida.

Napata shaka na matibabu aliyopewa dr, haiwezekani kwa muda wote huo bado ashindwe kushika kitu vizuri. Au mkono umepata ulemavu?...kiukweli, dr mkono wa dr bd haujawa normal!
 
Jamani! Hata mkono tuujadili hapa? Mambo hayo wanatakiwa wajadili watu wa kitchen party hapa ni ishu zenye mashikö tu.Mkono why!!? Mtafta dr wa ukwel umuulize atakujibu
 
So what unataka kumtibu!!.. ingekuwa ulimi hapo sawa hapo tungekosa busara nyingi sana kutoka kwa Dr.
 
Dr wa ukweli namkubali haijalish mkono umevunjika bali ana msimamo usioegemea kokote ktk chama
 
Jibuni swali acheni maneno yenu ya siyokuwa na maana,mtu ameuliza swali nyinyi mnajibu kama waimba taarabu msiwe hivyo wakuu komaeni kwenye siasa.
 
Kwa kweli mkono wake utakuwa umepata ulemavu, majuzi nilimshuhudia live viwanja vya mashujaa mjini mtwara akiwa anachezesha mkono mmoja wa kulia tu huku huo mwingne wa kushoto ukiwa umeshika mic.

By the way nashukuru mungu msimamo wake upo palepale na anaendeleza mapambano.
 
Jibuni swali acheni maneno yenu ya siyokuwa na maana,mtu ameuliza swali nyinyi mnajibu kama waimba taarabu msiwe hivyo wakuu komaeni kwenye siasa.
Sasa wakujibu kwani wao madaktari? Iwapo unataka jibu si uende hospitali ukamuulize daktari wake?
 
Ina maana wewe unamwonea huruma kuliko anavyojionea yeye au una maanisha nini mpaka kusema hawezi kushika mic vizuri?Si asingepanda jukwaani kama ni hivyo manake anajua anachokifanya
 
Jibuni swali acheni maneno yenu ya siyokuwa na maana,mtu ameuliza swali nyinyi mnajibu kama waimba taarabu msiwe hivyo wakuu komaeni kwenye siasa.
kwanza mada yenyewe haijatolewa kama swali bali maoni au taarifa.
 
Ni vema kujua afya ya Mr President mtarajiwwa,,mkono ule bado na kwanini? tokea aanguke bafuni Bukoba,akaja kuutonesha tena Machame kule kwa Mbowe,tiba aliyofanyiwa haikutulia
 
Mkono utaponaje wakati Josephine anaendeleza kipigo?

Hujasikia ripoti ya wanaharakati kuwa Dar inaongoza kwa wanawake kuwapa kichapo wanaume?
 
Wakati mwingine nawashangaa sana Pro-Chadema JF kila kitu kupinga muanzisha hii thread kasema jambo la msingi kabisa kuhusu mkono wa Slaa, ni muda toka aanguke kule Mwanza wakati wa kampeni ni vizuri kujua na kufuatilia afya ya kiongozi ...sasa badala ya kutoa ushauri mnamshambulia mleta mada.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom