kaburungu
JF-Expert Member
- Mar 9, 2011
- 3,605
- 6,636
Wakuu heshima mbele
Lile vuguvugu la mabadiliko almaarufu M4C, leo hii limetinga ndani ya wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro. Miongoni mwa wanaotarajiwa kuzungumza ni Dr Slaa pamoja na viongozi wa CDM wilaya.
Updates...
Kwa saa wananchi wanaendelea kumiminika katika viwanja vya Kilosa town primary school.
Mkiona updates zinachelewa ni kutokana na mtandao kuwa chini sana.
Nawasilisha.