Madela Wa- Madilu
JF-Expert Member
- Mar 24, 2007
- 3,062
- 731
dr wakati ukiendelea kuungana na watanzania kuugulia kuibiwa kwa kura zetu wabunge wako wa viti maalum wanaugua ugonjwa wa sintofahamu kwani hawajui wanaenda mjengoni au la pls watangazie wajue namba zao
Mawazo na matazamo wa kihabithi.
CHADEMA wanafuata taratibu walizojiwekea chini ya sheria.
Huko CCM hata zoezi dogo la kutoa maoni yako binafsi nilazima usubiri BOSI wako akuruhusu.
Uhuru ulipatikana Miaka50 ilopita mmeuuza kwa bei ya Shanga sasa mnataka na wengine wafuate nyayo zenu.
Nyie Nambari ONE,Hapa mnachezewa Delay tactics kiduuuuchu tu, mnahaha kwa kukosa shibe ya Umbeya Hiii Hii Hii!:first:
Nyayo wenzenu watafuata Makinda wenu sisi tunatengeneza Trail Mpya.
KEEP UP Dr Slaa.