Madela Wa- Madilu
JF-Expert Member
- Mar 24, 2007
- 3,062
- 731
Hayo ni mawazo unahaki ya kusema.
Lakini kumwambia Dr Slaa anachochea Kuni motoni ni uzandiki wa Ki CCM.
Kimkakati Dr Slaa haendi hivyo kwa sbabu huu si mpambano wo wa siku mbili ni mpambano wa masafa marefu.
Naomba ufunge mkanda kabisaa kwani unaweza usihimili vishindo safari ndi ndefu sana.
Kachochea kuni kwa sababu hakuhudhuria utangazaji wa mshindi?? Are you kidding me??
Hayo maswali yako yote manne ni cha mtoto cha mtoto.Dr Slaa ayajibu ili iwe nini??
Wafuasi na wanachama waliomchagua Dr Slaa hawana Mukuli wametulia wewe unawashwa na picha za pilipili mtandaooni.
Dr Slaa amekataa matokeo na kuwaachia wafu wawazike wafu wao sasa mlitaka ahudhurie ili kuongeza kiwingu na mlindimo mbona ingekuwa aibu kabisa kwa Mgonjwa wenu?
Woti izi baiting yuu mai frendi???