Dr Slaa kutana na Vijana kila mwisho wa mwenzi(2012/15 sept)

Adharusi

JF-Expert Member
Jan 22, 2012
14,402
7,310
Dr Slaa naomba kukushauri uanzishe utaratibu wa kukutana na vijana kila mwenzi,kuanzia mwaka huu 2012 mpaka 2015 septemba
1.vijana walengwa kuanzi miaka 14(wapiga kura wapya 2015) mpaka miaka 30
2.kuwaeleza nini maana ya maendeleo na mabadiliko
3.kuwajengea ujasir nk
4.kuwa ambia vijana wasomi wasomee ualimu,ili warudi mashuleni kufundisha vijana elimu yenye kuleta mabadiliko kimaisha na kisiasa,ili wawe mabaloz wazuri mashuleni, wawafundishe ujasir watoto ngaz ya msingi mpaka chuo kikuu(msingi mkuu uwe wa kudai HAKI)
5.Ili kiwe kizazi kisicho ogopa Kuwajibika.
6.nk
Iwa mwema
Wakatabahu

mawazo mazuri sana, i love such kind of an ideal idea!
 
Hawa jamaa wanavyomuogopa bila shaka watasema anamobilize fujo na kumuua. Socrates aliuawa kwa visingizio kama hivyo eti anawacorrupt vijana!!!!!!!
 
very good idea hii kitu umewaza vizuri sana, enjoy your day, kazi kwake.
 
Naunga mkono hoja, vijana wa Tanzania wanajihisi kutengwa! Huo utakuwa mtaji mkubwa sana kwa Dr. na serikali itaacha kuwadharau.
 
Dr Slaa naomba kukushauri uanzishe utaratibu wa kukutana na vijana kila mwenzi,kuanzia mwaka huu 2012 mpaka 2015 septemba
1.vijana walengwa kuanzi miaka 14(wapiga kura wapya 2015) mpaka miaka 30
2.kuwaeleza nini maana ya maendeleo na mabadiliko
3.kuwajengea ujasir nk
4.kuwa ambia vijana wasomi wasomee ualimu,ili warudi mashuleni kufundisha vijana elimu yenye kuleta mabadiliko kimaisha na kisiasa,ili wawe mabaloz wazuri mashuleni, wawafundishe ujasir watoto ngaz ya msingi mpaka chuo kikuu(msingi mkuu uwe wa kudai HAKI)
5.Ili kiwe kizazi kisicho ogopa Kuwajibika.
6.nk
Iwa mwema
Wakatabahu
Adharusi

Kwa mshahara gani kiongozi na maisha yalivyopanda sasa hivi?
 
Hawa jamaa wanavyomuogopa bila shaka watasema anamobilize fujo na kumuua. Socrates aliuawa kwa visingizio kama hivyo eti anawacorrupt vijana!!!!!!!

Mkuu umenena, unajua serikali ya CCM inamuwinda kwa udi na uvumba dr Slaa lakini hawampati,, wanatamani kumfanya kama mwakyembe na wakati mwingine wanatamni kumdungua lakini wanaogopa kuiingiza nchi katika machafuko, namwamini Dr na yeye humu hua anapitia natumaini anaweza akapita na akasoma hapa na akaamua kuyafanyia kazi mapendekezo yetu...
 
Hili ni wazo babukubwa, lazima awaelimishe vijana wajenge ujasiri na uzalendo kwa nchi yao. Ahakikishe anawafundisha vijana waifanyie nchi yao kitu na sio nchi yao kuwafanyia kitu. Kwa jinsi Chadema inavyopendwa na vijana wapenda mabadiliko ni lazima atawawin tu. Na atasababisha vijana kuacha kusubiri serekali iwatafutie kazi bali wao watakuja na fikra pevu ambazo zitawafanya wajiajiri na kulipa kodi ambapo watakuwa na ujasiri wa kuhoji uwajibaki wa serekali na watu wake. Bigup this idea
 
Wazo zuri sana,najua anapita mitaa hii.

Tunapozungumza mabadiliko haina maana mabadiliko ya kisiasa tu,it has alot to do with it.

Thank you kwa wazo zuri litafanyiwa kazi.
 
ni kweli kiongozi anayejiandaa kuchukua dola mwaka 2015 ni muhimu kuandaa mazingira, CDM hatuongei kama wapinzani tena mind set zetu sasa zimeelekea kuwa na dola. Namuamini Dr atatuvusha kutoka lindi la umaskini alilotubwaga JK. Kifupi ni Mandela kwa uopande wangu. najua ataipata hii meseji, God Bless Dr Wilbroad Peter Slaa
 
Safi sana, wakati wao wanaongea na wazee, yeye aongee na vijana.
 
Hili ni wazo zuri sana maana serikali ya JK inaona Wazee ndiyo bora kuliko sisi. Inasikitisha sana CCM inatufanya Vijana kama Kondom. Inatutumia nyakati za Kampeni, ikishapata kura na kuingia Ikulu inaona Wazee ndiyo Bora zaidi kuliko vijana. Bravo Slaa come on!
 
Alafu, inabidi ifike wakati CCM itambue kwamba hata sisi Vijana tuna haki ya kula vinono vya nchi hii. Tabia ya kutugeuza sisi ndio Makondakta, Wauza magazeti, Walinzi, Waendesha Boda boda, Wazoa takataka, nk ifike mwisho. Tuna kila sababu ya kusema sasa inatosha na tuchukue hatua.
 
Wazo zuri sana,najua anapita mitaa hii.

Tunapozungumza mabadiliko haina maana mabadiliko ya kisiasa tu,it has alot to do with it.

Thank you kwa wazo zuri litafanyiwa kazi.

thanx madame for ur considerations.
 
Bonge la wazo. Naomba Dr. Slaa akubaliane na wazo hili na ikiwezekana atupe uhakika kuwa atalifanyia kazi kupitia humuhumu JF.

Pili naomba asiwatenge vijana kwa viwango vyao vya elimu, ni vizuri akafanya mikutano na vijana wa kada mbalimbali kwani wote ni wadau wa mabadiliko.
 
Back
Top Bottom