Speaker
JF-Expert Member
- Aug 12, 2010
- 6,324
- 2,238
Hapa ndio pa kuwashawishi watu wajiandikishe kwa ajili ya
kupiga kura,kwanini wasiuze kadi zao za kupigia kura
na kwanini wachague mabadiliko.
Kuongea na kada mbali mbali za vijana kuta wajengea
vijana kujua wanacho kitaka kwenye uchaguzi ujao na mtu mwenye
sifa za aina gani (hapa asijipigie kampeni akiwa anaongea nao)
hii itaepushak uja kushitukizwa 2015 na kujikuta
wakibeba bendera kwenye bodaboda bila kujua kuna nini haswa kinaendelea.
Itasaidia kwa vijana wengi kuondokana na mawazo kwamba msimu wa uchaguzi
ni mda wa kuchuma hela,bali ni mda wa kuchagua aina gani ya uongozi wanautaka
katika miaka mi5 inayo fuata.
Wazo zuri sana,ila halitafanyiwa kazi.
Walisha pewa mengi sana humu,e.g kujenga makao makuu
ya chama etc lakini ni kama unatwanga maji kwenye kinu.