Dr Slaa kuhitimisha kampeni za udiwani kwa kishindo leo

CHADEMA Punguzeni kelele na hizi taarifa zenu kila kukicha.

Sasa hii ni habari kwa UMMA, Kampeni, au wewe ndo msemaji mkuu wa CDM. . . .

Vipi, CCM hawafanyi campen au wew ni ripota wa CDM tu!

Punguzeni munkari, uchaguzi kesho kila kitu kitafahamika, siyo kuja jf kutoa mapovu tu.

Aibu.....Oh boy...!
 
( Asigwa Achana na huyo) HAONI PA KUGEUKIA KWANI TUMEWAKABA KOTE KOTE so ni lazima apige yowe, PIA UKIRUSHA JIWE GIZANI UKASIKIA MAMAAAAAAA, UJUE LIMEMPATA MUHUSIKA.
Hata mimi hilo nmeliona mkuu maana jamaa katoka povu mpaka nahisi keyboard inataka kulowa...chezeya M4C wewe
 
Back
Top Bottom