Dr Slaa kuhitimisha kampeni za udiwani kwa kishindo leo

Molemo

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
14,534
13,225
Katibu Mkuu wa CDM Dr Wilbroad Slaa leo atahitimisha kampeni za udiwani kwa kufanya mikutano mikubwa mitatu katika kata ya Miyenze wilayani Uyui Tabora.
Kuna hamasa kubwa hapa wilayani Uyui na kuna uwezekano mkubwa wa mgombea wa CDM kushinda kwa idadi kubwa ya kura.
Tangu Dr Slaa aje kanda ya ziwa wiki mbili zilizopita amefanya kazi kubwa usiku na mchana kuhakikisga ushindi wa chama chake.Tayari amepiga kampeni kubwa katika kata saba za Lwenzera(Geita),Bugarama(Kahama),Karitu(Nzega),Lubili(Misungwi) na Mwawaza(Shinyanga).
Mbali na Dr Slaa pia viongozi kadhaa wa CDM akiwemo Mwenyekiti Freeman Mbowe watahitimisha kampeni za wagombea wa CDM katika maeneo tofauti nchini.Wakati Mwenyekiti Mbowe atahitimisha huko Kusini Naibu Katibu Mkuu Zitto Kabwe anatarajiwa kuhitimisha huko Rombo katika kanda ya Kaskazini.
 
CUF wako katika kuwaza cha kukopi kutoka CHADEMA, muda si mrefu utawasikia wametoka na copy nyingine

Kwa hili la kampeni za udiwani wamechemsha.Pale Arusha wanahutubia watu wasiozidi kumi.
 
CHADEMA Punguzeni kelele na hizi taarifa zenu kila kukicha.

Sasa hii ni habari kwa UMMA, Kampeni, au wewe ndo msemaji mkuu wa CDM. . . .

Vipi, CCM hawafanyi campen au wew ni ripota wa CDM tu!

Punguzeni munkari, uchaguzi kesho kila kitu kitafahamika, siyo kuja jf kutoa mapovu tu.
 
Katibu Mkuu wa CDM Dr Wilbroad Slaa leo atahitimisha kampeni za udiwani kwa kufanya mikutano mikubwa mitatu katika kata ya Miyenze wilayani Uyui Tabora.
Kuna hamasa kubwa hapa wilayani Uyui na kuna uwezekano mkubwa wa mgombea wa CDM kushinda kwa idadi kubwa ya kura.
Tangu Dr Slaa aje kanda ya ziwa wiki mbili zilizopita amefanya kazi kubwa usiku na mchana kuhakikisga ushindi wa chama chake.Tayari amepiga kampeni kubwa katika kata saba za Lwenzera(Geita),Bugarama(Kahama),Karitu(Nzega),Lubili(Misungwi) na Mwawaza(Shinyanga).
Mbali na Dr Slaa pia viongozi kadhaa wa CDM akiwemo Mwenyekiti Freeman Mbowe watahitimisha kampeni za wagombea wa CDM katika maeneo tofauti nchini.Wakati Mwenyekiti Mbowe atahitimisha huko Kusini Naibu Katibu Mkuu Zitto Kabwe anatarajiwa kuhitimisha huko Rombo katika kanda ya Kaskazini.

View attachment 69488 VUMBI na CAROLITE wapi na wapi? au atakuwa Hotelin maana intelijensia inasema ataangukiwa na kitu kizito chenye ncha kali na sababu hawezi kushoneka atabaki HOTELIN
 
CHADEMA Punguzeni kelele na hizi taarifa zenu kila kukicha.

Sasa hii ni habari kwa UMMA, Kampeni, au wewe ndo msemaji mkuu wa CDM. . . .

Vipi, CCM hawafanyi campen au wew ni ripota wa CDM tu!

Punguzeni munkari, uchaguzi kesho kila kitu kitafahamika, siyo kuja jf kutoa mapovu tu.

punguza jazba.....CHUNGU LAKINI DAWA........utafanyaje meza tuu
 
acha kutoa mapovu kipenga kwa upande wako siyo habari ya muhimu kwani unajua anguko lenu lipo on the way, na CHADEMA TUNAPOKEA TAARIFA KUTOKA KWA WANACHAMA WETU WENYE MAPENZI MEMA NA CHAMA. PEOPLE,S 4 REVA
 
punguza jazba.....CHUNGU LAKINI DAWA........utafanyaje meza tuu

( Asigwa Achana na huyo) HAONI PA KUGEUKIA KWANI TUMEWAKABA KOTE KOTE so ni lazima apige yowe, PIA UKIRUSHA JIWE GIZANI UKASIKIA MAMAAAAAAA, UJUE LIMEMPATA MUHUSIKA.
 
Back
Top Bottom