Dr Slaa kuendelea kubomoa ngome ya Ngeleja (Sengerema) leo

Oooh!Chadema ni chama cha msimu(by Jakaya Kikwete)ooh! Chadema ni vifaranga(by Mkapa)ooh!Chadema chama cha kidini(,,,,,______),Leo imekuwaje?Ccm kwa ngonjera nnawaaminia sijui ni nani anawatungia.Chadema mwendo mdundo kiboko ya mafisadi,wananchi Watanzania wenzangu tuijenge nchi yetu kwa umoja.
Sasa hivi hawawezi kusema kwa kuwa wanachokisema ndo tunakifanyia kazi - jamii inabadilika.
 
mi hapa nilipo natokwa na machozi! c machozi ya huzuni bali nikipata kitu cha kuniccmua sana huwa natokwa machozi ya curaha na sauti haitoki! chadema inanifanya nipngeze cku za kuishi kwa kuwa nina furaha sana! BIG UUUUUUUUP.....
 
Mimi naona tunarudia uchaguzi wa Rais wakati wowote kuanzia sasa, matumaini ya kufika 2015 yanazidi kutoweka kwa Kikwete.
 
mpaka dakika hii hakuna update ya maana kaka inamaana hunajipya la kuapdate mpaka sasa uko makini kweli wewe
 
bado atakuwa kwenye usafiri si unajua ukikuta kivuko kimetembea inabidi usubiri
 
Hebu tulieni, update mtaletewa kwani mnafikiri amesombwa na malori ya Magamba? hamjui kuwa ni Wanaukombozi wanaufuta wenyewe mkutano sio mkutano unafuata watu kwa kulazimisha kama wa Magamba. Tulieeni bado yupo njiani anaelekea kwenye mkutano. update zinakuja
 
Hebu tulieni, update mtaletewa kwani mnafikiri amesombwa na malori ya Magamba? hamjui kuwa ni Wanaukombozi wanaufuta wenyewe mkutano sio mkutano unafuata watu kwa kulazimisha kama wa Magamba. Tulieeni bado yupo njiani anaelekea kwenye mkutano. update zinakuja

update muhimu kiongozi fanyeni mambo
 
Mkuu vipi ulishindwa kuvuka ferry ya busisi?
Maana tokea saa sita mpa mida hii hakuna update
 
kwani mkutano unaanza saa ngapi? au pantoni imekuacha mkuu?. timiza ahadi. ata hivyo nafikiri crushwise atatupa updates.
 
Linapokuja swala muhimu kama hili muwe mnaweka na No za simu ili tuwatresi kwa update, si vizuri kuning'iniza roho za wenzio juu, kuwa muungwana.
 
Omusilanga imekuwaje tena... Au kivuko kimezimika katika ya l. Victoria maana serikali inaukata wa kutisha
 
Back
Top Bottom