Dr. Slaa avuliwa nguo, dili alilipanga Josephine. Alonga na Mwakyembe kabla hajaingia kwenye mkutano

Slaa mwenyewe kanisa limekaa kimya tu. hofu ya mungu hana. Akiwa katibu wa baraza la maaskofu alikula hela ya ujio wa Papa John Paul wa 2 alivyobanwa akawa hana la kujitetea waka muengua kwenye upadre
 
wakati ule mwanahalisi linafungiwa kwa uzushi wengi tulilitetea kw kufikiri wameona na serikali lakini leo mmiliki sijui mhariri mkuu analamba matapishi yake na kusema lowsa hakuhusika na Richmond waandishi wa mawio ni walewale wa mwanahalisi siwezi kuwaamini kwa habari yoyote watakayotoa kwani wanatoa habari za kizushi ndio maaa Dr. Slaa aliwaambiambia wasome na kufanya utafiti mpaka leo ni mwandshi gani ameenda kusoma ripoti ya richmon na kufanya utafiti badala yae wanatueleza kile wanachoambiwa ama na wamiliki wao au na watu wanaowalipa pesa
 
Hayo wala sio makubwa mbona?!
1.Alisema chagua kiongozi msafi na asiye na kashfa kama lowassa na hakusema uchague wa CCM
2.Dkt Slaa hajakimbia na amekwenda mapumzikoni kwa siku kadhaa kwa ajili ya usalama wake.
3.Hajahama,Hajakimbia nchi na atarudi nchini siku chache zijazo kuendelea na mambo yake na haina maana mtu ukisafiri basi hautorudi tena nyumbani,atarudi na kura atapiga!!

Anatishwa na nani?
Anaogopa kafanya nini? Anapumzika alichoshwa na nn?
 
dkt slaa ameongea ukweli na ametoa ushahidi hawa wanaofanya propaganda za kumchafua wana underestimate power of reasoning aliyonayo slaa ni ajabu sasa hivi CHADEMA wanamuona Gwajima ni muhimu sana kuliko dkt. slaa hili ni jambo la ajabu. ngoja uchaguzi upite octoba ndipo watakapogundua kosa walilolifanya
 
hii inadhihirisha wazi upinzani hawakujiandaa kuchukua dola maana kutangaza mgombea walisuasua hadi walipompata lowassa pili hata kampeni zao ni kama za kuvizia hivi wanasubiri ccm wapite ili wao waje kujisafisha na kote wanskopita hakuna hoja ya msingi inayotolewa,,

Kama UKAWA ni wepesi hivyo hii shida yote mnayopata hadi kuwanunua watu kwa mabilioni ya hela ni ya nini? Msilolijua ni kuwa watanzania wameichoka ccm hivyo wako tayari hata kupigia jiwe kura kama litawasidia kuondokana na hawa mashetani wa kijani.
 
Du! Padre ameona isiwe tabu maana pesa ilisababisha hata YUDA iskarioti AMSALITI YESU sembuse yeye kusaliti mabadiliko.
 
Yote yawezekana,je na zile fujo alizoziratibu MASABURI,tuziongeleeje??HAziendani na toleo la juzi??

Hakuna kitu kibaya kama siasa za MAJI TAKA hazitupeleki kokote watanzania kama TAIFA,tunaowaona ni bora wamelifyonza TAIFA kwa miaka 54,tupo masikini wakutupwa,je ni kweli TATIZO ni RICHMOND tu??Mbona mengine hatuelezwi??ESCROW,nyumba za serikali,mabehewa mabovu,meli ya 1978??Hivi mwizi nihuyu mmoja tu??

Siyo Pro-Lowassa lakini napenda kujiuliza maswali mengi ambayo kwa uhakika sijapata majibu.

Tupo kwenye uchaguzi,huyo Lowassa mahakam zimemsafisha,2010 JK alimsafisha kwamba hana hatia kabisa MSAFI mno,kwanini iwe leo??Kuna nini nyuma ya pazia??

Ninawasiwasi tunaenda kupigia kura CHUKI za watu wawili waliokuwa MARAFIKI sasa wamekuwa MAHASIMU.Ni bora tusipige kura kabisa.

Kutokupiga kura ni kushiriki kuwaweka madarakani watu wasiofaa. Kapige kura mwombe MUNGU akuongoze kupata chaguo sahihi.

Kwenye RED tatizo ni Richmond oriented issues, hata walio CCM mimi kwangu siwataki lkn nifanye je? siwezi kum-support mtu eti sababu katoka CCM basi, ama kufanya mabadiliko ili tu watu waseme umefanya mabadiliko! Unaweza ukajikuta umeruka jivu na kukanyaga moto hiyo ndo hoja yangu mkuu!
Pia baadhi ya watu walitaka kufanya uongozi uwe ni kwa wenye PESA, mazingaombwe, mbwebwe, kitu ambacho CCM wameweza angalau kukizuia. Hii ingeingia tusingeweza tena kuiondoa lbd kama tungefanya kama kule Libya ambayon ni option mbaya sana.
 
Mbona hiyo imeshajulikana na Video ya CCTV imeshavuja Akiwa na Usalama wa Taifa wakati akikutana Na Mwakyembe

Leo nasikia La professor atakuwa na press ya kutoa mrejesho wa safari ya Rwanda. To late gari ya mabadiliko wamepishana nayo Chalinze
 
NILISEMAGA KAKTI PRESS YANGU MOJA HUMU JAMII FORUM KUWA:
1.Wapinzani kuweni makini kuna mchezo mchafu sana dhidi yenu..ILIKUWA MIAKA MIWILI ILIYOPITA
ILA USHINDI NI PALEPALE..
LEO MAONO YANGU NIMEMWONA E.L AKISHANGILIA USHINDI...SASA KAZI IMEANZA...
 
Mi maswali yangu ni matatu tu makubwa kwa Dr. Slaa kama kweli ana uchungu na watanzania:-
- Anasema EL ni mchafu hafai kuwa Rais, je watanzania malofa wamchague nani? Je tuichague tena CCM?
- Baada ya Press conference yake, kwanini anawakimbia watanzania? Je amechoka kula mihogo au anakimbia kujibu hoja za upande wa pili?
- Amekuwa akihimiza watu kupiga kura, haoni aibu yeye kukimbia nchi bila kupiga kura kipindi hiki muhimu cha kuleta mabadiliko ya kisiasa nchini? Ina maanahaelewi usemi wa "kura yako moja ni muhimu sana, kapige kura"

Mkuu Nimeota Dr. Yupo pale pale alipofanyia press tumezugwa na picha akiwa ndani ya ndege.hahaha!
 
hii inadhihirisha wazi upinzani hawakujiandaa kuchukua dola maana kutangaza mgombea walisuasua hadi walipompata lowassa pili hata kampeni zao ni kama za kuvizia hivi wanasubiri ccm wapite ili wao waje kujisafisha na kote wanskopita hakuna hoja ya msingi inayotolewa,,

kuna ratiba kwa kila mgombea wew,mbona ukawa wamepita mtwara na lindi kabla ya ccm,toa kamasi kichwani mwako
 
Back
Top Bottom