Dr. Slaa atakuwa live Star TV, leo Oktoba 7, 2015 - saa tatu Usiku

Status
Not open for further replies.
Maskini Doctor amekuwa kama mtoto mdogo, hata kama hana la kusema anaamriwa tu na wanaomtuma kuwa nenda kaseme hiki au kile. Hana tena maamuzi ya kukaa kimya au kuongea kwani uhuru wake alikwishauuza siku nyingi.

Dr Slaa yuko vizuri huwezi kumlinganisha na yule Mshenga Mzee wa Misukule mnayemtegemea.

Busara kaeni nae muombeni Radhi
 
Ni vizuri sana angemsaidia zzk apate ruzuku maana chadema wameshamfaidi vizuri nao sasa wanademadema kwenda ikulu
 
Ameongea na Waandishi kwa Ujumla wao Bahari beach, akaongea na Azam two na leo anaongea na Star TV ubaya uko wapi nsona mnapoteza stratejia yenu poleni

Kwa nn leo Dr Slaa mnamwona malaika nyie?
 
Nakumbuka Chanel 10 ilivyorusha mkutano wa Askofu Gwajima na Wanahabari,TCRA walikionya kituo hicho,vipi StarTvccm itakemewa?Maana tangu kampeni zianze,StarTvccm imebadilika na kuwa chombo cha propaganda cha Fisiem.


ITVChadema ilirusha moja kwa moja tena zaidi ya saa mkutano wa Kingunge. Muacheni Dr Slaa aongee hofu ya nini tuelezeni nasi tujue
 
Nadhani kama angetulia kama mwenzake L bila shaka heshima yake ingebaki palepale
 
lofa wewe,aliyasemea wapi hayo??alichosema ni kwamba kastaafu siasa za vyamba na sı harakati za siasa.kalale mbele.
acha matusi bwana hajamalizia neno vyama tu hapo mbele ya kauli yake
slaa kama alikubali lowasa aje kama asset na amsapoti yy pasina shaka anawapenda mafisadi ili mradi tu wanaamuunga mkono kwa faida yake kinyume na hapo anawachukia
si mwadilifu, kama yy ni mwanamabadiliko angegundua kua lowasa ndie anayehitaji kubalika basi ange mwachia lowasa bila kinyongo kwa kua leongo ni moja ukombozi ila kwa pale alipo ingie na mkewe si jui anataka kuongea nn labda anataka kila apitapo azomewe
 
jamani Dr.MIHOGO ana viporo mf. Siku ile alisema asichaguliwe LOWASSA fisadi ila hakusema achaguliwe nani na kwanini, so nahisi leo atajiweka wazi upande aliopo so wa upande wa pili msikilizeni ili awape moyo wa kumchagua MAGUFULI.
 
Haka kazee ckapendi zaidi ya ninavyochukia nyoka
Usimchukie binadamu mwenzako kwa misingi tu ya kutofautiana mitazamo, Cha msingi na cha sekondari endelea kuamini unachoamini wakati huo ukikubali kuwa tofauti na mwingine kwani kwa kufanya hivyo utajikuta unafanya vitu adimu wasivyoweza fanya wengine (ubunifu)
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom