Dr. Slaa atakuwa adui namba 4 kati ya maadui wa 3 wa Mwl Nyerere

Kibo10. Kuna mawazo mchanganyiko hapa na wenye hekima wataamua kwa uhalisia. Kuna baadhi ya vyombo visivyoaminika vinasema mwenyekiti wenu kanunuliwa, na hilo ulotaka kusema wewe kwamba Dr Slaa huenda kapewa kitu na ccm sintaliamini.

Kwa kuwa Dr. Slaa yupo naamini si muda mrefu ujao tutajua ukweli wa mambo haya. Hekima pia ni kunyamaza kuliko kumshambulia mtu with no evidence.

Mbowe amempokea EL kwa kushirikisha chama,Dr anakataa maamuzi ya chama na kamati kuu
We kwa akili ya kawaida nani kavutiwa hapo?
 
Kweli kama Dr. Slaa atafanya haya mnayofikiria (kuondoka CDM) nadhani historia yake atakuwa kweshaipaka matope. Nakushauri Dr. Wilbrod Peter Slaa usilogwe kuaribu historia yako nzuri ulioijenga nchi hii kwa kusikiliza maadui wa Mapinduzi kwenye nchi yetu hii
 
Nadhani si sahii kumtolea Dr.W.Slaa maneno ya kashfa hata kama msimamo wake binafsi unatuumiza. Kwani ukikaa kimya utazeeka mdomo?

Tumpeni muda adiggest swala hili, akiamua kuondoka au kupumzika siasa, ni sawa yake. Hatupaswi jumtolea maneno machafu namna hiyo kwa kazi aliyoifanya.

Lakini pia sio vibaya Dr, ukapiga picha iwapo utajitenga na wimbi hili la mabadiliko ya sasa, kwa njia yeyote ile ikatokea UKAWA wakashika dola je utaonekanaje mbele ya macho ya umma? au hata wasiposhinda ila wanamageuzi wakaona wewe ndio kilikua kigezo chao cha kushindwa utajisikia vipi?

Tafadhali bwana, rudi jukwaani malizia kile ulichokianza 1995
 
Fedha huleta usaliti,Hii picha ukiitazama kwa jicho la ndani Dr anaweza kuwa kashapokea kitu kutoka Ccm
Na ndio maana wanaCcm wanamwona ni mtu hodari kwa sasa wakisahau vita waliyompiga siku za nyuma
Siasa za ccm ni nyepesi sana,Na kwa karne hii hazina mashiko wala nafasi tena.

Watanzania hizi akili za kuishi kwa hisia na uwongo uwongo sijuhi tunazitoa wapi
 
PROPHET POLY 14:00 Today
Kuna kitu hamjakijua tu..Mungu amenionesha:
1. Udini.(sio sana )
2.Udhehebu unataka kulitafina Taifa hili kwa mara nyingine.
Nb:
1. Dr.Umetumwa ukomboe Taifa la Tanzania sio kueneza udhehebu.
2. Unaona bora Umsapoti Magufuli coz ya kutokea zizi moja kiaina?
3.Mungu atawadhibuni nyote kwani Amesikia kilio Cha watanzania wengi..Acheni Mzaha.

4. Kumkataa E.l si tu Ufisadi..Kwani wako wangapi ccm?
Ni zaidi ya Ufisadi Na.agenda hii ya siri..
ONYO.
utawala wenye Baraka..watoka kwa Mungu.
NOTE....
1.MUSA ALIUA KULE MISRI NA BADO MUNGU AKAMTUMA KULIKOMBOA TAIFA LAKE...SEMBUSE UFISADI AMBAO HAU.A UHAKIKA KWA E.L?
2.MNAMWAMINI MUNGU YUPI?Aliyesema samehe mara saba sabini?
ACHENI MZAHA..
 
hivi unategemea fikira mpya kwa mtu kama lowasa? thubutu tukutane 25 october
 
Acheni kumtukana mzee wetu. Mbona mna kiherehere hata hajasema maamuzi yake mnamsemea.
 
Dr Slaa hakuzaliwa wala kukulia Chadema.Naye alikaribishwa kama mwenzie lowassa Na hakuna aliyepinga kupokelewa kwake hata kidogo.Chadema walienda mbali zaidi na kumpa dhamana ya kuwa Katibu mkuu wa chama.

Nikiwa kama mwanachama hai wa Chadema niliyezaliwa na kukulia ndani ya chama hiki,Nasema"Endapo Dr slaa atakigeuka chama wakati huu mzuri tukiwa tunahitaji mabadiliko na fikra mpya.Atakuwa ndio adui wangu namba moja wa siasa za mabadiliko tanzania tunazozililia kwa miaka 20 sasa.

Dr Slaa ni nani hata apingane na wengi,Tena kamati kuu ya chama?

Dr Slaa ni nani apingane na nguvu kubwa ya mabadiliko na ukombozi wa kiuchumi?

Bila shaka nipo tayari kuamini ipo nguvu kubwa toka chama tawala inayomshawishi Dr kufanya haya kwa masilahi yake na yao binafsi.Na si wengine ni Ccm,Baada ya muungano wa Ukawa walikosa usingizi na sasa rasilimali zao zote zikiwemo rasilimali fedha na watu wameziamishia kwa Dr ilimradi tu ndoto hizi njema zisitime.

Sipo tayari na naomba wana Chadema wote tuungane kwa hili.

Na kama Dr atatusaliti tumwainishe katika maadui wakubwa kati ya wale maadui aliowataja mwalimu Nyerere.

Maradhi,Ujinga na Umasikini adui wa nne tutamwongeza Dr Slaa asiposikia vilio vya wapenda mabadiliko.
Kazee kaliongea sana uwongo sasa ameanza mavuno anayakimbia......
 
PROPHET POLY 14:00 Today
Kuna kitu hamjakijua tu..Mungu amenionesha:
1. Udini.(sio sana )
2.Udhehebu unataka kulitafina Taifa hili kwa mara nyingine.
Nb:
1. Dr.Umetumwa ukomboe Taifa la Tanzania sio kueneza udhehebu.
2. Unaona bora Umsapoti Magufuli coz ya kutokea zizi moja kiaina?
3.Mungu atawadhibuni nyote kwani Amesikia kilio Cha watanzania wengi..Acheni Mzaha.

4. Kumkataa E.l si tu Ufisadi..Kwani wako wangapi ccm?
Ni zaidi ya Ufisadi Na.agenda hii ya siri..
ONYO.
utawala wenye Baraka..watoka kwa Mungu.
NOTE....
1.MUSA ALIUA KULE MISRI NA BADO MUNGU AKAMTUMA KULIKOMBOA TAIFA LAKE...SEMBUSE UFISADI AMBAO HAU.A UHAKIKA KWA E.L?
2.MNAMWAMINI MUNGU YUPI?Aliyesema samehe mara saba sabini?
ACHENI MZAHA..

Kwani amewaambia anaenda CCM. Muwe na adabu na heshma kwa huyu mzee wala hajasema nyie mnatukana hovyo. Huu ni uchochezi.
 
Dr Slaa hakuzaliwa wala kukulia Chadema.Naye alikaribishwa kama mwenzie lowassa Na hakuna aliyepinga kupokelewa kwake hata kidogo.Chadema walienda mbali zaidi na kumpa dhamana ya kuwa Katibu mkuu wa chama.

Nikiwa kama mwanachama hai wa Chadema niliyezaliwa na kukulia ndani ya chama hiki,Nasema"Endapo Dr slaa atakigeuka chama wakati huu mzuri tukiwa tunahitaji mabadiliko na fikra mpya.Atakuwa ndio adui wangu namba moja wa siasa za mabadiliko tanzania tunazozililia kwa miaka 20 sasa.

Dr Slaa ni nani hata apingane na wengi,Tena kamati kuu ya chama?

Dr Slaa ni nani apingane na nguvu kubwa ya mabadiliko na ukombozi wa kiuchumi?

Bila shaka nipo tayari kuamini ipo nguvu kubwa toka chama tawala inayomshawishi Dr kufanya haya kwa masilahi yake na yao binafsi.Na si wengine ni Ccm,Baada ya muungano wa Ukawa walikosa usingizi na sasa rasilimali zao zote zikiwemo rasilimali fedha na watu wameziamishia kwa Dr ilimradi tu ndoto hizi njema zisitime.

Sipo tayari na naomba wana Chadema wote tuungane kwa hili.

Na kama Dr atatusaliti tumwainishe katika maadui wakubwa kati ya wale maadui aliowataja mwalimu Nyerere.

Maradhi,Ujinga na Umasikini adui wa nne tutamwongeza Dr Slaa asiposikia vilio vya wapenda mabadiliko.

We acha kumuongelea Dr Slaa Vibaya hivyo na unapaswa umuombe radhi
 
Siyo sahihi kumkebehi wala kumuita Dr. Slaa adui, atakuwa adui endapo tu ataenda upande wa pili kupambana na chadema. lakini akijiengua anastahili kuheshimiwa kwa maamuzi yake na pia kuenziwa kwa yote aliyoifanyia chadema.
 
Hatujamtukana ila haiwezekani kpambana mpaka mwisho then mahali pa kufunga goli unakaa chini....unategemea nini?hajibu wala hakanushi..
 
We acha kumuongelea Dr Slaa Vibaya hivyo na unapaswa umuombe radhi

Mtu yeyote anayepingana na mawazo ya wengi,Na mawazo ya wengi ni sauti ya mungu.Hana nafasi kwenye mioyo ya watanzania.Na wala hasitaili kuombwa msamaha kwa jambo lolote
 
Kama anapumzika namtakia mapumziko mema lakini mapambano yanaendelea kuelekea October kuna watu kuwapa wengine second chance ni ngumu. Naamini Chadema kilijengwa na wananchi wengi wenye kuitakia mema nchi yao na mabadiliko wengine walipoteza maisha,kazi zao kufukuzwa vyuoni.
Hata Musa hakufika nchi ya ahadi walifika wengine. Bora Ku focus na mambo mengine kila kitu hutokea kwa sababu
 
Back
Top Bottom