Dr slaa anahitaji pongezi kwa hilli

Mimi ninachodhania hata kama kubadilika mfumo ndani ya ccm si dawa ya kuponyesha kidonda ambacho kovu lake lipo wazi. Ni aheri tufanye umakini kwenye kubadili njia na kupita upande wa pili ambao kiasi tunaweza dhania matumani yapo kuliko kupakwa mafuta kwa mgongo wa chupa.
 
Habari za kumsifia boyfreind wako Dr slaa kila jambo una aibisha sana nahisi hata mambo ya chumbani siku moja utaweka hapa JF! Wewe uliwahi kusema Rostam hawezi kujiudhuru leo una sema hongera kwa slaa! Upuuuuuzi huu
 
hii mada haina mbele wala nyuma hata kwa mtu anayeelekea kuwa great thinker hawezi anzisha mada ya kijinga kama hii
Ina nyuma ambako inazungumzia uasili (orodha ya mafisadi) na muasisi (DR. Slaa) wa hoja. Ina mbele ambapo inatoa mrejesho wa yatokanayo na hoja (kujiuzuru kwa mmoja wa watuhumiwa). Huwezi kuona haya kama kumbukumbu yako siyo nzuri na mbaya zaidi pale unapoukubali upofu wa kifikra kwa kutawaliwa na itikadi za kivyama au mlengo fulani wa masuala ya kijamii.
 
kweli wewe ndio umeshinda, inaonekana hata ukienda choo unamshukuru slaa maana unaamini bila yeye usingeweza pata haja kubwa.
omr upende usipende nchi tunamkabidhi dr wa ukweli dr slaa,hakuna mwenye ubishi dr ni mpambanaji na ni kiboko cha mafisadi na hata kuondoka kwa ra ,dr slaa amechangia sana. Omr kama huna hoja kaa kimya nasio kutoa matusi
 
Nakushangaa na wewe umechangia. Unaweza kusema na ww ni Great Thinker? Mada ni nzuri, tatizo nyie mliotumwa na Magambaz, aliyewatuma hakufanya sorting.

mkuu usisahau kwenye msafara wa mamba na kenge wapo..imo
 
omr upende usipende nchi tunamkabidhi dr wa ukweli dr slaa,hakuna mwenye ubishi dr ni mpambanaji na ni kiboko cha mafisadi na hata kuondoka kwa ra ,dr slaa amechangia sana. Omr kama huna hoja kaa kimya nasio kutoa matusi
Nchi gani hiyo? Nyie wangapi mtamkabidhi nchi wakati wote mko vijiweni mnakula msuba...Nchi hii inawenyewe kijana.Mwambieni huyo mungu mtu wenu kama anataka Cheo basi aende na kumsujudia kikwete, labda atapewa nafasi ya mkuu wa wilaya.
 
List of Shame ya Dr.Slaa ilikuwa na majina 11 akiwemo Rais Kikwete, kama kujivua gamba kumetokana na list ya Dr.Slaa then kwanini list ya Nape ina majina matatu tu?tafakari...
Bila shaka hiy ya pili itakuwa ni orodha ya kutaka kuwasafisha watu fulani
 
Ukweli usiopngka slaa played a great rule viva Slaa, viva Chadema though, am ccm(magamba) member
 
sishangai hata kidogo maana akili yako na ya magamba hazijapishana, zinafanana. watu wanachambua mambo ya msingi wewe unafikiria uhun wa mtaan!! shame on u.
vipi tena hapo

, watu wanaweza elewa tofauti
 
List of Shame ya Dr.Slaa ilikuwa na majina 11 akiwemo Rais Kikwete, kama kujivua gamba kumetokana na list ya Dr.Slaa then kwanini list ya Nape ina majina matatu tu?tafakari...

Nape perhaps shortlisted the most critical ones with the party au labda he decided to go with small numbers, and spared JK kwa kuwa ni presidenti, maana angewekwa kwenye hiyo listi ya the big three, ungeona jinsi hewa itakavyochafuka.....lakini itachafuka tu hakuna njia
 
wanajamiiii kwa hili la rostam kujivua uongozi kwenye ccm mimi naona DR slaa anahitaji pongezi kubwa kwa kuchangia mgamba wamuone RM kua ni gamba la kujibandua ccm naomba maoni pls
thread zingine sijui watu wanafikiria kutumia makalio? Aggghhhhh!!!!!
 
Hakuna kitu hapo... Ni bora angebaki na manyang'au wenzake tu huko huko ccm.
 
List of Shame ya Dr.Slaa ilikuwa na majina 11 akiwemo Rais Kikwete, kama kujivua gamba kumetokana na list ya Dr.Slaa then kwanini list ya Nape ina majina matatu tu?tafakari...
Siku zote tumesema gamba ni ccm yote kuondoka na wala siyo baadhi ya watu.Wao wanashikana mashati huko ndani wakidhani kuna mtu atabaki na ccm.Watakobaki na ccm watakimbia wenyewe wakiache kikatupwe baharini kama osama. Hawasomi alama za nyakati, kila kitu kina mwanzo na kina mwisho. Mwisho wa ccm umefika na hakuna atakaye zuia wote watakikimbia. Yetu macho!
 
Huu ni upupu mtupu! Ngoja nipite zangu tu
Ndio walewale wasiotaka kusikia ukweli ukizungumzwa. Bila Dr. Slaa Magamba wala usingeyasikia hapa TZ au unabisha? Msingeweza kujinyooshea vidole nyinyi kwa nyinyi. Kubalini tu kuwa Dr. SLAA katufumbua macho maana wengine hata maana ya ufisadi tulikuwa hatujui sembuse mafisadi tungewasikia wapi. Mungu akubariki sana SLAA katika kutupigania watanzania na akulinde Pia wala usije ukaufumbia macho ukweli na Mungu atakulinda siku zote kwa hilo.
 
Back
Top Bottom