Dr slaa anahitaji pongezi kwa hilli

ngarauo

Member
Jun 17, 2011
55
3
wanajamiiii kwa hili la rostam kujivua uongozi kwenye ccm mimi naona DR slaa anahitaji pongezi kubwa kwa kuchangia mgamba wamuone RM kua ni gamba la kujibandua ccm naomba maoni pls
 
Nguvu yote ni Chadema na CCM hawana la kusema maana hata leo hawakubali kama alikuwa kibaka wa jutajiri wetu .Hata sasa hawataki kusema kaachia ubunge kwamba hawana barua rasmi .Kazi ya Chadema hii hakuna ndani ya CCM anamweza RA ila ameteswa na list of shame tu hakuna zaidi .Hadi leo hajapokea barua ya kutakiwa avue gwanda lao so wanawezaje kusema ni Nape au CCM ? Nanij msafi CCM wa kumnyooshea RA kidole ? Hakuna hata mmoja .Heko Chadema heko Slaa .
 
wanajamiiii kwa hili la rostam kujivua uongozi kwenye ccm mimi naona DR slaa anahitaji pongezi kubwa kwa kuchangia mgamba wamuone RM kua ni gamba la kujibandua ccm naomba maoni pls

hii mada haina mbele wala nyuma hata kwa mtu anayeelekea kuwa great thinker hawezi anzisha mada ya kijinga kama hii
 
Mada haijaenda deep lakini ukweli uko wazi!, reform inayoendelea ndani ya ccm ni kazi nzuri ya CHADEMA!, HATA CCM WANAJUA HILO.

Tunachoomba chadema waongeze presha na waelekeze kwa watendaji serikalini ili uwajibikaji urudi au kiongozi wao ajulikane vizuri ameshindwa kazi!

BILA CHADEMA IMARA, TAIFA LITAANGAMIA.
 
wanajamiiii kwa hili la rostam kujivua uongozi kwenye ccm mimi naona DR slaa anahitaji pongezi kubwa kwa kuchangia mgamba wamuone RM kua ni gamba la kujibandua ccm naomba maoni pls
Kweli wewe ndio umeshinda, inaonekana hata ukienda choo unamshukuru slaa maana unaamini bila yeye usingeweza pata haja kubwa.
 
List of Shame ya Dr.Slaa ilikuwa na majina 11 akiwemo Rais Kikwete, kama kujivua gamba kumetokana na list ya Dr.Slaa then kwanini list ya Nape ina majina matatu tu?tafakari...
 
List of Shame ya Dr.Slaa ilikuwa na majina 11 akiwemo Rais Kikwete, kama kujivua gamba ni kumetokana na list ya Dr.Slaa then kwanini list ya Nape ina majina matatu tu?tafakari...
Haihitaji tafakari hata kidogo kwa sababu hao watatu ni kikwazo kwa CCJ kuweka mgombea wa Urais 2015 ambaye ni Sitta
 
wanajamiiii kwa hili la rostam kujivua uongozi kwenye ccm mimi naona DR slaa anahitaji pongezi kubwa kwa kuchangia mgamba wamuone RM kua ni gamba la kujibandua ccm naomba maoni pls
kwakifupi unayo ongea yanaukweli kiasi fulani lakini ukiwa kama greater thinker haupaswi kuanzisha maada ambayo haina upeo mkubwa kama wawana JF lakini hongera
 
Chadema make things happen CCM is waiting to happen

Big up Slaa you lead others will follow including CCM cadres.
 
hii mada haina mbele wala nyuma hata kwa mtu anayeelekea kuwa great thinker hawezi anzisha mada ya kijinga kama hii
Nakushangaa na wewe umechangia. Unaweza kusema na ww ni Great Thinker? Mada ni nzuri, tatizo nyie mliotumwa na Magambaz, aliyewatuma hakufanya sorting.
 
Kimsingi hili halina ubishi! Maovu aliyoyafanyia RA kwenye nchi yetu, hakuna hata m1 aliyekuwa tayari kumnyooshea kidole, wote walikuwa kimya hadi Dr(PhD) alipolitangazia taifa pale Kidongo chekundu! Ingawa aliwataja kumi lakini hatuwezi kupuuza m1 akichukua hatua. Ccm waliwataka wajiondoe kwenye chama kwa kutia najisi mbele ya wananchi, na aliyetufanya tukayajua hayo maovu ni Dr Slaa. Ina maana Dr Slaa angekaa kimya hata wanachokiita kujivua gamba kisingekuwepo!
Hongera sana Dr Slaa kwa ujasiri mkubwa. Keep it up untill they all get off and sent to court.
 
Back
Top Bottom