MWANA WA UFALME
JF-Expert Member
- Sep 10, 2010
- 578
- 144
Nimejaribu kufuatilia thread moja humu inayozungumzia Dr. Slaa kukwepa mdahalo na Nape.
Whether ni kweli au sio kweli swali la msingi wana jamvi la kujadili ni kwamba nani saizi ya kuweka mdahalo na DR. Slaa.
Ikumbukwe kwamba kipindi cha kampeni za uchaguzi 2010, chama tawala kiliogopa midahalo na hasa inayomhusisha huyu bwana. Baadaye waliamua kuanzisha wa kwao ambao ni waandishi wa habari tu na baadhi ya waalikwa waliohoji, kwahiyo ilikuwa tu kama press conference.
Kwa level ya influence aliyonayo Dr. Slaa linapokuja swala la mdahalo hawezi akajibishana na mtu yeyote yule.
Je nani wa kutoka chama tawala anaweza kuwa saizi ya Dr. Slaa kwenye mdahalo?