Dr Slaa ajibu upotoshaji wa Mwandishi Mayage dhidi ya CHADEMA

Ni wajing wachache tu ndiyo watakaohangaika kuita busara.Hata kama kuna usemi unaosema pasipo na habari tengeneza habari basi hii ya Machage ni too much.tunakwenda wapi wapi wanatasinia wa habari,sitaki kuamini kama Tanzania kuna ombwe la waandishi ili hali vyuo vyetu kila siku viantoa product za uhakika.Machage ndugu yangu tunakuomba rudi tena darasani,huendaikawa ulisahau some materials for the creation of articles.Ni haki yako kikatiba kukosoa ila usijaribu kuupotosha umma.uanaharakati huo huo wa CDM ndiyo uliogawa kura za urais tena zenye utata mpaka sasa.!?Uharakati huo huo ndiyo uliopelekea Dalali kufichwa nje ya nchi ili hali serikali iksema wakimhitaji hawashindwi kumpata!Uharakati huo huo ndiyo uliopelekea CCM kujivua magamba na nchi kuyumba.Sasa basi kama maandamano ya CDM yanakukera na hayana tija unaeweza kuanzisha chama unachoshauri kuliko kupiga domo kaya lisilo na mashiko
 
MTM,
Thanks for your very constructive contribution. Concerns and advice noted. Very sorry for having misunderstood your intentions. My sole purpose was to bring back on track many of the EPA issues which as you may have noted are very closely being monitored by international collaborators while to say the least internally most of us do not even want to discuss them. I apologize for branding you in the same group as beneficiary of EPA proceeds.
Dr. Samahani kwa lugha kali na natumaini tutaijenga tanzania
 
Nyie CHADEMA ni watu gani msiotaka kukosolewa???? Mayage katika makala yake aliwakosoa na kuwataka mfanye vizuri zaidi lakini mmeigeuza makala yake kuwa ugomvi kana kwamba amewatukana matusi ya nguoni. Ni nyie mnaolalamika hali ya nchi kwa sasa na kuhoji kama kweli Rais ana washauri. Nyie mnaukataa ushauri wa Mayage, je huyo Padri wenu aliyeasi akiingia Ikulu atamsikiliza nani?

dah kumbe mtu akikusemea kwa bosi wako (wananchi/umma)ufukuzwe kazi (kwa kuanzisha chama kingine makini) amekushauri eeh?kama ndo ndiyo hivi basi tuna tofauti kubwa mno ya kuelewa na kuchambua mambo MAYANGE S MAYANGE ni mchumia tumbo tu kama wengine kama makala ile inavyojieleza labda aje na akiri hakufanya utafiti na aombe radhi period.
 
Hoja ya S.Mayage ina mshiko tofauti na hapo dr Slaa asingeweza kujibizana naye kwa umakini kiasi hiki wakati mwingine ni vema kukiri udhaifu kwani ajabu iko wapi? Tuseme humu duniani kuna mitume bado wanaishi? make hao kidogo ndo tunajua hawawezi kukosea.
Nipe jina utakalo ila usinipe utumwa wa fikra.
 
Ni vizuri kafanya hivyo!

Sijalisoma bado la yaelekea anajibu kwa kuonyesha postive achievements za CHADEMA na hilo ni kosa!

Mayage kasema chama kina nafasi wafanye zaidi ya walivyofanya sasa! Sasa inaonekana watu hawapendi kukosolewa, hili nalo ni mapungufu ya kiuongozi! Ndo maana Dr Slaa naye hafai kuwa kiongozi wa nchii hii!

Haya ni maoni yangu kama mwana CHADEMA, unafiki kwangu hauna nafasi!!!
Unaonaje wewe ndio unafaa? Kwa mtazamo wako hebu tupatie jina la mtu unayeona anafaa!
 
Mpumbavu sana wewe!Kama hujalisoma,unapata wapi uhalali wa kuandikaa huo upuuzi?Au wewe ni mnajim,unatabiri kilichoandikwa humo?
 
Katika waandishi wa Hbari na mwona Jenerali, Kubenea Majidi na Salva, waliobaki viraza tu, hawajui kujenga hoja pia kujieleza, kama vile wanajoki mambo ya maana, au wametumwa na CCM na CUF
 
Swala ni kwamba mwanaharakati wa ukweli kama dk, Slaa kulipwa mshahara ml, 7. Aiseeeeee ni mkubwa mno wakati mtanzania anayempigania na kumtete anaishi chini ya dola 1 kwa siku , nina mashaka nae kama kweli si fisadi maana mshahara wake unaweza kuwalipa mshahara walimu ngazi ya degree 18. je ni kazi gani anayoifanya ya kujenga taifa ambayo ni tofauti saaaaana na wazarendo wengine, sioni tofauti kati yake na mafisadi wa ccm na wabunge.wanaojiona wao wana tofauti na watu wengine? huo ni ufisadi tu, mshahara wake ni mkubwa mno aulifrecti usawa na nia ya kweli:rant: ya kuondoa gap la kipato kwa watanzania walio wengi.
 
Swala ni kwamba mwanaharakati wa ukweli kama dk, Slaa kulipwa mshahara ml, 7. Aiseeeeee ni mkubwa mno wakati mtanzania anayempigania na kumtete anaishi chini ya dola 1 kwa siku , nina mashaka nae kama kweli si fisadi maana mshahara wake unaweza kuwalipa mshahara walimu ngazi ya degree 18. je ni kazi gani anayoifanya ya kujenga taifa ambayo ni tofauti saaaaana na wazarendo wengine, sioni tofauti kati yake na mafisadi wa ccm na wabunge.wanaojiona wao wana tofauti na watu wengine? huo ni ufisadi tu, mshahara wake ni mkubwa mno aulifrecti usawa na nia ya kweli:rant: ya kuondoa gap la kipato kwa watanzania walio wengi.

Hapo kwenye red Dr. Slaa ni mfanyakazi wa jamuhuri??
 
Hili limekurupuka tu kuweka hii hoja hapa nikama lilikuwa limelala then likaota ndota za ufisadi so baada ya kuamka likaamua kuweka hoja yake hapa badala ya kwenda kupost facebook kule kwenye kila aina ya hoja,huku nikwa wenye hoja za maana tu
 
Swala ni kwamba mwanaharakati wa ukweli kama dk, Slaa kulipwa mshahara ml, 7. Aiseeeeee ni mkubwa mno wakati mtanzania anayempigania na kumtete anaishi chini ya dola 1 kwa siku , nina mashaka nae kama kweli si fisadi maana mshahara wake unaweza kuwalipa mshahara walimu ngazi ya degree 18. je ni kazi gani anayoifanya ya kujenga taifa ambayo ni tofauti saaaaana na wazarendo wengine, sioni tofauti kati yake na mafisadi wa ccm na wabunge.wanaojiona wao wana tofauti na watu wengine? huo ni ufisadi tu, mshahara wake ni mkubwa mno aulifrecti usawa na nia ya kweli kuondoa gap la kipato kwa watanzania walio wengi.
 
duh! mkishikwa pabaya mnakuwa wa kaliiii,ndio uhuru wakutoa maoni ulivyo hakuna haja yakulalama
 
[h=2][/h]
quote_icon.png
By Mwita25
JK has no guts to demote Jairo not to mention dismissing him. Jairo is purpoted to have been in possession of many state secrets and he has played vital role in putting JK into power in both of previous elections. His close association to JK was consolidated during 2010 elections when he actively colluded with TISS to print phantom ballot papers in a large-scale plot to rig the vote in favour of Kikwete. Given this loyal affiliation between the two, one may anticipate how hesitant JK might be as regards execution of recommended punitive measures against his confidant Jairo.





[h=2][/h]
quote_icon.png
By sangale sabore
slaa your tha only leader ana president we now .kee it up







Nadhani kwa kiswahili ungeeleweka vizuri.


Hahaha ST. KAYUMBA SEC SCHOOL V/C GOOGLE IYO
 
Back
Top Bottom