Dr. Slaa aanza ziara nzito Nyanda za juu Kusini

Wananchi wako wanakusubiri kwa hamu kubwa! hakika nyota yako inang'aa,Urais wa JMT ni wako, karibu sana nyanda za juu.
 
Kuna yule dogo alizani yy ndiyo Chadema na akasaau kuwa hii ni Taasisi hahaha imebidi akimbie Jimbo lake.

Yule wanamuita supreme leader?! Alijidanganya na wajinga wenzake wa Kigoma eti zzk kwanza chama baadae!! Ujinga wa hali ya juu. Yaani yeye kwanza chama baadae wakati kuna mamilioni ya watanzania wametumia jasho, damu na hata wengine kufa kwa ajili ya chadema na bado wasio jitambua wanasema yeye kwanza chama baadae?!
 
Ana jipya mkuu kumjadili msalit nisawa na kumpiga chura teke una muongesea spid
 
Yule wanamuita supreme leader?! Alijidanganya na wajinga wenzake wa Kigoma eti zzk kwanza chama baadae!! Ujinga wa hali ya juu. Yaani yeye kwanza chama baadae wakati kuna mamilioni ya watanzania wametumia jasho, damu na hata wengine kufa kwa ajili ya chadema na bado wasio jitambua wanasema yeye kwanza chama baadae?!

Mkuu.

Kwa sasa tunajikita kusonga mbele zaidi tumeshafunika ya nyuma yaliyo shindwa sasa tunasonga mbele zaidi kama taasisi kuelekea uchaguzi Mkuu. Nia ni kushinda dola ya nchi na kuwaondolea watanzania madhira ya ufisadi na ulafi wa mali za umma.
 
Dr Slaa ndio rais ajaye ni mpigania haki wa kweli sio hawa wezi wa mali za umma wanao tumia nguvu kubwa ya fedha kujinadi. Dr Slaa ameongoza mapambano ya ufisadi bungeni na bado ameendelea nayo nje ya Bunge.

Fisadi anaye jinadi hajawahi kukemea ufisadi ndani wala nje ya Bunge. Alijidhihirisha hilo kwenye Bunge maalum la katiba.

Kama watanzania wanataka kuondokana na dude la utawala mbovu unaoitwa ccm basi Dr Slaa ndio mbadala na muafaka.

Watanzania ndiyo wanaomtaka Dr Slaa awe Rais wao..Dr Slaa akijua Urais siyo Lelemama anawaza sana moyoni kuhusu wito huu wa wananchi wenzie ...
 
Mkuu.

Kwa sasa tunajikita kusonga mbele zaidi tumeshafunika ya nyuma yaliyo shindwa sasa tunasonga mbele zaidi kama taasisi kuelekea uchaguzi Mkuu. Nia ni kushinda dola ya nchi na kuwaondolea watanzania madhira ya ufisadi na ulafi wa mali za umma.

Pamoja sana Kamanda.Mungu wetu ni mwaminifu sana.
 
Watanzania hatuhitaji kukosea tena huu 2015, Dr ndo mwanasiasa pekee anayeweza kututoa kimasomaso nchi na taifa kwa ujumla. Kura yangu kwa Dr akipitiswa na UKAWA wewe je?
 
Tayari umehesabika mkuu.Pamoja sana Kamanda!!
 
Back
Top Bottom