Dr. Slaa aanza ziara nzito Nyanda za juu Kusini

Mungu aendelee kukupa afya njema akika bila ww mie sipigi kura.

Mkuu umetamka maneno yanayotamkwa na watu wengi kwamba Dr Slaa ndiye atakayevuta watu kupiga kura kwani watanzania walishakata tamaa.
 
Molemo

Huyu ndio Rais wa Mioyo ya watu. Watu wanakimbilia kutangaza safari zao za ujinga, wenye akili kama Dr. anaendelea na kuimarisha chama kila corner. Go Dr. wewe mbele, sisi nyuma yako.
 
Last edited by a moderator:
Kama walifikiri chadema ni chama cha msimu, sasa ndio kwanza kazi ndio kwanza inaanza IMBA UKOMBOZI OPERATION inamaliza nyanda za juu Rais anaanza magamba ngoma inogile mwaka huu.

Chadema ni Non stop movement...
 
Babda ya Chadema kufa sasa wao ndiyo wanaelekea kufa maana yule Fisadi mkuu na Wahindi wake wanataka kutuacha na magofu.
 

  • Huyu ndio Rais wa Mioyo ya watu. Watu wanakimbilia kutangaza safari zao za ujinga, wenye akili kama Dr. anaendelea na kuimarisha chama kila corner. Go Dr. wewe mbele, sisi nyuma yako.​



 
Mleta mada umetaja miji ya Vwawa, Tunduma, Sumbawanga na Katavi. Katavi ni jina la mkoa hakuna mji unaoitwa Katavi. Katavi kuna Mpanda na Inyonga.
 
Huyu ndio Rais wa Mioyo ya watu. Watu wanakimbilia kutangaza safari zao za ujinga, wenye akili kama Dr. anaendelea na kuimarisha chama kila corner. Go Dr. wewe mbele, sisi nyuma yako.

Mkuu Mwalimu Nyerere alishasema mtu mwaminifu kabisa kabisa hakimbilii Ikulu.Ukiona watu wanakimbilia Ikulu wana lao jambo.
 
Ukiona hivyo ujue mtu anakubalika, ogopa watu wanazolewa na malori, mabasi, kungekuwa na train inafika chuga wangebewa na mabehewa yao....
 
Maccm yamechanganywa na Mafisadi wao sisi tuko busy kutengeneza Kura zetu na mwaka huu Red bregade watawatoa nyongo mkigusa kura zetu.
 
Huwa nikimwona au kumsikiliza Dr Slaa mwili unisisimuka kwa furahaa na rohoo ya kuyaona mabadiliko kwenye nchi yangu yanakuja sasa.
 
Dr. Slaa pekee ndiye mwarobaini wa kero za Watanzania na dozi sahihi ya mafisadi. Mafisadi yenye maneno ya majitaka dhidi ya Rais wangu Dr. Slaa hawana uwezo kulinganisha na uamuzi wa Watanzania walioishamkubali.
 
Back
Top Bottom