Dr. Rajabu Rutengwe, Mkuu wa mkoa wa Morogoro aliyetemwa, amwangukia Rais

BOB LUSE

JF-Expert Member
Jan 25, 2014
3,558
2,854
Aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Morogoro Dr. Rajabu Rutengwe anadai toka aachishwe kazi amepoteza mwelekeo na amekuwa tegemezi kwa familia maskini.

Pia anadai haelewi amekosea wapi mpaka amefutwa cheo na hitimisho lake ni kuwa wasaidizi wake ngazi za chini wamechangia anguko lake.

Nia ya mada hii sio kumhurumia huyo RC. Napenda tupate mafundisho toka kwake.

1) Kiongozi ambaye amefikia kiwango cha Phd au udaktari wa kawaida sitegemei aanze kulialia kama sio msomi, labda kama ni kilaza.Kumbuka thread yangu ya vyuo vikuu kuzalisha wasomi vilaza, taaluma zao haziwasaidii.

2) Hawa viongozi huwa wanahubiri kujiajiri kwanini huyu RC asijiajiri anasubiri/anaomba appointment nyingine ya Rais?

3) Kiongozi asiyejua wapi alikosea anatarajia nani atamwamini na kumpa nafasi nyingine. Hajui strength na weakness za kazi aliyokuwa anafanya?

4)Ukuu wa mkoa ni cheo cha kisiasa sio taaluma, kwanini huyu Dk. Rajabu alijiona kafika?

Karibuni tujadili bila jazba.
 
Habari hii imeandikwa na gazeti laNipashe leo 25/03/2016.mhusika ni aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Morogoro.(DK.Rajabu Rutengwe) anadai toka aachishwe kazi amepoteza mwelekeo na amekuwa tegemezi kwa familia maskini. pia anadai hailewi amekosea wapi mpaka amefutwa cheo na hitimisho lake ni kuwa wasaidizi wake ngazi za chini wamechangia anguko lake.
Nia ya mada hii sio kumhurumia huyo RC.napenda tupate mafundisho toka kwake.
1) Kiongozi.ambaye amefikia kiwango cha Phd au udaktari wa kawaida sitegemei aanze kulialia kama sio msomi.labda kama ni kilaza.kumbuka thread yangu ya vyuo vikuu kuzalisha wasomi vilaza.taaluma zao haziwasaidii.
2) Hawa viongozi huwa wanahubiri kujiajiri kwanini huyu RC asijiajiri anasubiri/anaomba appointment nyingine ya Rais?
3) Kiongozi.asiyejua wapi alikosea ya nani atamwamini na kumpa nafasi nyingine.hajui strength na weakness za kazi aliyokuwa anafanya?
4)RC ni cheo cha kisiasa sio taaluma kwanini huyu DK.Rajabu alijiona kafika?!

karibuni tujadili bila jazba.

= anatarajia
 
Aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Morogoro.(DK.Rajabu Rutengwe) anadai toka aachishwe kazi amepoteza mwelekeo na amekuwa tegemezi kwa familia maskini.

Pia anadai haelewi amekosea wapi mpaka amefutwa cheo na hitimisho lake ni kuwa wasaidizi wake ngazi za chini wamechangia anguko lake.

Nia ya mada hii sio kumhurumia huyo RC. Napenda tupate mafundisho toka kwake.

1) Kiongozi ambaye amefikia kiwango cha Phd au udaktari wa kawaida sitegemei aanze kulialia kama sio msomi, labda kama ni kilaza.Kumbuka thread yangu ya vyuo vikuu kuzalisha wasomi vilaza, taaluma zao haziwasaidii.

2) Hawa viongozi huwa wanahubiri kujiajiri kwanini huyu RC asijiajiri anasubiri/anaomba appointment nyingine ya Rais?

3) Kiongozi asiyejua wapi alikosea anatarajia nani atamwamini na kumpa nafasi nyingine. Hajui strength na weakness za kazi aliyokuwa anafanya?

4)Ukuu wa mkoa ni cheo cha kisiasa sio taaluma, kwanini huyu Dk. Rajabu alijiona kafika?

Karibuni tujadili bila jazba.
ananikumbusha baba wa taifa....

Ukipata cheo kitumie,ooh.

Mkuu wa mkoa unashindwa hata kuanzisha kampuni ukamate tenda ya kusupply chaki mashuleni?
 
Aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Morogoro Dr. Rajabu Rutengwe anadai toka aachishwe kazi amepoteza mwelekeo na amekuwa tegemezi kwa familia maskini.

Pia anadai haelewi amekosea wapi mpaka amefutwa cheo na hitimisho lake ni kuwa wasaidizi wake ngazi za chini wamechangia anguko lake.

Nia ya mada hii sio kumhurumia huyo RC. Napenda tupate mafundisho toka kwake.

1) Kiongozi ambaye amefikia kiwango cha Phd au udaktari wa kawaida sitegemei aanze kulialia kama sio msomi, labda kama ni kilaza.Kumbuka thread yangu ya vyuo vikuu kuzalisha wasomi vilaza, taaluma zao haziwasaidii.

2) Hawa viongozi huwa wanahubiri kujiajiri kwanini huyu RC asijiajiri anasubiri/anaomba appointment nyingine ya Rais?

3) Kiongozi asiyejua wapi alikosea anatarajia nani atamwamini na kumpa nafasi nyingine. Hajui strength na weakness za kazi aliyokuwa anafanya?

4)Ukuu wa mkoa ni cheo cha kisiasa sio taaluma, kwanini huyu Dk. Rajabu alijiona kafika?

Karibuni tujadili bila jazba.

Mkuu Aliyekuambia Kuwa Wenye PhD's huwa Hawalii au Hawana Matatizo Ni Nani? Njoo Huku Kitaani Uone Tunavyokaa Na Hao Madaktari Wenu Wa Falsafa Na Maprofesa Ndipo Utajua Kuwa UHALISIA Wa Maisha Hauna Mahusiano Na Elimu Kubwa Ya Mtu.
 
Back
Top Bottom