Dr Peter Dalaly Kafumu apata ajali

Katika jitihada ya kupunguza mafisadi .. Siwezi kukuombea upone haraka... Kama ambavyo sipendi U RIP
 
Bora angepata ulemavu ili ajue kuwa sera ya walemavu ya Magamba wenzake ni mbovu hadi wanageuka omba omba wao wanapita tu na migari yao
 
Hivi huyu Njemba na Nepi hawajui kuwa uchawi wa SSM ni wananchi? Wananchi wameamua na hawajui nini wala lile. Subirini 2015, kizazi kinabadilika na kule vijijini tuna ndugu zetu tunahakikisha wanapata mahitaji kupitia migongo yetu na watabadilika tu!!! Mtaji wa SSM kwisha.
 
wakifa tutashndana na akina nani, wacha tu apone ashuhudie sisiemu ikifa kibudu

mkuu wacha wafe tu wameshatuibia vya kutosha, wamefanya nchi hii ni yao na familia zao leo zaidi ya graduate 500000 hawana kazi, wakati ajira zimekaliwa kiukoo na kwa kujuana kisa haya magamba, mama zetu wanakufa kwa kukosa bandage za 2000 wakati inchi inarasilimali za kutosha madini, milima, wanyama wa kutosha tu, gesi tanzanite, lakini mapato ya nchi hii yanatumika kwa mafamilia yao hao majambazi... wao wanaona dhuluma NA MAUAJI WANAYOTUFANYIA itawaacha nazidi kuomba MUNGU wangu awaonyeshe zaidi... hawana maana kabisa hawa magamba... nchi imekuwa mfu kabisa miaka 50 sasa wameuza zaidi ya viwnada 200 vilivyokuwa vikitoa ajira kwa zaidi ya watz 2000000, wafe tu shenzi zao.. hata wasipokufa kwa ajari kunasiku tutawanyonga tu hadharani... RIP ALL MAGAMBA.
 
Biblia inasema: Usimwache mchawi akaishi, ijapokuwa yeye ni mchumi wa daraja la kwanza, ijapokuwa historia yake aliwahi kufanya kazi BOT na sasa wana Iramba wamemtuma bungeni nawaombea CCM WOTE WAKA REST ON FIRE!
 
Katika jitihada ya kupunguza mafisadi .. Siwezi kukuombea upone haraka... Kama ambavyo sipendi U RIP
Je huu ndio mtizamo wa kutakiana maisha mema katika ajali kwa chama cha CDM?

Kama ndivyo, msimamo hu unatofauti gani na waliomuua Mwangosi?

CDM=CCM
 
Back
Top Bottom