Dr. NDODI: Kuvaa suruali kuna madhara kwa wanawake

Hili linaweza kuwa kweli....

Tutalifanyia uchunguzi then tutaleta majibu....

Swali je mnafuatilia mambo ya dr. Ndodi vizuri..??? Jamaa anatibu ukweli kuna jamaa yangu yapona kabisa kisukari..
 
Sasa mbona majuu wote wanavaa suruwali na hawana vitambi?

Kuna vitu viwili hapa.

1. Kula vyakula zaidi ya vinavyohitajika mwilini (unbalanced diet)
2. Kuvaa suruali

Tatizo ni kula maprotini na mawanga zaidi ya kiasi kinachohitajika halafu unavaa suruali. Nasikia Arusha wanawake wachakarikaji wanaongoza kwa vitambi.
 
Kwani maji mengi ikulu ni tatizo jamani?basi mm ntamshauri mwenzangu avae suruali sana ili maji yaongezeke
 
kuhusu vitambi kwa akina mama kutokana na kuvaa suruali hasa za kubana ni kweli, kwa sababu kwa mwanamke excess energy ambayo inakkuwa stored inatakiwa ipelekwe ktk ****** na hips, kwa hiyo km mwanamke anavaa suruali ya kubana ni kwama homone zinazohusika na allocation ya excess energy ambayo inakuwa imebadilishwa kuwa mafuta itakapokuwa inataka kupeleka mafuta katika makalio na hips sehemu zitakuwa zimebanwa na surual kwa hiyo itasense kwamba sehemu hizo zimejaa na kwa hiyo itaamuru mafuta yapelekwe ktka tumbo na hivo kupelekea wanawake wanaovaa surual za kubana kuwa na vitambi. Kuhusu maji kujaa IKULU hilo bado sijalisoma labda niendelee kutafuta kisha nitalitolea ufafanuzi siku nyingine.
 
Hilo la vitambi naona majibu yake yanaridhisha sasa tunabakiza hilo la kujaa maji magogoni doctors pls hebu mlifafanue kama linaukweli
 
dunia ni biashara na biashara ni kwa watu,ingekuwa zile inye zote zinapote hapo amechemka anataka tuende na 20 zetu za matumizi then uzushi ufuate,
i hate fool and i dont wanna be fool
Conquest-THERE IS NO PLACE FOR HOPELESS SINERS:clap2:
 
Tatizo ni kuhitaji majibu mepesi kwa maswali magumu. Suala hilo linahusu utafiti. Huyu Ndodi sio Daktari kama mnavyomwita. Yeye ni mganga wa madawa asilia na anajua kuongea kwa ushawishi na kuvutia watu kama walivyo wahubiri tunaowajua siku hizi. Kama amelifanyia hilo jambo utafiti basi atuelekeze yaliko maandiko yake na aliyetoa approval ya hiyo research inayohusiana na afya za watu ni nani au taasisi gani. Ingekuwa hivyo hawa wenzetu weupe wangeshaathirika na dunia nzima ingejulishwa.
 
Mh! sikubaliani na Ndodi hata siku moja.
Hasa hilo la wowowo.
Mimi navaa sana suruali za jins za kubana I wish niiweke picha yangu hapa ili nim'prove wrong huyo dokta Ndodi.
 
tapeli hilo hahahahahahaha,sasa kama unaishi maeneo ya baridi kali utavaa nini jamani:coffee:

Ndiyo maana mashine za Arusha na Moshi hazina makalio , but mbona hiyo theory hai-hold kwa kesi ya mashine za kinyalukolo??!! au mbeya??...ah..asituchangaye bana...
 
Yule ni mtaalamu,yaweza kuwa kweli......:coffee:

Nitajicheki kesho ntakuja jibu.........hilo la maji.....l.o.l

hili jibu kwa nini lisije leo jamni..utajipimaje??? utadumbukiza BAROMETA??? au HYDROMETA???? LOL
 
Back
Top Bottom