Dr. NDODI: Kuvaa suruali kuna madhara kwa wanawake

Inashangaza jinsi watu wanavyoweza kudanganywa na kudanganyika kirahisi namna hii. Au ndio matunda ya shule za yeboyebo? Huyo anayejiita Dr Ndodi ni muongo na tapeli mkubwa, hana hata chembe ya elimu ya tiba. Kinachomwezesha kuwafikishieni uongo wake ni uwezo wake wa kulipia vipindi vya TV ambao anaupata kutoka kwa wadanganyika. Biashara huria. Na wataalamu tuliowasomesha kwa kodi zetu wapo, wanakaa kimya huku tukiangamizwa na matangazo ya tiba feki. Nguvu ya pesa. Ni uleule ufisadi unaendelea kutuguguna. Wizi mtupu.
 
Hapa inabidi tufanye research kabla ya kusema ni kweli ama si kweli,
Mbona wengine wamefungasha mabesela na Tumbo liko flat lakini kila siku ni Jeans tight na vitop?
 
HMM si kweli bana
maumbile mtu anazaliwa nayo.wengine hawajawahi vaa masuruali na bado wapo kawaida tu hawana lolote.na wale wanaovaa hizo suruali wapo wenye maumbo yao still hivyohivyo.

kupata tumbo kwa mwanamke kunasababishwa na mambo mengi,wengine ni kwa ajili ya uzazi na hata wengine ni mafuta kuzidi kwenye ukuta wa tumbo.

ukuaji na mabadiliko wakati wa kubalehe huchangia mabadiliko ya maumbile na hata hormonies pia huchangia.
 
hakuna cha sprinkler
otherwise wasingetengeneza suruali za kike dear.
huyo alikosa tu cha kusema dear

Lakini si hata sigara imeandikwa ni hatari kwa afya yako lakini viwanda vinaendelea kutengeneza na watu wanavuta bila hofu?
 
Ukiangalia wazungu wengi hawana makailio, na wao huvaa sana sarawili.

Wanawake wa kichanga wengi hawana pia. Sina uhakika kama nao huvaa sana.

Tuanzie kukonect the dots apo.
 
Nimegundua kitu.

Yule pia anaact ni mchungaji.
Nawachungaji wengi hawaruhusu wanawake kuvaa suruali, na biblia pia inazungumzia hilo.
Huenda anatumia hiyo mbinu kutimiza azma yake.
 
Basi jana nikamsikiliza Dr. Ndodi, mwenye hospitali yake Itumbi Hoteli, kupitia Channel 5. Akafundisha mengi na kumalizia na yafuatayo:

1. Kwa kawaida protein/wanga ya/wa ziada husababisha vitambi kwa kina baba na maumbo makubwa(hasa makalio na mapaja) kwa kina mama. Kwa kuwa wanawake wakivaa suruali wanabana makalio na mapaja, hivyo protini/wanga ya/wa ziada hutaifadhiwa matumboni na hivyo kusababisha wanawake kuwa na vitambi.

2. Mbali na vitambi, kuvaa suruali husababisha ongezeko la maji "ikulu".

Mie nimelileta ili nipate kujuzwa kama kuna ukweli wowote juu ya madai haya.

If No.1 applies to both genders,I'm wondering if men with vitambiz decide ku vaa loose garments(and not suruali) kama vile sketi,gauni etc...watapunguza vitambi and therefore kuongeza hips na makalio.

Ningewashauri hawa jamaa kama hawana good explanation on the mechanism behind their claims...bora wakae kimya,kwa sababu inakuwa hawaja solve tatizo....badala yake wanaacha maswali mengi kwa watazamaji/wasikilizaji
 
1. Kwa kawaida protein/wanga ya/wa ziada husababisha vitambi kwa kina baba na maumbo makubwa(hasa makalio na mapaja) kwa kina mama. Kwa kuwa wanawake wakivaa suruali wanabana makalio na mapaja, hivyo protini/wanga ya/wa ziada hutaifadhiwa matumboni na hivyo kusababisha wanawake kuwa na vitambi.

2. Mbali na vitambi, kuvaa suruali husababisha ongezeko la maji "ikulu".

Si kweli kabisa...vyakula aina ya protein havijawahi kusababisha unene, kwa sababu huwa havihifadhiwi mwilini. Kuna wataalamu wengi tu wa mambo ya 'diet' wanashauri watu walio kwenye program za kupunguza uzito watumie vyakula vya protein! Vyakula vinavyonenepesha ni vyakula vya 'starch' (wanga) na 'fat' (mafuta). Unene unatokana na mlundikano wa mafuta ya ziada kwenye sehemu fulani za mwili, mara nyingi tumbo (nje na ndani) na mapaja/makalio...hata ukivaa suruali ya kubana haizuii mafuta kujazana kwenye mapaja/makalio!

Si kweli kwamba suruali zinasababisha 'ikulu' ifurike...kuwa na maji ukeni kunasababishwa na 'sexual arousal', ukimtekenya (kumradhi kwa lugha) vizuri mwenzi wako lazima atajibu kwa mafuriko..yes, wengine wanatoa kidogo, na wengine mengi, lakini hilo haliathiriwi na kuvaa au kutovaa suruali.

NB: Nadhani bodi/taasisi zetu nyingi za kitaalam hazifanyi kazi zake ipasavyo kukanusha mafunzo ya uongo yanaotangazwa kwenye vyombo mbali mbali kibiashara. Mama Terry alishasababisha watu wanywe mikojo yao mpaka hili likajadiliwa bungeni. Dr Ndodi naye yuko mwelekeo huo huo wa uongo. Akisemacho hakijawahi kufanyiwa utafiti wa kitaalamu kuainisha ukweli, lakini anapata nafasi ya kukisema kwenye vyombo vya habari bila kukanushwa na bodi/taasisi husika!
 
Lakini si hata sigara imeandikwa ni hatari kwa afya yako lakini viwanda vinaendelea kutengeneza na watu wanavuta bila hofu?

ni kweli dear
lakini parket ya sigara ina maonyo kwenye ganda.
na surualie tuna vaa si ajili ya fashion tu kikazi pia.
sigara ni chaguo la mtu
lakini suruali saa nyingine ni must.
 
tapeli hilo hahahahahahaha,sasa kama unaishi maeneo ya baridi kali utavaa nini jamani:coffee:

Inamaana kwenye Baridi kali watu wana vaa suruali zakuwabana??????? Hebu tafakari kabla huja post
 
inawezekana ikawa ukweli au uwongo,maelezo ya kina yanahitajika kusuport ama kutosuport hizo theories zake....:twitch:

Msimamo wako? Ndodi ni mtaalam wa kila kitu? Jamaa si mwamini sana. Ni ideologist sana. hasa kwa udini na usabato hasa, taaluma yake ufa.
 
Basi jana nikamsikiliza Dr. Ndodi, mwenye hospitali yake Itumbi Hoteli, kupitia Channel 5. Akafundisha mengi na kumalizia na yafuatayo:

1. Kwa kawaida protein/wanga ya/wa ziada husababisha vitambi kwa kina baba na maumbo makubwa(hasa makalio na mapaja) kwa kina mama. Kwa kuwa wanawake wakivaa suruali wanabana makalio na mapaja, hivyo protini/wanga ya/wa ziada hutaifadhiwa matumboni na hivyo kusababisha wanawake kuwa na vitambi.

2. Mbali na vitambi, kuvaa suruali husababishaongezeko la maji "ikulu".

Mie nimelileta ili nipate kujuzwa kama kuna ukweli wowote juu ya madai haya.[/QUOT
alaaaaaaaaaa kumbeeeeeeeeeee
 
ni kweli dear
lakini parket ya sigara ina maonyo kwenye ganda.
na surualie tuna vaa si ajili ya fashion tu kikazi pia.
sigara ni chaguo la mtu
lakini suruali saa nyingine ni must.

Not a must. Kuna wanawake wamepata vitukuu na hawajawahi vaa suruali. Sorry, ila sipingi uvaaji suruali.
 
sometime yulee jamaa mtafuta helaa tu...alinifurahisha anavyo semaa watu hawajui kunywaaa majiii hahahhaa
 
Not a must. Kuna wanawake wamepata vitukuu na hawajawahi vaa suruali. Sorry, ila sipingi uvaaji suruali.

oohh dear samahani sikufafanua vizuri
kuna kazi zingine tunafanya bila suruali huwezi fanya....... mimi mmoja ni moja wapo
ndo maana nikasema saa nyingine ni must
 
alisema kubana maeneo yapi? kiunoni? kwenye hips au mshono wa zu? mapaja au miguu? au kokote au kote?
 
Hap dr kachapia kabisa, yaani kachemka, kwa kwa hali halisi wanawake wenye makalio makubwa na walio na miili mikubwa wengi wao hawapendi kuvaa suruali za kubana.
Pia kuvaa suruali inategemea na hali ya hewa ya mahali unapoishi, anataka kusema kipindi cha WINTER kwenye hizo nchi za wenzetu sket inavalika? Labda kama hujipendi na hilo baridi, kwanza tu hata suruali moja haitoshi inabidi ujaradie ndani kibana msuri iliyo nzito hasa.
 
Back
Top Bottom