Dr. Ndodi kutoa dawa bure!

Is Ndodi a medical doctor au ni kama "madokta" wengine wa kishikaji kama Dr. Remmy, Dr Lyatonga etc?
 
Ameshazichanga nyingi tu sasa anarudisha fadhila japo kidogo kama yanavofanya makampuni mbalimbali...
 
Asante babu, jamani changamkieni kwenda kwa Ndodo dawa zake zinatibu pia japo zina masharti magumu!
Bure wiki tano!
 
Hakuna cha bure lazima atakuwa anabenefit in one way or another
 
kweli babu kaleta mapinduzi kwenye secta ya dawa za asili inauma sana dr ndodi wanachofanya mitishamba hii hii imezagaa kila pembe lakini hiyo bei anazochaji du ni balaa ataakigawa bure mwaka aitoshi kurudisha garama alizo tuchuna kwa miaka kibao.
ila tusimlaumu sana tujilau wenyewe kwa kuangamizwa kwa kukosa kutafuta maarifa. heko babu
 
Back
Top Bottom