Dr.ndodi anatoa huduma bule.

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,492
54,895
baada ya kupata mfadhili eat sasa hivi anatoa huduma bule,unatoa kiingilio kidogo tu.so changamkia offer wana jf.
 
Labda ndugu ungetujulisha tafsiri mpya ya neno bure. hapa hakuna wapumbavu, ndio nimepata picha sasa kwa nini babu wa loliondo anapigwa vita, kumbe anawauwa watu na njaa!
 
baada ya kupata mfadhili eat sasa hivi anatoa huduma bule,unatoa kiingilio kidogo tu.so changamkia offer wana jf.

Anayezungumzwa hapa ni ndodi yule tunayemfahamu wote au kuna mwingine jamani!

Kama ndiye yeye yule... mi mgeni :target::target:
 
baada ya kupata mfadhili eat sasa hivi anatoa huduma bule,unatoa kiingilio kidogo tu.so changamkia offer wana jf.

Kiswahili ni lugha yako ya taifa, hiyo niliyo kuwekea rangi nyekundu hapo juu ni bure sio "bule".
 
Back
Top Bottom