Dr Mwakyembe na kashfa ya misaada Kyela

sidhani kama mtafanikiwa kumchafua mwakyembe au kumnyang'anya jimbo lake, kama lowasa alishindwa, nani mwingine ataweza? huyo anapendwa na wapiga kura wake na watz kwa ujumla...hata kama yupo ccm lakini hata chadema na cuf wanampenda.mwacheni.
 
wewe ndio mbumbumbu maana umekurupuka bila kufuatiliamaelezo ya kutosha yaliotolewa kwenye thread hii, tunachojadili hapa ni kwamba pamoja na mbunge kuwa naushawishi kwa wadau mbalimbali kuchangia shughuli za maendeleo ni lazima piaappreciate wadau waliochangia, kwa mfano; alitakiwa aseme 'naishukuru kampuniya Bioland na NBC kwa kuchangia misaada nilioitoa' na si yeye pekee kuwa ametoamchango husika as if katumia mfuko wa jimbo, nadhani umeelewasasa.


Tutaamini vipi kuwa hakuwashukuru weka source yako hapo.
 
issue sio majungu wala chuki bali kinachotakiwa ni kujitoa kwake mwenyewe na sio kupitia mgongo wa wengine na hilo ndilo wanachama wake wanahoji pia
punguza majungu, hiyo uliyoitaja ni kampuni yako sio, unajipalilia ubunge sio...?haya
 
Huyu mleta uzi naye ana uso kweli mana alitakiwa aone aibu, eti kumwita mtu ---- unapigwa ban?mi mgen
 
Back
Top Bottom