Nifuraha yangu leo Dr H. Mwakiembe ataingia kazini, walio subiria geneza lake sasa mageneza yao ndio yatakuwa yakwanza kuingia kaburi. Mungu yule Yule ametenda tena na sasa mwakiembe anaanza kazi. Jina la Mungu liimidiwe. Pia leo tunategemea Mweshimiwa Mwakiembe kuzungumza na wateja, nifuraha ilioje atazungumza kwa utash na hekima kubwa kiasi hata wabaya wake watakosa lakusema. Huu ni mwanzo mpya na mwisho wamafisadi wote. Ninafuraha kubwa mwakiembe afya yake itaimarika sana na kuwa jasiri ya mara ya kwanza. Mungu ibariki Tanzania, viongoz waadilifu na watanzania wote...