Dr Mwakyembe kuingia kazini leo; kuzungumza na waandishi, nini tutegemee?

kuku huwa anakunya kweli na akifanya hivyo watu huwa hawasemi lolote.
Je bata hata akila kokoto atakunya magumu?

The same play are played here.
 
duh, kaongea yale yale tunayoyajua lol

kaka labda anawasubiri jeshi lapolisi litoe ripoti yao then ndio amwge mboga,,,si waziri alisema uchunguzi bado unaendelea so i think mwakyembe hawezi kusema lolote coz atakuwa anaingilia uchunguzi wa ki polisi..na ikumbukwe walisema waziri ndio atatangaz matokeo,
som hii ni ndoano yapili kwa serikali kwani ile ya kwanza walitupiwa,
manumba akaimeza yote na mliona kilichotokea...mwakyembe is so technical..believe me....
 
  • Thanks
Reactions: Ame
https://www.jamiiforums.com/images/styles/JamiiForums/smilies/peep.gif Mungu akusaidie Dr mwakyembe, itakua vema sana ukiutoboa ukweli wote kabla hujafa maana wanao itafuta roho yako hawatapenda kukuona unaendelea vizuri na UTAKAPOFYATUKA,,!!! uwe na tahadhari kubwa sana, watakua wametuma MAFIA WAO!

Aliye ndani yake ana nguvu kuliko aliye ndani ya hao wanaoitafuta roho yake kama wapo na wanajipenda watubu mapema....baeleze waweke sawa nyumba zao maana ukutani kuna maandishi bene bene tekeli na peresi....
 
Back
Top Bottom