ngoshwe
JF-Expert Member
- Mar 31, 2009
- 4,131
- 931
Huyo Mathayo (Mtoto wa MSUYA), kaandaliwa mengi sana hapa Tanzania nadhani ndio anaelekea kwenye u PM kama sio kumwandaa kuwa raisi,
Na jamaa yupo smart sana, kwa sisi tunaomjua huyo bwana anaitwa MATHAYO DAVID MSUYA, lakini kwa sababu za kisiasa ameamua kulitoa hilo jina lake la MSUYA na kubaki na MATHAYO DAVID MATHAYO, na huyo jamaa ni UWT wa muda mrefu nadhani hata hao TCU wanaweza kuwa wametoa hayo maelezo yao kwa influence ya UWT au mkuu wa mjengo mweupe.
NINA SHAKA NA HIYO PhD YAKE masters inawezekana kwani kuna kipindi alikuwa bize sana na mambo ya Botswana-Tanzania-South
Sina uhakika sana kama alivyo mtupu mukichwa anaweza kusimama hata kwa ngazi ya Uwaziri. Na hiyo "UWT" unamaaninsha ni Umoja wa Wanawake Tanzania?