Dr. Mathayo's Degrees Are Authentic - TCU

Ukiangalia hiyo site inasema 2001-2003 sasa nikuulize alianza 1 Jan 2001 au June 2001 na akamaliza Dec 2003 au June 2003 to me sidhani kama ni relevant kudiscuss muda ishu ni kwamba if you finish early utakuwa umeifanya kazi nzuri na ikakubalika tupe title ya thesis basi
 
Du
unaonekana una machungu, watu tunajaribu kuangalia possibilities, badala ya kumhukumu moja kwa moja.

mimi huyo David ndo kwanza namsikia, sasa nimdanganye nani na ili iwe je?

kama una uchungu sana na unaitakia mema nchi yako fanya uchunguzi wako ,nenda huko alikosoma waulize kazi yake na kama wanamtambua kuwa wali mu award hiyo kitu na matokeo wapelekee TCU wasidanganye watu.teh teh teh teh

Haya unaona wadanganyika tukijaribu kuwapa picha halisi wanahisi tunausongo na Mathayo. Basi bwana sawa ana PhD na kafanya 2 years yaishe maana sometimes mkifunuliwa ukweli mnaona tunataka kumkosoa mtu wacha tuwaache na ukungu wenu mwishoe mtakuja kuambiwa mtu alifanya PhD miezi sita tu!!! Lijamaa ni lijenius bwana!!!!! Kalagabao
 
Na mimi nimejaribu kumgoogle naona link zote ni za kisiasa na blogs, no any paper....nikaona niwe more professional nikajaribu kumtafuta PubMed nako hola. It's hard kuamini kama kweli kafanya hiyo PhD.

Mkuu umesumbuka bure kumtafuta kwenye pubmed! ungemtafuta kwenye blog za Ki-CCM! lol!
 
'Fake' PhD MPs dodge TCU

MASEMBE TAMBWE, 16th February 2010 @ 01:27, Total Comments: 9, Hits: 1103

THE Tanzania Commission for Universities has yet to receive degree document for certification from any of the alleged senior cabinet members and Members of Parliament with questionable academic qualifications.

“We have not yet received any certificates for certification from any minister or member of parliament but our doors are always open,” the TCU Senior Public Relations Officer, Mr Edward Mkaku, told the 'Daily News' in Dar es Salaam today.

Mr Mkaku said that the issue surrounding fake academic qualifications has been a debate for years and that it was recently fuelled by the launching of a book authored by Erick Keinerugaba who published the identities of those alleged to possess fake documents.

During a press conference held last week, the TCU Executive Secretary, Professor Mayunga Nkunya, condemned the book saying that it was an infringement to personal affairs and that TCU doesn’t support the move and will never do so.

Mr Mkaku said that after the book had aroused a lot of talk, Prof Nkunya deemed it necessary to hold a press conference and issue TCU’s stand on the matter and also ask those allegedly mentioned in the book to take their certificates for certification and give them the chance to respond.

“The author of the book has no right to reveal whether or not a person possesses a genuine or fake doctorate degrees, which is personal and should be left at that,” Mr Mkaku stressed.

He explained that the TCU procedure of certification entails that one fills a form when bringing certificates to be certified and only the person who brought the document will be given back and that the outcome is not publicised.

In another development, TCU has voiced its concern for the Speaker of the Parliament, Mr Samuel Sitta, to have cleared the Deputy Minister for Agriculture, Food Security and Cooperatives, Dr Mathayo David Mathayo, of a fake doctoral degree.

Mr Mkaku explained that though Mr Sitta can, with the authority vested on him, speak about the matter, he did not, however, have the mandate to certify whether the degree was genuine or a fake and that should be left to TCU alone.

“Only TCU has been given the mandate to verify whether a degree is genuine or fake,” he said.

Last year it was reported that eight senior cabinet members and Members of Parliament were among recipients of questionable academic qualifications, particularly Doctorate Degrees (PhDs), from overseas Learning Institutions that are not internationally recognised.

The report mentioned the institutions which issued the doubtful qualifications which include Washington International University based in Hawaii, Commonwealth Open University based in Caicos Virgin Island, Free States University, Ambala University in India and Almeda University, USA.

Kumbe Sita naye ni bomu kabisa; ndiye anayepiga debe hilo la digrii hiyo ya Mathayo. Mambo haya ya PHD feki yalipoanza kupamba moto mwishoni mwa mwaka 2006, mimi nilifuatilia kutafuta thesis ya bwana Mathayo pale University of the Free State lakini sikuipata. Kwa vile sikuwa na uhakika na jina alilotumia na title kamili ya thesis yenyewe basi ikawa vigumu kuipata, na jina la Mathayo Davidi halikuwamo kabisa kwenye database ya authors wao wa mwaka 2003 na 2004.
 
Haya unaona wadanganyika tukijaribu kuwapa picha halisi wanahisi tunausongo na Mathayo. Basi bwana sawa ana PhD na kafanya 2 years yaishe maana sometimes mkifunuliwa ukweli mnaona tunataka kumkosoa mtu wacha tuwaache na ukungu wenu mwishoe mtakuja kuambiwa mtu alifanya PhD miezi sita tu!!! Lijamaa ni lijenius bwana!!!!! Kalagabao

Tatizo mkuu nadhani wewe tayari una conclusion, mie simwelewi huyo jamaa
Lakini ktk website ya bunge anaonekana kafanya 2001-2003 jeumepima je kuwa hii ni miaka miwili? maana haina details nzuri kutambua kama ni miaka miwili.

Unajuwa mtu unapokuja na data nzuri ni rahisi kuamiwa, vinginevyo itaonekana kama chuki.
ni je alianza academic 2000/2001 na kumaliza 2001/2002 na je alianza 2001/2002 na kumaliza 2002/2003 na je alianza 2001 january na kumaliza 2003 january ama desember?

Na ukiangalia jamaa alivyofanya masters hata kama alikuwa anarudia rudia wenda ukashawishika kabisa jamaa alikuwa tayari na mazingira mazuri ya kumaliza mapema PhD.

Naomba nieleweke simtetei bali flow ya data naona jamaa kafanya kihalali na TCU ndo mahakama yetu na ndo washasema jamaa kamaliza kihalali.

Wewe kama raia mwema unaruhusiwa kukataa rufaa juu ya TCU ukiwa na ushahidi wa kutosha kwamba jamaa Phd yake ni feki.Vinginevyo hata kama uko sahihi utaonekana una wivu binafsi.

Dunia hii pamoja na fact/ pia watu wanazingatia kanuni na utaratibu. Naomba
mimi nitaungana na wewe baada ya kumwaga data zinazoeleweka na kwa maneno tu utaniita bure mie ndiye TCU, maana sito aamini maneno maneno.
 
Ukiangalia hiyo site inasema 2001-2003 sasa nikuulize alianza 1 Jan 2001 au June 2001 na akamaliza Dec 2003 au June 2003 to me sidhani kama ni relevant kudiscuss muda ishu ni kwamba if you finish early utakuwa umeifanya kazi nzuri na ikakubalika tupe title ya thesis basi

Unaongea kitu rahisi kabisa
Nafikiri ni rahisi sana kumkamata jamaa inua simu piga ktk taasisi yake anayosema kasoma PhD, jifanye wewe ndo Dr Mathayo umesahahu kitu ktk thesis yako.

ama wewe ndo afisa wa TCU. unafuatilia maana kuna jamaa ana PhD tata. teh teh
 
Tatizo mkuu nadhani wewe tayari una conclusion, mie simwelewi huyo jamaa
Lakini ktk website ya bunge anaonekana kafanya 2001-2003 jeumepima je kuwa hii ni miaka miwili? maana haina details nzuri kutambua kama ni miaka miwili.

Unajuwa mtu unapokuja na data nzuri ni rahisi kuamiwa, vinginevyo itaonekana kama chuki.
ni je alianza academic 2000/2001 na kumaliza 2001/2002 na je alianza 2001/2002 na kumaliza 2002/2003 na je alianza 2001 january na kumaliza 2003 january ama desember?

Na ukiangalia jamaa alivyofanya masters hata kama alikuwa anarudia rudia wenda ukashawishika kabisa jamaa alikuwa tayari na mazingira mazuri ya kumaliza mapema PhD.

Naomba nieleweke simtetei bali flow ya data naona jamaa kafanya kihalali na TCU ndo mahakama yetu na ndo washasema jamaa kamaliza kihalali.

Wewe kama raia mwema unaruhusiwa kukataa rufaa juu ya TCU ukiwa na ushahidi wa kutosha kwamba jamaa Phd yake ni feki.Vinginevyo hata kama uko sahihi utaonekana una wivu binafsi.

Dunia hii pamoja na fact/ pia watu wanazingatia kanuni na utaratibu. Naomba
mimi nitaungana na wewe baada ya kumwaga data zinazoeleweka na kwa maneno tu utaniita bure mie ndiye TCU, maana sito aamini maneno maneno.

Mie sijasema na wivu wala chuki na jamaa but ngoja nikuambie mshkaji usije ukajidanganya kuwa Masters uliweza kuweka mazingira mazuri ya kufanya PhD kwakuwa ulifanya dissertation. Dissertation ya Masters inaweza kuwa haina contribution to the body literature. Ukija katika Thesis mkubwa lazima uwe na contribution to the body of literature kama ni moja, mbili au nne kutegemeana na hypotheses zako ndio maana nikaomba Title ya PhD yake au hata area maana Agriculture pana.

Kuhusu data huhitaji data kwa chuo kinachoeleweka kwasababu sheria ya vyuo vinavyotambulika kimataifa watu wanaomaliza salama thesis zao hubandikwa majina na Title za Thesis zao Mfano walimu wa IFM waliosoma Strathclyde majina yao yapo hadi leo na title za thesis zao huo ndio umakini na sio bandika bandua mzee.

Kwanini sikubaliani na TCU hivi wewe unajuaje TCU wako independent katika uamuzi wao??? Pili wamewasiliana na Chuo je mawasaliano na chuo yanathibisha vipi kuwa degree ni genuine (unadhani ukimfata tapeli ukamwambia wewe ni tapeli atakubali be sensible my friend). Tatu je hicho chuo je kikoje? Mwisho PhD Title yake ni ipi usije alibandua desa kwa mtu akalibandika kama jamaa mmoja wa University of Durham alikuwa dean wao alibandua desa katika thesis ya mtu mwengine miaka ya zamani.

Mie naweza kuamini kwanza nikipewa Title yake. Pili TCU watuthibitishie barua na Chuo kinatambulika . Tatu wampeleke mahakamani yule aliyesema Mathayo ana cheti feki mahakama iamue ndio ukweli utajulikana otherwise siko pamoja na wewe mkubwa
 
Vitu vingine tunapenda kuweka siasa sana
Nafikiri mwenye ushahidi kwamba jamaa hajamaliza shule aandike barua Wizara ya elimu, wizara ya makosa jinai ya south africa.

Aweke anuani yake na jina lake kamili namba za simu.

Aseme Chuo fulani na fulani kinauza vyeti mfano dr mathayo, anayesadikika kusoma pale mda huuu na ule.
Napia nakala unapeleka kwenye vyombo vya habari vya south afrika.Nafikiri hapo TCU utakuwa ume bypass vizuri sana.

Nabado nafikri ndo njia sahihi ya ku deal na vitu kama hivyo.
 
Hivi ni Free State University au University of Free states??? na PhD yake ni Agriculture au Animal Science ???
 
Mh hili si kweli unless ni PhD za kununua but za kusotea ni miaka mitatu au zaidi
Ph.D unaweza kumaliza chini ya miaka mitatu. Mara nyingi scholarships ndio wanatoa miaka mitatu na baada ya hapo kama hujamaliza, unaomba kuongezea muda.

Hii ni sawa na kusema A- level ni miaka miwili lakini kuna watu wengi tu kwenye nchi za wanzetu wanamaliza A-level kwa mwaka mmoja.

Kama Hosea part time kamaliza Ph.D miaka mitatu UDSM, mnashangaa nini Mathayo kumaliza kwa miaka miwili? Kwanza hiyo huenda hata sio miaka miwili kamili na badala yake ni karibu miaka mitatu.
 
Nafikiri tuangalie historia kidogo

The University of the Free State is situated in Bloemfontein, the capital of the Free State, South Africa. Bloemfontein is a modern city offering a full range of recreational, commercial and educational facilities, but which also retains a laid-back atmosphere that reflects its agricultural beginnings.
The University campus is referred to as an academic village, as all lecture halls and laboratories, offices, student residences, sports and student facilities, and a training hospital are located within walking distance on a secure campus. The campus, in turn, is a short distance from the city centre.
The University has had a number of names during its history:
1904 Grey College first accepted matriculants for a full B.A. course
1906 Grey University College established and later in 1906 separated from Grey College
1940s University College of the Orange Free State
1950 University of the Orange Free State / Universiteit van die Oranje Vrystaat
2001 University of the Free State / Universiteit van die Vrystaat
The long-held dream of an institution of higher education in the Free State became a reality in 1904 when the Grey College first accepted matriculants for a full B.A. course. In 1906 the tertiary part of Grey College became known as the Grey University College (GUC), but shortly thereafter the school and college parted ways. In 1910, the Parliament of the Orange River Colony passed legislation declaring the GUC an official educational institution in the fields of the Arts and Sciences.[1]
Initially, the medium of instruction was English, but later this changed to be bilingual and included Afrikaans. The name was changed to the University College of the Orange Free State-the Afrikaans version of this name change is the source of the word used to this day to refer to students of the University ("Kovsies"). In the late 1940s, the medium of instruction was changed to Afrikaans. The University was declared a fully-fledged, independent university in 1950 and the name was again changed to the University of the Orange Free State.
In 1993, it adopted a system of parallel-medium tuition. Today, all classes are offered in Afrikaans and English. Subsequent to the adoption in 1999 of a new university statute, the UFS entered a significant growth period. Today, the University of the Free State boasts more students than ever in its history.
In February 2001, the University's name changed to the University of the Free State, which was adopted to reflect the real character of the institution and its environment.
In 2004, the University celebrated 100 years since it was founded. Its Centenary celebrations form a cardinal part of the existence of this university.
 
Ph.D unaweza kumaliza chini ya miaka mitatu. Mara nyingi scholarships ndio wanatoa miaka mitatu na baada ya hapo kama hujamaliza, unaomba kuongezea muda.

Hii ni sawa na kusema A- level ni miaka miwili lakini kuna watu wengi tu kwenye nchi za wanzetu wanamaliza A-level kwa mwaka mmoja.

Kama Hosea part time kamaliza Ph.D miaka mitatu UDSM, mnashangaa nini Mathayo kumaliza kwa miaka miwili? Kwanza hiyo huenda hata sio miaka miwili kamili na badala yake ni karibu miaka mitatu.

Scholarship nyingi wanatoa Miaka mitatu but wanakuwaga na kitu kinaitwa write-up funding ambayo unaipata for correction au ukiwa katika finishing touches za thesis yako. usitudanganye mkubwa Tunazifahamu scholarship unazozisema
 
Nafikiri tuangalie historia kidogo

The University of the Free State is situated in Bloemfontein, the capital of the Free State, South Africa. Bloemfontein is a modern city offering a full range of recreational, commercial and educational facilities, but which also retains a laid-back atmosphere that reflects its agricultural beginnings.
The University campus is referred to as an academic village, as all lecture halls and laboratories, offices, student residences, sports and student facilities, and a training hospital are located within walking distance on a secure campus. The campus, in turn, is a short distance from the city centre.
The University has had a number of names during its history:
1904 Grey College first accepted matriculants for a full B.A. course
1906 Grey University College established and later in 1906 separated from Grey College
1940s University College of the Orange Free State
1950 University of the Orange Free State / Universiteit van die Oranje Vrystaat
2001 University of the Free State / Universiteit van die Vrystaat
The long-held dream of an institution of higher education in the Free State became a reality in 1904 when the Grey College first accepted matriculants for a full B.A. course. In 1906 the tertiary part of Grey College became known as the Grey University College (GUC), but shortly thereafter the school and college parted ways. In 1910, the Parliament of the Orange River Colony passed legislation declaring the GUC an official educational institution in the fields of the Arts and Sciences.[1]
Initially, the medium of instruction was English, but later this changed to be bilingual and included Afrikaans. The name was changed to the University College of the Orange Free State—the Afrikaans version of this name change is the source of the word used to this day to refer to students of the University ("Kovsies"). In the late 1940s, the medium of instruction was changed to Afrikaans. The University was declared a fully-fledged, independent university in 1950 and the name was again changed to the University of the Orange Free State.
In 1993, it adopted a system of parallel-medium tuition. Today, all classes are offered in Afrikaans and English. Subsequent to the adoption in 1999 of a new university statute, the UFS entered a significant growth period. Today, the University of the Free State boasts more students than ever in its history.
In February 2001, the University's name changed to the University of the Free State, which was adopted to reflect the real character of the institution and its environment.
In 2004, the University celebrated 100 years since it was founded. Its Centenary celebrations form a cardinal part of the existence of this university.

Thanks for your source from Wikipedia ndio maana nikauliza maana sijaona mahali pameandikwa Free State University??? Au ndio kitu kimoja!!!tehetehetehe
 
Angalia Ranking yake ni moja top ktk afrika

http://www.webometrics.info/top100_continent.asp?cont=africa

teh teh teh teh teh

Mkuu weye vipi
yani una argue hata jina, sehemu nyingine unakuta paandikwa The Dar es salaam Universtity pengine Univesity of Dar es salaam , nalo ni vyuo viwili tofauti.

teh teh teh kazi kweli kweli
 
Mie sijasema na wivu wala chuki na jamaa but ngoja nikuambie mshkaji usije ukajidanganya kuwa Masters uliweza kuweka mazingira mazuri ya kufanya PhD kwakuwa ulifanya dissertation. Dissertation ya Masters inaweza kuwa haina contribution to the body literature. Ukija katika Thesis mkubwa lazima uwe na contribution to the body of literature kama ni moja, mbili au nne kutegemeana na hypotheses zako ndio maana nikaomba Title ya PhD yake au hata area maana Agriculture pana.

Kuhusu data huhitaji data kwa chuo kinachoeleweka kwasababu sheria ya vyuo vinavyotambulika kimataifa watu wanaomaliza salama thesis zao hubandikwa majina na Title za Thesis zao Mfano walimu wa IFM waliosoma Strathclyde majina yao yapo hadi leo na title za thesis zao huo ndio umakini na sio bandika bandua mzee.

Kwanini sikubaliani na TCU hivi wewe unajuaje TCU wako independent katika uamuzi wao??? Pili wamewasiliana na Chuo je mawasaliano na chuo yanathibisha vipi kuwa degree ni genuine (unadhani ukimfata tapeli ukamwambia wewe ni tapeli atakubali be sensible my friend). Tatu je hicho chuo je kikoje? Mwisho PhD Title yake ni ipi usije alibandua desa kwa mtu akalibandika kama jamaa mmoja wa University of Durham alikuwa dean wao alibandua desa katika thesis ya mtu mwengine miaka ya zamani.

Mie naweza kuamini kwanza nikipewa Title yake. Pili TCU watuthibitishie barua na Chuo kinatambulika . Tatu wampeleke mahakamani yule aliyesema Mathayo ana cheti feki mahakama iamue ndio ukweli utajulikana otherwise siko pamoja na wewe mkubwa

mzee unataka kujua authenticity ya degree ya mtu kwa kuangalia title? you need also to see problem statement and objective as well! usisahau hypothesis na methodology

How can you judge someone from title?
 
KWANI HATUWEZI KUANDIKA NONDO KWA SPIKA NA VYOMBO VYA HABARI KUWA HATUKUBALIANI NA MAJIBU YA TCU? NAONA TUTENGENEZE NONDO HAPA NA COPY TUWAPELEKEE HUKO HUKO BUNGENI. au mnasemaje?
 
Jibu swali langu afisa Free State University na University of Free State ni Kitu Kimoja???? Maana UK kuna Chuo kimoja cha kisanii kinajiita London School of Business and Finance usikilinganishe hata siku moja London Business School maana kimoja Chuo Kikuu cha haja (i.e. LBS) chengine mh!!! sina comment wasomaji wanakijua zaidi!!!
 
MkamaP,

Tatizo la wengi hapa wanaona chuo ni UDSM, chuo alichosoma huyo Mathayo ni chuo cha maana kabisa.

Tatizo la JF tumegeuka watu wa majungu hata pale ambapo hatuna ushahidi.

sio tatizo ni UDSM, tatizo wengi hawajui hizi elimu zimetofautiana kabisa,

Japan PhD you can make in 2.5yrs tena ya engineering! ukimweleza mtu mwingine anadharau, simply kwa sababu amemeza na ku-crame. angalia Japan wako wapi

watanzania tuna kasumba ya kuringia system zetu hata kama sio nzuri, Kenya tu hapo huwa tunawadharau na elimu yao, leo hii sh. 1 ya kenya sawa na 17 ya kitanzania !

kinachosikitisha wengine ni wasomi na wako na internet kila wakati, hata kujisomea tu kutafuta habari mtu anaona uvivu, mlete uwanja wa ubishi anajua yeye!
 
Back
Top Bottom