Dr. Mathayo's Degrees Are Authentic - TCU

Inawezekana ni mtoto wa David Msuya huyu Waziri mkuu mstaafu, na mmbunge wa Mwanga?
Ni mtoto wa nje ya ndoa wa Cleopa David Msuya aliyekuwa waziri mkuu wa Tanzania.phD yake ni feki hata akisafishwa na nani. siasa tu zimetumika hapa.Mathayo David ni feki.
 
kwani tcu si ni taasisi ya serikali? kwani hamjui kwa nini wameteka nyara hoja na kuwataka wote waliotuhumiwa waende wakahakiki,hivi inahitaji kuwa na degree kubaini mchezo uliopo hapo? subiri waende uone kama wote hawajasafishwa,unacheza na hawa watu?huu ni mpango maalum kwani angetuhumiwa baregu tcu ingeingilia?sansana wangeongeza tuhuma tu,hilo ni changa la macho wasafisheni wote si tunajua uchaguzi umekaribia?
 
Ni wapi utapata PhD ya two years??!! ..... hawa TCU vipi tena.

Inawezekana kupata Ph.D kwa miaka miwili na kuna watu wengi tu ambao wamepata Ph.D kwa muda huo.

Ukiangalia utaona huyo Mathayo alisoma masters kwenye chuo hicho hicho. Kuna vyuo katika kusoma Ph.D njiani unapata master yako na kisha Ph.D. Programme nzima inakuwa ya Ph.D lakini inagawanywa sehemu mbili.

Ukishangaa ya miaka basi mshangaie na prof. Mwandosya pia ambaye baada ya first degree alipata Ph.D baada ya miaka mitatu tu.

Hapa tuangalie ubora wa elimu, chuo alichosoma mhusika nk. Tukianza mambo ya kwamba alisoma kwa miaka mingapi, sidhani kama itatusaidia.

Hata kwa UDSM mbona Hosea wa PCCB alipata Ph.D yake miaka kama mitatu wakati alikuwa part time?
 
Mkulima hapa unataka kutufunga kamba! toa mifano michache ni kina nani hao na wako wapi tuanze nao kuangalia authenticity ya vyeti vyao

Ukiangalia utaona huyo Mathayo alisoma masters kwenye chuo hicho hicho. Kuna vyuo katika kusoma Ph.D njiani unapata master yako na kisha Ph.D. Programme nzima inakuwa ya Ph.D lakini inagawanywa sehemu mbili.
Uongo mwingine huu! tupe mifano, Master na PhD hazina mahusiano kama unavyotaka ainisha wewe hapo, unasahau wakati huo huo Matayo alikuwa India kwa postgraduate!

Ukishangaa ya miaka basi mshangaie na prof. Mwandosya pia ambaye baada ya first degree alipata Ph.D baada ya miaka mitatu tu.
Mfumo wa baadhi ya vyuo hasa UK ukiwa na bachelor ya zaidi ya miaka 3 lets say 4 ama 5 na pass mark zako ni zajuu unaruhusiwa kufanya PhD

Hapa tuangalie ubora wa elimu, chuo alichosoma mhusika nk. Tukianza mambo ya kwamba alisoma kwa miaka mingapi, sidhani kama itatusaidia.
Hapana huna issue unatetea usichokijua!

Hata kwa UDSM mbona Hosea wa PCCB alipata Ph.D yake miaka kama mitatu wakati alikuwa part time?
Huyu thesis yake ipo hata ukienda library ya UD utaiona na supervisor wake wanajulikana. Matayo wako hana thesis na supervisor hawajulikani
 
By ROSE ATHUMANI,
22nd February 2010,
Daily News

THE Tanzania Commission for Universities (TCU) said today that the doctoral degree and other academic credentials held by the Deputy Minister for Agriculture, Food Security and Cooperatives, Dr David Mathayo David, are authentic.

In a letter, signed by the TCU Executive Secretary, Professor Mayunga Nkunya, the commission cleared Dr Mathayo after he submitted his academic credentials for verification.

Dr Mathayo submitted to TCU, his Bachelor of Veterinary Medicine from Sokoine University of Agriculture (1997), Master of Agriculture Science from University of Pretoria in South Africa and Doctor of Philosophy (PhD) in Animal Science from the University of Free State in South Africa (2003).

Dr Mathayo told 'Daily News' that he was happy having his name cleared following reports that he had forged the degrees.

"I am really happy after being cleared of the allegations that my degrees were obtained from unaccredited institutions. This has given me peace of mind," he said.

In the letter dated February 13, 2010, which 'Daily News' has a copy, the TCU states that it recognizes the validity of the degrees awarded to the deputy minister.

"TCU by virtues of its legal mandate given under the University Act of 2005 hereby recognizes the validity of your degree awards stated above and that all the awards have been granted by accredited and hence recognized university institutions," the letter reads in part.

The letter which was sent to the deputy minister was also copied to the Speaker of the National Assembly, the Prime Minister, the Minister for Education and Vocational Training, the Chief Secretary and the Permanent Secretary in the Ministry of Education and Vocational Training.

Efforts to contact the TCU executive secretary, Prof Nkunya, were futile.

When the TCU Public Relations Officer, Edward Mkaku, was contacted to confirm if the commission received Dr Mathayo's certificates for authentication, he declined to comment and directed this paper to wait for Prof Nkunya's return for more details on the issue.

Early this month, the Speaker of the National Assembly, Mr Samuel Sitta, announced to the House that Dr Mathayo had presented to his office genuine credentials for his degrees.

Deputy Minister Mathayo was among a number of ministers and Members of Parliament alleged to possess fake degrees. They include the Minister for Industry, Trade and Marketing, Dr Mary Nagu, the Minister for East African Community, Dr Diodorus Kamala, the Deputy Minister for Labour, Employment and Youth Development, Dr Makongoro Mahanga and Deputy Minister for Defence and National Service Dr Emmanuel Nchimbi.

Others are the Dar es Salaam Regional Commissioner and MP for Ismani, Mr William Lukuvi, Lupa MP, Mr Victor Mwambalaswa and Busega MP Dr Raphael Chegeni.

Kwa kuwa tuhuma zimeshakuwa mikononi mwa umma, TCU wanatakiwa waende mbali zaidi katika kutoa maelezo yao, kwamba alifanya utafiti gani, na wapi na aliufanya kwa muda gani ili kuondoa shaka kwa wananchi. TCU wakitoa tu maelezo ya juu juu usomi wake wa uzamivu utaendelea kutiliwa shaka na atakuwa si kiongozi wa kuaminika.
 
The detailed requirements for award of a PhD degree vary throughout the world. In some countries (the US, Canada, Denmark, for example), most universities require coursework in addition to research for PhD degrees. In many other countries (such as the UK) there is generally no such condition. It is not uncommon, however, for individual universities or departments to specify additional requirements for students not already in possession of a master's degree or equivalent or higher.
In countries requiring coursework, there is usually a prescribed minimum amount of study - typically two to three years full time, or a set number of credit hours - which must take place before submission of a thesis. This requirement is usually waived for those submitting a portfolio of peer-reviewed published work. The candidate may also be required to successfully complete a certain number of additional, advanced courses relevant to his or her area of specialization.
A candidate must submit a thesis or dissertation consisting of a suitable body of original academic research, which is in principle worthy of publication in a peer-refereed context.[6] In many countries a candidate must defend this work before a panel of expert examiners appointed by the university; in other countries, the dissertation is examined by a panel of expert examiners who stipulate whether the dissertation is in principle passable and the issues that need to be addressed before the dissertation can be passed.
 
...hakuna cha ajabu hapo labda vyuo vyenu kama UD wanao complicates mambo na elimu yao ya ubaoni.

Sio UD peke yao Standard PhD Degree Duniani inatakiwa ni 3 years to 4 years maximum. US na China wanaanza na MSC one year kujifunza how to do research na baadae wanafanya PhD for 3 years. Inawezekana ukamaliza PhD but it has to an outstanding piece of work ambapo watu wa Agriculture wanaifahamu sasa nawaulizeni mashabiki wa Mathayo je PhD Thesis title yake inaitwaje? Kwasababu kama ipo kuna watu wataifanyia references tu.

Likewise, Ukifanya PhD lazima panakuwapo na supervisor ambaye alikusimamia je supervisor wake nani? Elimu sio complication mzee bali ni principles ambazo zimewekwa ili zifatwe usichezee taaluma za watu mkubwa
 
Nafikiri tatizo ni kuwa
conditions zilizo wa bind baadhi ya watu lazima kila mmoja na mahali popote lazima ziwa bind hivyohivyo.

Kinyume chake basi mtu husika anaonekana feki.teh teh teh teh
 
Inawezekana kupata Ph.D kwa miaka miwili na kuna watu wengi tu ambao wamepata Ph.D kwa muda huo.

Ukiangalia utaona huyo Mathayo alisoma masters kwenye chuo hicho hicho. Kuna vyuo katika kusoma Ph.D njiani unapata master yako na kisha Ph.D. Programme nzima inakuwa ya Ph.D lakini inagawanywa sehemu mbili.

Ukishangaa ya miaka basi mshangaie na prof. Mwandosya pia ambaye baada ya first degree alipata Ph.D baada ya miaka mitatu tu.

Hapa tuangalie ubora wa elimu, chuo alichosoma mhusika nk. Tukianza mambo ya kwamba alisoma kwa miaka mingapi, sidhani kama itatusaidia.

Hata kwa UDSM mbona Hosea wa PCCB alipata Ph.D yake miaka kama mitatu wakati alikuwa part time?

Mh hili si kweli unless ni PhD za kununua but za kusotea ni miaka mitatu au zaidi
 
The detailed requirements for award of a PhD degree vary throughout the world. In some countries (the US, Canada, Denmark, for example), most universities require coursework in addition to research for PhD degrees. In many other countries (such as the UK) there is generally no such condition. It is not uncommon, however, for individual universities or departments to specify additional requirements for students not already in possession of a master's degree or equivalent or higher.
In countries requiring coursework, there is usually a prescribed minimum amount of study — typically two to three years full time, or a set number of credit hours — which must take place before submission of a thesis. This requirement is usually waived for those submitting a portfolio of peer-reviewed published work. The candidate may also be required to successfully complete a certain number of additional, advanced courses relevant to his or her area of specialization.
A candidate must submit a thesis or dissertation consisting of a suitable body of original academic research, which is in principle worthy of publication in a peer-refereed context.[6] In many countries a candidate must defend this work before a panel of expert examiners appointed by the university; in other countries, the dissertation is examined by a panel of expert examiners who stipulate whether the dissertation is in principle passable and the issues that need to be addressed before the dissertation can be passed.

Kwa hiyo unatuambiaje sasa kuhusu huyu Dk.
 
Nafikiri tatizo ni kuwa
conditions zilizo wa bind baadhi ya watu lazima kila mmoja na mahali popote lazima ziwa bind hivyohivyo.

Kinyume chake basi mtu husika anaonekana feki.teh teh teh teh

Inawezekana akafanya PhD miaka miwili but it has to be an outstanding piece of work mfano paper moja au mbili zilizokuwa publish katika journal za rank ya juu. Sasa hebu tuambieni huyo Mathayo thesis yake title ni ipi au paper gani alizopublish tuzisake tusome alichokiandika otherwise mie naweza kusema amenunua tu PhD, cause one hatujui amefanya PhD ya nini, No one amemreference let alone kupblish, Chuo chenyewe kina wasiwasi. Sasa hapo unadhani conclusion ni nini????

Unadhani mtu akifanya PhD Harvard, Columbia au Oxford au Princeton utamlinganisha na Freetown??? Kwanza accreditation haijulikani ikoje sembuse rankings. Kimsingi Mathayo atupe Title ya thesis, wapi amesoma, watupe supervisor nani (Tukimgoogle tutampata kama yupo), paper alizofyatua genius wetu otherwise this is another propaganda kusafisha waheshimiwa wakagombee kwa amani majimboni mwao!!!
 
Mimi sijui
Ninachoongelea ni miaka ya kufanya PhD.
Siku hizi watu wanaangalia jinsi gani una kasi ya kumaliza unit zako. Mfano mie hapa tulikuwa tunapiga bachala hadi masters kwa kuunganisha ambayo ni semista 10.
Lakini wenye speed zao za kuelewa walikuwa wanaingia vipindi vya miaka miwili yani anafanya mambo ya miaka miwili kwa mwaka mmoja.Hivyo miaka sio ishu. Inayobaki ishu ni hiyo kuhusu thesis.

Na hata hivyo kama mnataka haki tuwapitie ma DR wote tuangalia Plagiarism kama ipo.
 
Plagiarism sio PhD kwasababu Plagiarism is taking someones work and pretend as if it is yours na definition ya Plagiarism ni kubwa sana.

PhD kiukweli hasa ni kuwa independent thinker and researcher na basically you are just learning how write your ideas into practice. Sasa usidhani hiyo ni kazi rahisi au kama kusoma units 50 au 20 kwani ukisoma units 50-20 unaweza kuspecialise (kwani sidhani kama unaweza kumaliza zote). Wengine tulipokuwa tunachukua masters tulifanya hivyo hivyo but when it comes to a PhD it is a different issue kwasababu unatengeneza idea zako mwenyewe, unajisomea mwenyewe, unatest ideas zako mwenyewe na findings zako ulizozipata mwenyewe without the help of anyone (That is the definition of an independent thinker).

Sasa kimsingi hilo linawezekana in 2 years but it has to be an outstanding piece of work. Tunaomba title tuwape watu wa agriculture wataijua tu otherwise kawadanganyeni watu wa nyumbani but wengine sisi hatuko pamoja nanyi TCU
 
Du
unaonekana una machungu, watu tunajaribu kuangalia possibilities, badala ya kumhukumu moja kwa moja.

mimi huyo David ndo kwanza namsikia, sasa nimdanganye nani na ili iwe je?

kama una uchungu sana na unaitakia mema nchi yako fanya uchunguzi wako ,nenda huko alikosoma waulize kazi yake na kama wanamtambua kuwa wali mu award hiyo kitu na matokeo wapelekee TCU wasidanganye watu.teh teh teh teh
 
Inawezekana kupata Ph.D kwa miaka miwili na kuna watu wengi tu ambao wamepata Ph.D kwa muda huo.

Huu ni uongo uliopita kiasi, especially ukizingatia fani yake huyo Matayo!

Ukiangalia utaona huyo Mathayo alisoma masters kwenye chuo hicho hicho. Kuna vyuo katika kusoma Ph.D njiani unapata master yako na kisha Ph.D. Programme nzima inakuwa ya Ph.D lakini inagawanywa sehemu mbili.
Uongo mwingi huu, angalia hapo chini jamaa kasoma vyuo viwili tofauti:

Dr Mathayo submitted to TCU, his Bachelor of Veterinary Medicine from Sokoine University of Agriculture (1997), Master of Agriculture Science from University of Pretoria in South Africa and Doctor of Philosophy (PhD) in Animal Science from the University of Free State in South Africa (2003).[/COLOR]

Ukishangaa ya miaka basi mshangaie na prof. Mwandosya pia ambaye baada ya first degree alipata Ph.D baada ya miaka mitatu tu.
For most of the countries PhD standard ni miaka 3 au 4, vinginevyo ni zaidi ya hapo wala si chini. Kufanya PhD straight baada ya first degree (5 years nafikiri na 4 years for some university) ni standard for many countries/university.

Hapa tuangalie ubora wa elimu, chuo alichosoma mhusika nk. Tukianza mambo ya kwamba alisoma kwa miaka mingapi, sidhani kama itatusaidia.
Muda ni muhimu sana kama unataka kujua ukweli wa hayo madai. Hiyo PhD ya 2 years ni highly questionable.
 
Huu ni uongo uliopita kiasi, especially ukizingatia fani yake huyo Matayo!

Uongo mwingi huu, angalia hapo chini jamaa kasoma vyuo viwili tofauti:

For most of the countries PhD standard ni miaka 3 au 4, vinginevyo ni zaidi ya hapo wala si chini. Kufanya PhD straight baada ya first degree (5 years nafikiri na 4 years for some university) ni standard for many countries/university.

Muda ni muhimu sana kama unataka kujua ukweli wa hayo madai. Hiyo PhD ya 2 years ni highly questionable.

Nafikiri hata hivyo watu wanapotosha
mie naona kafanya PhD miaka 3, ama watu wanafanya hesabu rahisi ya kutoa.teh teh teh

goga hapa chini
http://www.parliament.go.tz/bunge/mpcv.php?vpkey=376

Kama jamaa alikuwa harudii miaka inaonekana masters kaifanya kwa muda mrefu sana, nafikiri alikuwa tayari kwake rahisi kufanya PhD , ni wazo tu.
 
Inawezekana akafanya PhD miaka miwili but it has to be an outstanding piece of work mfano paper moja au mbili zilizokuwa publish katika journal za rank ya juu. Sasa hebu tuambieni huyo Mathayo thesis yake title ni ipi au paper gani alizopublish tuzisake tusome alichokiandika otherwise mie naweza kusema amenunua tu PhD, cause one hatujui amefanya PhD ya nini, No one amemreference let alone kupblish, Chuo chenyewe kina wasiwasi. Sasa hapo unadhani conclusion ni nini????

Unadhani mtu akifanya PhD Harvard, Columbia au Oxford au Princeton utamlinganisha na Freetown??? Kwanza accreditation haijulikani ikoje sembuse rankings. Kimsingi Mathayo atupe Title ya thesis, wapi amesoma, watupe supervisor nani (Tukimgoogle tutampata kama yupo), paper alizofyatua genius wetu otherwise this is another propaganda kusafisha waheshimiwa wakagombee kwa amani majimboni mwao!!!

Na mimi nimejaribu kumgoogle naona link zote ni za kisiasa na blogs, no any paper....nikaona niwe more professional nikajaribu kumtafuta PubMed nako hola. It's hard kuamini kama kweli kafanya hiyo PhD.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom