Dr. Masau aachiwa kwa dhamana - kesi ya malimbikizo

Nilidhani nimemfananisha... I see, Keko mwaka huu imekumbana na {mengi}}
Mkuu wacha {MENGI}

KAGODA-ROSTAM AZIZ ANAKUJA WIKI IJAYO!!WAMEONELEA AENDELLE KULA WEEKEND HII!!!
 
Nadhani si wanasiasa, bali ni madaktari wenzake -- wana beef nae; sijui ni kwanini!

Sure especially hawa wa Muhimbili na wizara ya afya kwa sababu aliwapa challenge academically na practically! They used to just drink beers and dressing wounds!
 
Originally Posted by Halisi
NSSF bwana, mbona kule Habari Corporation kuna watu kibao wanadai NSSF zao za miaka karibu kumi zinazozidi milioni 80 na hakuna aliyefikishwa mahakamani? Au ndi yale yale ya KAgoda?

Kagoda +-=EPA - Jeetu PAtel and others - Mramba na Yona???

FUNGUA UKURASA MPYA WA WASIOLIPA NSSF TUCHANGIE!!!1ILA KWA HUYU WACHA AWE MFANO WA WENZAKE!!!UR RIGHT ,,KUNA KAMPUNI NYINGI TU KAMA
TOMYSPADES ILE YA YULE MCHAGA TOMAS LYIMO!!ANACHINJA TU NGOMBE KILA IJUMAA
KUTOA KAFARA HUKU WATU WANADAI MILLION ZAIDI YA 40@####
SHEN***** ZAO !!!TUPANGIENI LIST NA WAKURUGRNZI WAO TUWASAIDIE HAWA NSSF

KWENU NSSF HAYA NI MAJINA YA WASIOLIPA PESA ZA NSSF,ILA MKUMBUKE KUHESHIMU NA KUDHAMINI KIDOGO JF!!SIO TUNAWALETEA HELA TU KAMA PESA ZA EPA ZILIVYOKUWA ZINACHUKULIWA !!1BOT

KAZI KWENU!!!

KAMPUNI MKURUGENZI

TOMYSPADES THOMAS LYIMO

HABARICORPORATION ????
 
wadau samahani..hivi NSSF lazima? Mbona wauza maduka K/Koo hawawalipii wafanyakazi wao...?

Vipi wajasiamali wengine....?

Si lazima. Inategemea na sekta. Kuna mifuko mingine kama GEPF, PPF, PSPF nk. NSSF inaongozwa na sheria ya mwaka 1997 (NSSF Act, 1997). Kwa sehemu kubwa NSSF inawahusu wafanyakazi (si vibarua!) na waajiri wao katika sekta binafsi. Mwajiri anatakiwa kuwasilisha NSSF asilimia 20% ya malipo ya m(wa)fanyakazi wake kila mwezi lakini pia anaruhusiwa kumkata si zaidi ya asilimia 10% huyo mfanyakazi (Lakini, in practice, mara nyingi mwajiri huwa anachangia 10% na Mfanyakazi 10%).

Kama kilichotokea kwa THI ni kuwakata wafanyakazi wao hiyo 'NSSF' na kutowasilisha kunakotakikana (yaani NSSF) nadhani kitendo hicho hakitofautiani sana na WIZI!
 
Sure especially hawa wa Muhimbili na wizara ya afya kwa sababu aliwapa challenge academically na practically! They used to just drink beers and dressing wounds!

Pia kufanya operation tata ya kichwa badala ya mguu!
 
Si lazima. Inategemea na sekta. Kuna mifuko mingine kama GEPF, PPF, PSPF nk. NSSF inaongozwa na sheria ya mwaka 1997 (NSSF Act, 1997). Kwa sehemu kubwa NSSF inawahusu wafanyakazi (si vibarua!) na waajiri wao katika sekta binafsi. Mwajiri anatakiwa kuwasilisha NSSF asilimia 20% ya malipo ya m(wa)fanyakazi wake kila mwezi lakini pia anaruhusiwa kumkata si zaidi ya asilimia 10% huyo mfanyakazi (Lakini, in practice, mara nyingi mwajiri huwa anachangia 10% na Mfanyakazi 10%).

Kama kilichotokea kwa THI ni kuwakata wafanyakazi wao hiyo 'NSSF' na kutowasilisha kunakotakikana (yaani NSSF) nadhani kitendo hicho hakitofautiani sana na WIZI!

Naomba kuuliza hivi hata wafanyakazi wa ndani ambao mishahra yao ni hii alfu 20 kwa mwezi nao inabidi walipiwe NSSF? ama nao wapo kwenye kundi la vibarua?
 
Baada ya kushindwa kutimiza masharti jana, leo aliletwa tena mahakamani na kukamilisha masharti yote. Ninapoandika haya, Dr Masau tayari alishaachiwa kwa dhamana
 
Ni muhimu kusubiri mahakama itoe uamuzi.
hatuwezi conclude kuwa jamaa anaonewa kwa sababu amefikishwa mahakamani.Kama kesi yake itacheleweshwa kwa makusudi au kama hatapewa haki yake,hapo tunaweza kulalamika.Otherwise yeye ni mtanzania kama wengine na anayohaki ya kufikishwa mbele ya sheria
 
Si lazima. Inategemea na sekta. Kuna mifuko mingine kama GEPF, PPF, PSPF nk. NSSF inaongozwa na sheria ya mwaka 1997 (NSSF Act, 1997). Kwa sehemu kubwa NSSF inawahusu wafanyakazi (si vibarua!) na waajiri wao katika sekta binafsi. Mwajiri anatakiwa kuwasilisha NSSF asilimia 20% ya malipo ya m(wa)fanyakazi wake kila mwezi lakini pia anaruhusiwa kumkata si zaidi ya asilimia 10% huyo mfanyakazi (Lakini, in practice, mara nyingi mwajiri huwa anachangia 10% na Mfanyakazi 10%).

Kama kilichotokea kwa THI ni kuwakata wafanyakazi wao hiyo 'NSSF' na kutowasilisha kunakotakikana (yaani NSSF) nadhani kitendo hicho hakitofautiani sana na WIZI!

....huu ni wizi wa mchana kabisa na lazima ashughulikiwe sawa sawa na pesa arudishe,tumechoka na hawa wababaishaji....its tim e maana tumechelewa sana,imagine hii safisha safisha ingeanza 10 yrs ago nina uhakika leo tungekuwa na billions of money inafanya kazi katika Economy yetu,mimi nataka waanze kuingilia kwenye project za mabarabara na za mikoani maana huko watu hawaibi ila wanachota!
 
kuna siku mimi nilisema dr. Dau ni hafai kuwa kiongozi,jf mkanishambulia sana lakini inshalaah sakata lake na dr. Masau linaendelea na mtagundua mengi. Mtanzania wa leo mwenzako akikuuma sikio tafakari kwanza na kisha tafiti halafu malizia. Mimi nimefanya kwenye mashirikia matatu ambayo hayapeleki michango ya nssf na kama yanapeleka ni pungufu na mpaka wengine wanazitumia kwa biashara kama pale sabasaba grounds. Dr. Dau ameifilisi nssf na anaendelea kuifilisi wakishirikiana na manji. Soon tu anauza zile ghorofa za pale tabata ilihali ananunua viwanja sehemu nyingine ambayo sio hot cake kama pale........gues nani atanunua.....u knw him
 
nafikiri wanasiasa wanamwandama huyu jamaa, kuna maelfu ya makampuni hawapeleki hiyo michango, kwanini yeye tu?

Naona analipa kweli kweli kwa kupambana na mashirika ya vigogo.
kuna siku mimi nilisema dr. Dau ni hafai kuwa kiongozi,jf mkanishambulia sana lakini inshalaah sakata lake na dr. Masau linaendelea na mtagundua mengi. Mtanzania wa leo mwenzako akikuuma sikio tafakari kwanza na kisha tafiti halafu malizia. Mimi nimefanya kwenye mashirikia matatu ambayo hayapeleki michango ya nssf na kama yanapeleka ni pungufu na mpaka wengine wanazitumia kwa biashara kama pale sabasaba grounds. Dr. Dau ameifilisi nssf na anaendelea kuifilisi wakishirikiana na manji. Soon tu anauza zile ghorofa za pale tabata ilihali ananunua viwanja sehemu nyingine ambayo sio hot cake kama pale........gues nani atanunua.....u knw him
 
Unajua huyu mzee atakwamisha safari za kwenda India ndo maana anapigwa vita.
Tz mafisadi ndo wa kuabudiwa ukijifanya mzalendo wanakula kichwa
 
Samahani mkuu,hivi safari za India zinasimamiwa na kina nani? Naona kama Mengi huwa pia anahusika au nae ni...
 
Back
Top Bottom