Dr. Masau aachiwa kwa dhamana - kesi ya malimbikizo

Mpita Njia

JF-Expert Member
Mar 3, 2008
6,997
1,163
Nadhani katika pilika pilika za kuwazomea akina Mramba watu hawakushtukia kuwa Dr masau alikuwa mmoja wa mahabusu ambao jana walipanda katika Karandinga kwenda mahabusu huko keko. Amepelekwa mahabusu baada ya kushindwa kutimiza sehemu ya masharti ya dhamana katika kesi aliyofunguliwa na NSSF kushindwa kuwasilisha michango ya wafanyakazi inayofikia sh milioni 70.
Masharti yenyewe ni; wadhamini wawili wa kusaini bondi ya sh milioni tamo-ameweza, kutotoka nje ta Dar bila ruhusa ya mahakama-haina shida na kupeleka pasi yake ya kusafiria-ameshindwa (sijui kwa nini). lakini anaweza kuachiwa wakati wowote atakapowasilisha pasi hiyo
 
Last edited by a moderator:
Nadhani katika pilika pilika za kuwazomea akina Mramba watu hawakushtukia kuwa Dr masau alikuwa mmoja wa mahabusu ambao jana walipanda katika Karandinga kwenda mahabusu huko keko.
Nilidhani nimemfananisha... I see, Keko mwaka huu imekumbana na mengi!
 
Nadhani katika pilika pilika za kuwazomea akina Mramba watu hawakushtukia kuwa Dr masau alikuwa mmoja wa mahabusu ambao jana walipanda katika Karandinga kwenda mahabusu huko keko. Amepelekwa mahabusu baada ya kushindwa kutimiza sehemu ya masharti ya dhamana katika kesi aliyofunguliwa na NSSF kushindwa kuwasilisha michango ya wafanyakazi inayofikia sh milioni 70.
Masharti yenyewe ni; wadhamini wawili wa kusaini bondi ya sh milioni tamo-ameweza, kutotoka nje ta Dar bila ruhusa ya mahakama-haina shida na kupeleka pasi yake ya kusafiria-ameshindwa (sijui kwa nini). lakini anaweza kuachiwa wakati wowote atakapowasilisha pasi hiyo

NSSF bwana, mbona kule Habari Corporation kuna watu kibao wanadai NSSF zao za miaka karibu kumi zinazozidi milioni 80 na hakuna aliyefikishwa mahakamani? Au ndi yale yale ya KAgoda?

Kagoda +-=EPA - Jeetu PAtel and others - Mramba na Yona???
 
Nafikiri wanasiasa wanamwandama huyu jamaa, kuna maelfu ya makampuni hawapeleki hiyo michango, kwanini yeye tu?

Naona analipa kweli kweli kwa kupambana na mashirika ya vigogo.
 
....good news for mwanakijiji!
 
hivi hii sheria ni kwa baadhi ya watu tu?
 
hata kama watu wengine hawachukuliwi hatua ....haimaanishi kuwa na yeye asichukuliwe.
kama alikuwa hawalipii wafanyakazi wake NSSF ni uonevu kwa aliowaajiri, wacha haki ipite
 
Nafikiri wanasiasa wanamwandama huyu jamaa, kuna maelfu ya makampuni hawapeleki hiyo michango, kwanini yeye tu?

Naona analipa kweli kweli kwa kupambana na mashirika ya vigogo.

Nadhani si wanasiasa, bali ni madaktari wenzake -- wana beef nae; sijui ni kwanini!
 
wadau samahani..hivi NSSF lazima? Mbona wauza maduka K/Koo hawawalipii wafanyakazi wao...?

Vipi wajasiamali wengine....?
 
hivi hii sheria ni kwa baadhi ya watu tu?
Huyu Dr. NSSF wanalipiza tu kisasi kwa vile walikuwa na bifu zao kipindi cha majengo yao alivyokataa kutoka. Hivyo wanataka kumuonyesha kwamba wao wameshika mpini yeye ameshika makali. Sio kwamba natetea waajiri ambao hawapeleki michango ya watumishi wao la hasha ila hapa kinachoonekana ni kulipizana visasi.

Kama kweli hawa NSSF wanafuatilia kwa makini basi wajitahidi kugusa kila sehemu hasa sector binafsi watumishi wengi wanabaniwa michango yao haiendi
 
kwa kosa kama Hili Dr. Masau kaonesha Uzembe...? Just ku-submit passport?...angesema tu ipo immigration anafanya renew..au...?
 
Anayemwandama huyu daktari anayesaidia wanyonge asubiri zamu yake kortini.Huu ni ufisadi wa madaraka kwa yeyote aliyehusika.Dk Masau ameandamwa na mafisadi wengi ambao wanafaidika na kupeleka wagonjwa wa moyo nje.
Kwa hakika tunaomba waandishi walivalie njuga hili swala la kujaribu "kumnyamazisha "Dk Masau.Waliopanga huo mkakati wajue Mungu hatawasamehe
 
Mmmh... ameshindwa kupeleka hati ya kusafiria??? intruiging! swali linaweza kuja hivi, je ni mtanzania?
 
NSSF bwana, mbona kule Habari Corporation kuna watu kibao wanadai NSSF zao za miaka karibu kumi zinazozidi milioni 80 na hakuna aliyefikishwa mahakamani? Au ndi yale yale ya KAgoda?

Kagoda +-=EPA - Jeetu PAtel and others - Mramba na Yona???

wewe naye?

ndio nini?

mbona na wewe mwajiri wako anadaiwa au ndio unatakabiifu tuu?

je katika hao wanaodai Badra ndani au?

otherwise tutakutana mikocheni B
 
Kwa nini pasi iwe shariti moja wapo ktk dhamana wakati zaidi ya watanzania 99.9% hawana hizo hati.je hawa wanapoteza haki zao za msingi kama raia?
 
Sio sharti la dhamani kwa kila mtuhumiwa, ukiiba kuku hakuna anayetaka pasi yako. Na waiba kuku wengi hawana hizo pasi.
 
Alianza kupigwa vita muda mrefu tangu anarejea kutoka nje ya nchi,Kuna mkono wa mtu-Angalia kama nao hao mafisadi wana share THI
 
wewe naye?
ndio nini?

mbona na wewe mwajiri wako anadaiwa au ndio unatakabiifu tuu?

je katika hao wanaodai Badra ndani au?

otherwise tutakutana mikocheni B

Mkuu kuna mahali nimeona unakosoa mtu kiswahili sasa hii sentensi yako "wewe naye" ni kiswahili sahihi? au ndiyo mambo ya kuchanganya na kisukuma!!!!!
 
Back
Top Bottom