Dr Mary Nagu: Bunge Sasa Lina Amani

Mimi ndg yangu niliacha kuangalia kabisa bunge lilikuwa dolooooo kabisa.... hoja za wabunge waliokuwa wanachangia zilikuwa hazina mashiko kabisa.
 
Bunge limetulia heheheheheeeee! Naona ilikuwa full shangwe, usingizi na kale kabibi na matarishi wake mambo swafi, ila tujiulize hizo ndioooo zenu zinatusaidia nini cc natz, acheni mambo ya ajabu ila tunakoelekea uzee wenu cjui mtaupeleka wapi maana hata wajukuu wanawaogopa maana roho zenu mbaya zimezoea wizi fitna, chuki, ushirikina na kila aina ya ushenz na mkikutana mjengoni baas yaani ccm hmna kitu kabsaa!
 
Back
Top Bottom