Leo bungeni mhe, magufuli alipokuwa akijibu maswali ya john mnyika alionekana kukunja uso .. Na ndita kibao.. Usoni.. Alafu kama hajali jali ivi.. Jambo ambalo limenipa utata wajameni..! Kuhusu bajeti ni nzuru tunakushukuru. Magufuli.. Lakini yote 9, kumi ni je kwa nini wewe unachukia maswali ya mnyika kama ..wale thenashara ccm wengine? Mnyika ameagizwa na wana ubungo .. Asichukiwe tafadhalin sana

haya ndio maswali mepesi,wewe ulitaka ajibu huku amekenua meno kwani anapiga picha.?
Ulitegemea ajibu akiwa anachekelea huku akitoa udenda kama chizi? Toa upuuz wako hapa,yule ni mtu makin sana,siyo kama mabwege wengine.
Mnapokosa hoja huwa mna viroja.
mmmmh! Kama mwanamke mbeya hukosi cha kusema! Jifun zekukaa kimya waweza onekana unahekima hatakama wewe ni mbumbumbu! Leo umechemka!
Dada majebere Kumbe bado huwa unajisaidia kitandani?Magufuli hana habari na hicho kikojozi. Mtu anajiamini sana wala hana habari na mnyika. Njoo na hii topic baada ya miaka 20 kama kikojozi wenu bado yuko kwenye siasa
majebere hujaacha tu tabia yako ya shuleni!Magufuli hana habari na hicho kikojozi. Mtu anajiamini sana wala hana habari na mnyika. Njoo na hii topic baada ya miaka 20 kama kikojozi wenu bado yuko kwenye siasa
Magufuli ana jua Kwamba JJ Mnyika ni Jembe lazima achukue umakini na tahadhali
viroja gani mkuu? Hoja hapa ni wat conflict is between mnyika n magufuli pombe? Bcoz wengine wamejibiwa vizuri kwa mifano, alafu mnyika anajibiwa kama yeye ndo mkazi pekee wa ubungo wakati nyuma yake ana watu kibao nyuma yake anawawakiliasha walio mtuma bungeni.. He is neva there 4 his own interest.. Mnyika is there 4 wanaubungoz sake