Dr. Kitila Mkumbo: Kushangilia utekelezaji wa majukumu ya serikali ni Uzuzu!

kwahiyo wewe ukipeleka mboga nyumbani kwako utaanza kuwatangazia majirani zako kwamba leo umeleta mboga nyumbani?

BBJ bahati mbaya mboga yenyewe kanunua kwa hela inayotokana na mapato ya shamba ambako wakulima wakuu ni watoto na sio baba!
 
Last edited by a moderator:
Domy Huyo Dr Kitila Mkumbo nilsha mtoa siku nyingi katika listi ya wasomi makini.
Amesoma kwa kukariri lakini hajaelimika!!!!
Watu wa aina hiyo wapo wengi tu, sawa na wanaonunua u-Dr.
 
Last edited by a moderator:
Kijakazi Hebu tumia akili kidogo tu, hujajua kwamba mnaexist kwa gharama za ujinga wa watanzania? Kinachofanyika sasa ni kuwaelimisha wajitambue na wajue kuwa hayo mnayoyaita maendeleo (ya vitu) si maendeleo! Kwa namna yoyote ile... Bahati nzuri ni kuwa serikali hii imepuuza kada muhimu kama walimu kwa kutowajali kimaslahi kwa hiyo madarasani tunaweka dakika 10 kueleza uzandiki wa serikali ya CCM. Baada ya kitambo kidogo hiki kizazi cha wazee waliokunywa maji ya bendera kitatoweka, na CCM itatoweka kwa kukosa supporters. Umeona? Sie tunaona mbali. Kalagabaho!
 
Last edited by a moderator:
Nyerere aliwahi kusema kuwa maendeleo ya kweli ni maendeleo ya watu, sio vitu. Kwa hiyo ujenzi wa barabara, reli, viwanja vya ndege... ni jukumu la serikali kwa kuwa ndiyo unayokusanya kodi, kazi ambazo serikali ya chama chochote inaweza kufanya. Badala ya kutekeleza sera za kupunguza ugumu wa maisha, mnaleta porojo za ujenzi wa barabara... Tujiulize, kujengwa kwa barabara za lami kumeleta unafuu gani kwa maisha ya kawaida? Mfumuko wa bei umeshuka? CCM wasilete porojo, sie tunakula bara bara?
 
Domy Serikali itapongezwa kwa njia nzuri na bora za utekelezaji wa maendeleo. Serikali ni yetu sote na aliyepo madarakani lazima ajue kwamba anatuwakilisha tu.
 
Last edited by a moderator:
Nd yangu kitila acha wivu usituvunje moyo kwa nn tusishangilie maendeleo? pamoja na kuwa serikari ni wajibu wake watu kama wewe ni hatari ktk uhai wa taifa letu, hv hujuwi kama unapoongEza mkoa unapanua na kusogeza huduma karibu kwa wananchi pia ajira au wewe kwa kuwa umeajiriwa hapo chuo kikuu hutaki watnzania wengine wapate ajira na huduma zingine? hayo ni mawazo yako na usitake wengine waamini hivyo.

I pray that ni Watanzania wachache ambao bado wana mawazo ya ki-STONE AGE kama wewe.

Unaongeza mikoa na wilaya ili kuongeza ajira? Huo ndio mkakati wa CCM kuongeza ajira? Give me a break dude! Kumbe 2015 akija Dovutwa na ahadi ya kuongeza Mikoa kutoka 30? kuwa 300 inaelekea wewe utampatia kura?!

Hivi Kenya ambao hawajaongeza Mkoa (read province) hata moja tangia mkoloni aondoka wewe (read Tanzania) unawazidi nini in terms of huduma za jamii na ajira?

CCM wamefanya kazi nzuri sana kuwa groom mazuzu kama wewe, no wonder mnafurahia majengo ya shule za kata ambazo hazina walimu.
 
Dr Kitila umegusa penyewe!! Lakni mfumo wa TZ ndo unaotaka haya! Na wanasiasa wameshajua kuwa sisi wananchi hatujui nini ni haki na wajibu kwa wote, namaanisha serikali na wananchi, kiila mmoja ana haki na wajibu wake! Nyinyi wasomi mliopo ndani ya siasa mnapaswa kutusaidia kwanza, tupate mfumo utakao rekebisha haya!!

Wanachama wa vyama hatujui vyama vyetu vina itikadi gani! Tunaenda tu! Wanasiasa wana-take advantage kwa kuwa wamegundua udhaife wetu.
 
Kijakazi Watanzania wanaendelea kutuelewa na tunaendelea kuwaelimisha kwamba utekelezaji wa mipango ya serikali inawezeshwa na fedha za wananchi hivyo hawana haja wala sababu ya kushangilia. Kwa kuendelea kuwaelimisha wananchi wajibu wa serikali ni lazima tutaing'oa CCM madarakani 2015.
 
Last edited by a moderator:
. Kwa kuendelea kuwaelimisha wananchi wajibu wa serikali ni lazima tutaing'oa CCM madarakani 2015.

2015 sio mbali, huo msemo sio mgeni hata tumeanza kuusikia tangu 2005, hiyo ndio ilikuwa lugha ya wapinzani, 2010 ikafika CCM wakashinda wakalalamika kuibiwa, wakasusia kutomtambua raisi, wakaendaenda mwishowe yakasahaulika na sasa wanamtambua Raisi tena na kwa kumsifia kwa utendaji mzuri wa kazi saa nyingine pale anapokuja kuja kufungua miradi majimboni kwenu, sasa hivi mnnasema tena 2015 lazima tuing'oe CCM, lakini kila kitu kimebaki vile vile kama ilivyokuwa 2005, 2010, hakuna kilichobadilika, bado Raisi ana madaraka makubwa kuliko kawaida, bado Raisi anateua kila mtu na bado Raisi ndiye bosi wa kila mtu hapa Tz mpaka wapinzani bado wanahitaji HURUMA yake ili waendelee kuwepo, sasa sijui ni kitu gani kinakupa uhakika hivyo kwamba mnaweza kumshinda Raisi mwenye nguvu kiasi hicho, wacha nisiongee sana, ila tu mkifika 2015 msianze tena kuamia 2020 kama tulivyokwishazoea!
 
Mimi nitaisifu hii Serikali ya Magamba kwa Ubunifu mkubwa wa Kucopy and kupaste sera za chadema an kuanza atleast kidogo kufikiria kuzitekeleza.Mfano Elimu Bure,bidhaa za ujenzi kuwa Bei nafuu nk.
 
Domy Huyo Dr Kitila Mkumbo nilsha mtoa siku nyingi katika listi ya wasomi makini.
Amesoma kwa kukariri lakini hajaelimika!!!!
Watu wa aina hiyo wapo wengi tu, sawa na wanaonunua u-Dr.[/QU elezea hoja yako ueleweke, aliyoyasema si kweli au?
 
Last edited by a moderator:
Domy Huyo Dr Kitila Mkumbo nilsha mtoa siku nyingi katika listi ya wasomi makini.
Amesoma kwa kukariri lakini hajaelimika!!!!
Watu wa aina hiyo wapo wengi tu, sawa na wanaonunua u-Dr.

Umtoe kwenye list ya wasomi we nani?
Unadhani naye amesoma vyuo vya polisi jamii kama mnavyosoma makada wa ccm?
 
Nd yangu kitila acha wivu usituvunje moyo kwa nn tusishangilie maendeleo? pamoja na kuwa serikari ni wajibu wake watu kama wewe ni hatari ktk uhai wa taifa letu, hv hujuwi kama unapoongEza mkoa unapanua na kusogeza huduma karibu kwa wananchi pia ajira au wewe kwa kuwa umeajiriwa hapo chuo kikuu hutaki watnzania wengine wapate ajira na huduma zingine? hayo ni mawazo yako na usitake wengine waamini hivyo.


Kama umesomesomeshwa kupitia bodi ya mikopo ya elimu ya juu kodi yetu imepotea bila sababu, tunaongelea mabadiliko lakini ndani yake tuna watu wa aina yako, unalipa kodi halafu unaomba ujengewe barabara? hyo ni lazima wafanye hutakiwi kuomba wala kupongeza wakati barabara inapokuwa imejengwa. Waliomba uongozi ili wafanye mambo hayo. Kuna mtu aliyemfuata kikwete kwake agombee urais? unampongeza vp????. Tumia akili we mbwiga
 
Domy Huyo Dr Kitila Mkumbo nilsha mtoa siku nyingi katika listi ya wasomi makini.
Amesoma kwa kukariri lakini hajaelimika!!!!
Watu wa aina hiyo wapo wengi tu, sawa na wanaonunua u-Dr.[/QU elezea hoja yako ueleweke, aliyoyasema si kweli au?

Huyo jamaa ana argue kama wanCDM asiye kwenda shule.
Serikali inaendeshwa na sera ambazo hutayarishiwa mipango na mikakati ya utekelezaji.

Ni mtu mjinga tu asiyeelewa hilo.
Sasa mtu anjita Dr halafu anaargue kama kijana wa darasa la saba kijiweni, I have not noticed any difference kati yake na mpiga debe.
 
Back
Top Bottom