- Thread starter
- #41
Hujanielewa, mimi nazungumzia m/kiti wa chama, si uraisNinamfahamu sana tu
Ninamfahamu kuliko unavyodhani, tangu enzi za kaptura ya khaki tukiwa wadogo na wembamba kama kagame... sio leo tuna vitambi!!! he is good at his work, excellent manager.... committed and bold!! but you must understand kwamba president ni institution and needs alot of merry go rounds ambazo mkumbo hawezi kufika huko with only 4 years remaining
remember rais haandaliwi kama instant coffee!!!